Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo sawaKama taratibu na kanuni za kiuchunguzi zinavysema uchunguzi kwanza ni lazima uanzie kwa watu wa karibu wa aliyepata matatizo na watu wa karibu wa Lissu ni Chadema
YesTime will tell.
Una matatizo gani wewe? Usitutoe kwenye reli juu ya watu wasio julikanaHabari za jumapili, nadhani unaelewa siku kadhaa zilizopita mheshimiwa, mwanaharakati Tundu Antipas Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ,
Lakin kutokana Na watu hao kutojulikana imesababisha kila mtu kuhisi vinginevyo, tunajua kazi ya upelelezi ni ya polis Na vyombo vya dola, lakin hiyo haimuondolei mtu wa kawaida kujiuliza baadhi ya maswali juu ya kitendo Cha unyama alichofanyiwa Mr Tundu lissu,
Wengine wamehisi kuna mkono wa wakubwa, rejea swali la mtatiro kwamba kwanini serikali ihusishwe Na tukio ilo,
Lakin kwa upande wa apili wa shilling. Kuna wenye hisia tofauti Na za wale ambao wamepelekea mtatiro kuuliza swali,
Wengine wanahisi za kwamba mnyukano ndani ya chama hasa ukielekea uchaguzi ndani ya CHADEMA husababisha madhara makubwa ,
Ikumbukwe sisemi kwamba ndo sababu ya lissu kushambuliwa la hasha Ila nakuuliza kwanini dhana hiyo ijengeke miongoni mwa watanzania Na wana CHADEMA?
Pitia maoni ya mtu mmoja mchambuzi maarufu aliandika haya kwenye page yake
"Mwaka 2009 ulikuwa uchaguzi ndani ya Chadema,lakini mwaka mmoja kabla, yaani July 2008 Chacha Zakayo Wangwe alifariki ktk ajali ya gari iliyogubikwa na utata mwingi.
Mwaka 2014 ulikuwa uchaguzi ndani ya Chadema,mwaka 2013 habari zilisambaa kuwa mmoja wa vijana wa Chadema (jina linajulikana) alituhumiwa hadharani kuwa akitumwa kumuwekea Sumu Zitto Kabwe.
Mwaka 2018 ni uchaguzi mkuu ndani ya Chadema, Septemba 2017 Tundu Lissu amepatwa na tukio la kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Haya matukio hayahusiani, ila yote yametokea mwaka mmoja kabla ya mwaka wa uchaguzi ndani ya Chadema. Inavyoonekana mwaka mmoja kabla ya uchaguzi huwa siyo mwaka mzuri sana kwa viongozi wa juu wa Chadema
[HASHTAG]#GetWellSoonTunduLissu[/HASHTAG] [HASHTAG]#LetUsAllPray4Lissu[/HASHTAG] "
Hii inaleta picha kuwa pia hata mnyukano ndani ya chama unahisiwa,
Samuel
Huu ni mtazamo wako tu unaolinganisha na hadithi za kubuni (fiction ) lakini unakwepa kuuzungumzia uhalisia.Jaribio la mauaji ya Mh Tundu Lissu itaibua hisia nyingi sana.
Ni dhahiri aliyefanya jaribio hilo alikuwa na vitu viwili, haraka na hasira.
Kwa vyovyote jaribio hilo halikupangwa kwa utaalam unaohitajika katika operation kama hizo.
Na haya ni maoni yangu tu kutokana na kusoma operation nyingi kama The Jackal, katika kitabu cha The Day of the Jackal, ambayo ni hadithi ya ukweli juu ya jaribio la kumwua rais wa Ufaransa, Charles De Gaulle.
Ukifuatilia hadithi kama ile kunakuwa na mission objectives : kufanikiwa kumua aliyekusudiwa.
Katika mission yenyewe, target anatakiwa kuuwawa bila kuwepo mtafaruku, au kuacha traces za muuaji.
Na hii ni pamoja muuaji kutokomea na asionekane baada ya ku accoplish mission.
Tukirudi katika jaribio la kumuua Lissu, kwa kweli unaona waliolitekeleza ni novices-si wataalam.
Ndiyo, aliyepiga risasi alitumia bunduki aina ya SMG, Sub machine gun yenye uwezo wa kumwaga magazine ya risasi 30 au zaidi katika sekunde chache.
Kwa mtaalam pengine angetumia risasi moja tu!
