Wana JF na Watz,
Ni akili dhaifu na ya kijinga kutaka na au kutaka kupoteza lengo ndiyo inawweza kudhania kuwa waliiotaka kumwua Lissu wako ndani ya CHADEMA..?!!!??Huo utalkuwwa ni uwendawaziimu!!
Swali la kujiulliiza hapani WHY NOW?????Maana Lissu hajaiingia CHADEMA leo he's CHADEMA member for years now...!TL hajaanza kukosea Serikali leo alisha mwita JK rais dhaifu na ameendelea kuwa KUB cheap whip for years na hakuna aliyetaka kumwuaa!!!!!!
Only kwene Utawala huu wa A5.........Why???
 
Yaap, mke na mume wakigombana ni siri yao huko ndani, lkn serikali ikidaiwa lazima tujue coz kodi zetu ndo zinazoenda kulipa hilo deni

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa za madeni ya nchi sio siri. Wabunge na hata raia wanaweza kuzipata hizi taarifa kirahisi tu. Lakini Serikali inapokuwa kwenye majadiliano nyeti sio vema kutoa taarifa hadharani kabla hayajakamilika.

Angalia majadiliano kati ya Barrick na Serikali yanayoendelea sasa hivi. Kama mjumbe mmoja mle ndani angekuwa wa CDM unafikiri usiri ungekuwepo? Hiki ndicho ninachokizungumzia.

Kama upinzani ungekuwa unaaminika Lissu angekuwa mwanasheria mzuri sana kuwa kwenye timu yetu. Lakini kwa wanavyojiendesha hawatakaribishwa kwa lolote lile la maana na linalohitaji usiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"WASHUGHULIKIENI BUNGENI NASI TUTAWASHUGHULIKIA URAIANI"

"HIVI NI VITA VYA UCHUMI ASIETUNGA MKONO NI MSALITI ADHABU YAKE NI ......."

" NI HERI MVUNJE SHERIA SHERIA KULINDA RASILIMALI ZA NCHI "
Unganisha doti na kabla ya tukio jamaa akutana na wakuu wa vyombo vya usalama wastaafu.
Mhmm!!!!?
 
Awamu ya tano mnataka kuipeleka Tanzania wapi?
 

Naona mnajitahidi mno na kwa kila hali ' kumbeba ' asiyebebeka kwa sasa. Hongereni sana!
 
U
Usipende kulazimisha hoja. Kuwa msikivu.
 
ulichoandika ni ugoro mtupu yaani unachatuambia hapo ni sawa na timu ya mpira kumuumiza golikipa wake kwa kuwa anazuia magoli yasiingie golini eti wapinzani wao wataona imani wasipige mashuti kwa kuwa kipa imara ameumia. utoto kabisa
 
Siyo kwamba Mbowe hajui, ila anaweza kuww sehemu ya mastermind au architects.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe ujasikia kwamba tumeambiwa wameongeza watu?
 
Mungu anawaona ...mlaaniwe mara 1000,,siasa za mauaji tulizoea kuzisikia rwanda na burundi..siasa za kubaka na kuua demokrasia si tanzania hii;;;siasa za kiki siku kiki zikifeli damu inamwagika ...siasa za kishetani hizo!!!
 
Fikra mufrisi unazo ww punguani kwani umekariri zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM mpaka unatia kinyaa, huyo Mtukufu unayemtetea unadhani anasaka nini zaidi ya kutafuta fursa ya kutembelea migodi ili apewe Zawadi kimya kimya kama mkapa? Jana kataifisha Alumasi nani atajua pesa ya Alumasi imeingizwa serikalini? Amelisababishia Taifa hasara nyingi ikiwemo kulipa meli ya samaki mabilioni na kituo cha mafuta kule mwanza, zile bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kulipa makandarasi hewa, kununua kivuko feki kwa bilion 8 wakati bei halisi ilikuwa milion chache tu, njaa zitakuua limbukeni wewe, Acha kujitoa fahamu hili jukwaa ndipo wajinga kama wewe hupewa Ukweli kwani bado mnakaa na kusadiki Mtukufu ana uchungu na wananchi wakati na yy ni wale wale ana ajenda zake kaja na mbinu zake za kupiga kwa kuwatisha Wapinzani kubaka demokrasia kuwabambikia kesi ili uoga utawale apige vyake kiulaini kama alivyofanya kwenye ununuzi wa ndege na ujenzi wa reli na chato Airport.
 
Huwa matusi yakianza kuporomoka najua nimeshindwa mjadala. Sijui namna ya kuyajibu matusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa matusi yakianza kuporomoka najua nimeshindwa mjadala. Sijui namna ya kuyajibu matusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna mjadala wewe ulianza wewe na neno Upuuzi sasa nimekujibu unaanza kuchachawa nilikuambia mapema huwezi kujibu hoja kwani umekula vicent vya CCM unajikanyaga kanyaga tu huna lolote
 
Mtukufu hana maadili ukitaka kujua nenda kwa mama Jesca muulize ni nani alimpa mimba mdogo wake yaani Shemeji yake ukipata jawabu ndipo utajipanga kujua maadili huanzia wapi? Kwani usikuwa na heshima kwa Shemeji zako utamheshimu nani?
 
Unajua watu kama wewe mnaotumwa kuja kutukana watu hapa wanawaonea sana. Mko wepesi sana katika hoja na mkikwamishwa mnaendea kutukana.

Hapa tunazungumzia kinachoendelea katika serikali hii ya awamu ya 5. Lakini wewe umeng'ang'ania mapungufu yaliyotokea kwenye awamu zilizopita wakati yeye alipokuwa waziri.

Yani inasikitisha kuona watu kama wewe mnakuja mkiwa watupu kichwani. It is not fair to you. Wanawavunja self confidence zenu kwa kuwapa majukumu msiyoyaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kijamaa kinachojiita " Kifyatu " ni kijinga jinga fulani hivi Akili zake kama za kubwa jinga Le mutuz ni vigumu kujibizana na kijitu cha hivyo kwani mkiwa live unaweza ukajikuta umepewa kesi ya jinai baada ya kumpiga vibao.
Nakusikitikia sana. Kama umeishiwa na hoja ni vema unyamaze kuliko kijidhalilisha hivi kwa kutupa mitusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna mjadala wewe ulianza wewe na neno Upuuzi sasa nimekujibu unaanza kuchachawa nilikuambia mapema huwezi kujibu hoja kwani umekula vicent vya CCM unajikanyaga kanyaga tu huna lolote Akili zako ni ndogo kama za Kubwa jinga Le mutuz.
Umeshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…