Na waliovamia clouds ☁️ pia walikuwa na nia ya kuichafua serikali
 
Yaani wewe unaonekana upeo wako mdogo sana, ila ngoja tukusaidie kwa kutumia picha inayoonekana na kutafsiri kinachoonekana..

Ukiangalia zile tatu za kwenye kioo utagundua it was a silent killing mission, first bullet was the target, second and third bullet ilikuwa kujiridhisha na uimara wa kioo baada ya kuona utofauti kwenye risasi za mwanzo..

Zile zilizopigwa chini ya kioo kwa maana ya mlangoni it was a panic after the failure of the first attempt and the arranged target..

Kioo cha kawaida kikipigwa risasi huwa kinasambaa na risasi kupenya kirahisi, kile kioo kwenye gari ya Lissu ukiangalia zile risasi tatu hazikupenya vizuri na inaonekana intelejensia ya wapigaji haikuwa inajua aina ya vioo kwenye gari la mheshimiwa na walienda wakiamini ni vioo vya kawaida...

Mungu ni mwema ameepushia mbali na amenusuru uhai wa ndugu yetu LISSU..
 
mtoa post unafaa na wewe ukamatwe ili ukaisaidie Polisi kwa hicho ulichokifahamu. ila mimi nawashauri Viongozi wa Chadema wafanye uchunguzi wao binafsi kwa kuomba wataalam toka nje ya nchi.
 
Kama taratibu na kanuni za kiuchunguzi zinavysema uchunguzi kwanza ni lazima uanzie kwa watu wa karibu wa aliyepata matatizo na watu wa karibu wa Lissu ni Chadema
 
Una matatizo gani wewe? Usitutoe kwenye reli juu ya watu wasio julikana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UWT maana ake ni Umoja wa Wanawake Tanzania ok umeambiwa mtu au watu wasiojulikana sasa unahoji nini apo uyo sio nyemera ajui mission ya uuaji
 
Huu ni mtazamo wako tu unaolinganisha na hadithi za kubuni (fiction ) lakini unakwepa kuuzungumzia uhalisia.
Ipeleke akili yako eneo la tukio ili uyaone mazingira ya pale kisha jiulize kama eneo lile lipo peke yake kwa maana ya kuwa hakuna nyumba zilizo jirani na kama zipo je, zilikuwa na watu?
Pia jiulize silaha iliyotumika ilikuwa na kiwambo cha kizuia sauti?
Usikimbilie kwenye conclusion ili hali kuna maswali mengi na ya msingi sana unayaaacha bila kujiuliza. Eneo lile lina ulinzi yena walinzi wenye silaha. Hawa walipigwa ganzi wasiweze hata kupiga risasi moja juu ya kuwashtua hao unaowaita hawana utaalam?
Yaani uwafugulie geti waingie ndani na kufyatua risasi na kisha uwafungulie tena watoke na kutokomea kusikojulikana japo ulisikia na kuona! Nadharia za kiulinzi na usalama zinakataa.
Labda kama kuna hadithi nyingine utusimulie hapa lakini kwa hii inatupotosha!
 
Kuna habari kuwa CIA inawatumia 'contractors' kwa baadhi ya mission zao ili kujilinda wasihusishwe na hizo mission. Contractors wanaajiri watu wa kitaa ambao kwao damu ni kawaida. Hivyo acheni spins. Huo u-amateur mnaouona inawezekana kabisa ni wa kutengeneza ili kuwa na plausible deniability.
 
Hakuna mnyukano wa uongozi CDM,licha 'watu wasiojulikana' kujaribu kupandikuza bila mafanikio. Hata Dr.Mihogo alijjua hawezi kulianzisha akachukua fedha za 'watu wasiojulikana' akasepa zake Ughaibuni
Wameshindwa kwa hongo na vitendo sasa mnatumika kupandikiza fikra hasi
 
Yaani hao unowasema wana nguvu kweli kuwazidi polisi na usalama wa taifa!basi tutaangamia wote maana wana hit and run halafu hawajulikani pamoja na inteligensia yote?hahahaha wadanganye wajinga
 
Nini kauli yako kuhusu lowassa na lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Watoe huko ndani ya bunge, wakija huku nje ya bunge nitawashughulikia" kwa maneno haya huyu mtu ndie muuaji wa Lissu, hizo nyingine mnazoleta ni propaganda za kipumbavu tu kutaka kuaminisha watu tofauti na uhalisia wa muhusika mkuu wa shambulio la Mh Lissu
 
Rafiki yangu kubali hili. Kuna usalama wa taifa wameajiriwa kwa kuwa watoto wa makada wa Ccm. Hawa wana elements za ukada haswa mfano huyo anayejiita Suleiman Othman kule Facebook. Pili kwa sababu either ya ajira za undugu, ukada or lack of proper training Kuna mafisa usalama ni vilaza na ndo wana haribu sifa ya hiyo taasisi mfano huyo Suleiman Othman, yule aliye mtolea pistol nape, show off haitakiwi kwenye taasisi kama hii.

Kuna jambo moja ambalo ndo very likely. Kuna kiongozi anayeitumia taasisi ya usalama wa taifa inje ya utaratibu rasmi, siongelei rais, huyo mtu ni untouchable for now. Kumbuka uvamiz wa clouds , why usalama wavamie clouds. Matukio yote yanafanyika na kuacha traces kwa sababu anayeongoza hizi operation ni zero brain.
Tufikirie. Nini kingetokea kama lisu angetoa taarifa mapema na wabunge wengine wa act fast kwenda eneo la tukio kabla wauaji hawajatokomea?
 
More than 97% of all white Nissan patrol in Tanzania are owned by government entities, i cant be of cheap ..........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…