Kitengo chetu cha UWT, kiko vizuri, kina utaalam na wataalam kwa kazi kama hizo.
Kwa maoni yangu hili jaribio limetekelezwa na assasins ambao sana sana wamekula hela ya mtu aliyewatuma.
Kwa kukosa utaalam na kuishia mission un-accomplished,
hiyo haiwezi kuwa kazi ya UWT, hivyo serikali.
Kimsingi pamoja na manyanyaso mengi yanayotokana na matamshi ya Lissu, hata hivyo sababu za kumwua haziko dhahiri.
Hata hivyo kwa imani niliyo nayo katika UWT, changamoto kwao ni kuwabaini hao "watu wasiojulikana" ili Idara iweze kuendeleza imani waliojijengea kwa wananchi kwa miaka mingi.
Kuwaachia polisi suala hili will be a big mistake.
1. Vichaa fulani tu. (Random act)
Yaani hao unowasema wana nguvu kweli kuwazidi polisi na usalama wa taifa!basi tutaangamia wote maana wana hit and run halafu hawajulikani pamoja na inteligensia yote?hahahaha wadanganye wajingaHao watu wasiofahamika wanamahusiano makubwa sana na presidential race 2020 ndani ya chadema....haina ubishi lisu ameanza kumoverwhelm mamvi politically.hawezi kuwa salama.....the oldman knows who and how to play dirty
Sent using Jamii Forums mobile app
Nini kauli yako kuhusu lowassa na lissuHabari za jumapili, nadhani unaelewa siku kadhaa zilizopita mheshimiwa, mwanaharakati Tundu Antipas Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ,
Lakin kutokana Na watu hao kutojulikana imesababisha kila mtu kuhisi vinginevyo, tunajua kazi ya upelelezi ni ya polis Na vyombo vya dola, lakin hiyo haimuondolei mtu wa kawaida kujiuliza baadhi ya maswali juu ya kitendo Cha unyama alichofanyiwa Mr Tundu lissu,
Wengine wamehisi kuna mkono wa wakubwa, rejea swali la mtatiro kwamba kwanini serikali ihusishwe Na tukio ilo,
Lakin kwa upande wa apili wa shilling. Kuna wenye hisia tofauti Na za wale ambao wamepelekea mtatiro kuuliza swali,
Wengine wanahisi za kwamba mnyukano ndani ya chama hasa ukielekea uchaguzi ndani ya CHADEMA husababisha madhara makubwa ,
Ikumbukwe sisemi kwamba ndo sababu ya lissu kushambuliwa la hasha Ila nakuuliza kwanini dhana hiyo ijengeke miongoni mwa watanzania Na wana CHADEMA?
Pitia maoni ya mtu mmoja mchambuzi maarufu aliandika haya kwenye page yake
"Mwaka 2009 ulikuwa uchaguzi ndani ya Chadema,lakini mwaka mmoja kabla, yaani July 2008 Chacha Zakayo Wangwe alifariki ktk ajali ya gari iliyogubikwa na utata mwingi.
Mwaka 2014 ulikuwa uchaguzi ndani ya Chadema,mwaka 2013 habari zilisambaa kuwa mmoja wa vijana wa Chadema (jina linajulikana) alituhumiwa hadharani kuwa akitumwa kumuwekea Sumu Zitto Kabwe.
Mwaka 2018 ni uchaguzi mkuu ndani ya Chadema, Septemba 2017 Tundu Lissu amepatwa na tukio la kupigwa risasi na watu wasiojulikana.
Haya matukio hayahusiani, ila yote yametokea mwaka mmoja kabla ya mwaka wa uchaguzi ndani ya Chadema. Inavyoonekana mwaka mmoja kabla ya uchaguzi huwa siyo mwaka mzuri sana kwa viongozi wa juu wa Chadema
[HASHTAG]#GetWellSoonTunduLissu[/HASHTAG] [HASHTAG]#LetUsAllPray4Lissu[/HASHTAG] "
Hii inaleta picha kuwa pia hata mnyukano ndani ya chama unahisiwa,
Samuel
More than 97% of all white Nissan patrol in Tanzania are owned by government entities, i cant be of cheap ..........Hao watu wasiofahamika wanamahusiano makubwa sana na presidential race 2020 ndani ya chadema....haina ubishi lisu ameanza kumoverwhelm mamvi politically.hawezi kuwa salama.....the oldman knows who and how to play dirty
Sent using Jamii Forums mobile app