Mkubwa na wanawe Ndio waliopanga kumuua Lisu.
Kuna mtu alilala morogoro siku ile na Gari zao zilitaka kugonga abiria waliokuwa wakichimba Dawa Barabara ya Moro dodoma
 
Mawazo yanayotokana na ubongo wa matope, Mahakama peke yake ndiyo yenye kuhitimisha kuwa walompiga risasi Lisu walikusudia kumuua. Siyo wewe mjinga mjinga usiyejua hata chembe ya sheria. Nenda shule kwanza.
Yes Sir.
 
Huyu anawabana wapinzani na kuwakumbatia wachache wenye maslah nao
 

Jamani kwa nini sisi tunajidharau hivi?

1. Kenya wana demokrasia kuliko sisi.
2. Kenya wana tume huru ya uchaguzi zaidi yetu.
3. Uhuru ni baba wa demokrasia Afrika
4. FBI/CIA wa Marekani, Scotland Yard ya Uingereza waje wafanye uchunguzi wa Lissu.
5. N.k.

Kwa nini hatuvipi heshima vyombo vyetu? Ulikwisha wasikia Wamerikani, Waingereza, Wacanada, n.k. wakiwaita wapelelezi wa nchi za nje kuja kuchunguza kesi zao za jinai?

Kama mnaona vyombo au taasisi za TZ hazifai basi hamieni Kenya, Marekani, Uingereza au popote pale mnakokupenda.

Nafadhaishwa sana kuona Watanzania wanazuia uchunguzi (kama kumhoji dereva wa Lissu) halafu wanalaumu kwa nini uchunguzi haukamiliki. Hii tabia inashangaza sana.
 
Watanzania daini katiba mpya vinginevyo mtapata tabu sana
 
Chadema huwa hatupiganii vyeo.
Chadema tunagawana majukumu. Huku ni kazi kwa kwenda mbele.
Vita vya kupigania vyeo vipo ccm
 
Those who stand the benefit of death of the Lissu. Simple and clear dont try to meander.
True.

Magufuli ana uhakika wa kuchaguliwa ifikapo 2020, notwithstanding Lissu's invectives.

Then, if not Magufuli, who stands to benefit the most from Lissu's death?

Me thinks we have it.
 
Kwanini dereva wa TL ahojiwe halafu askari polisi waliokuwa lindo siku ya uvamizi wasihojiwe ambao gari la washambuliaji liliingia na kutoka kwenye eneo lao la lindo? hebu balance story kwanini huyo RPC Dom asiuambie umma wa watanzania kwamba tunawahoji askari waliokuwa zamu siku hiyo! ? nini kinafichwa hapo...nyumbani kwa TL hapo Dom ni Executive residential lettings na pana ulinzi wa vyombo vya dola hao walinzi wamehojiwa? kwanini wakiwaacha wahalifu wenye silaha nzito kuingia eneo lao la lindo? ....na kama hawakuwepo lindoni walikuwa waapi? dereva wa TL ni victim kama alivyo TL mwenyewe unamhoji aliedhurika unamuacha aliepaswa kuzuia asidhurike...only in Tz!
 
Mungu ameekupa akili uzitumie, siyo kusema kama mtu mpumbavu. Ukiona maisha yako yanatishiwa unaenda kuripoti polisi, unatoa maelezo, wanatafuta jinsi ya kukusaidi. Kuitisha press conference siyo kuripoti polisi. Changanya na zako.
Hivi huwa sikii wananchi wanachukua hatua mkononi baada ya polisi kuwa wanaachia wahalifu muda mchache tu baada ya kuwa mikononi mwao?
Credibility ya taasisi ni muhimu sana,kama ni ya mashaka usitarajie ikaaminika.
 
Hujui kama walinzi waliokuwa kwenye lindo hawajahojiwa.

Lakini dereva, mwenye taarifa muhimu kuhusu kilichojiri wakati wa shambulio, amefichwa na CDM Nairobi.

Hii inaitwa OBSTRUCTION OF JUSTICE, na uongozi wa juu wa CDM wanaweza kuwa kwenye matatizo na vyombo vya sheria.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…