Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio tishio kwa CCMTanzania inaelekea wapi kwanini kila matatizo yanaikumba chadema kwanini sio vyama vingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes Sir.Mawazo yanayotokana na ubongo wa matope, Mahakama peke yake ndiyo yenye kuhitimisha kuwa walompiga risasi Lisu walikusudia kumuua. Siyo wewe mjinga mjinga usiyejua hata chembe ya sheria. Nenda shule kwanza.
Huyu anawabana wapinzani na kuwakumbatia wachache wenye maslah naoJisomee kidogo Historia na vitendo vya madikteta wote duniani. Huwa wanajificha kwenye kivuli cha kutetea wanyonge na maskini lakini ndani yao wote ni mashetani kabisa. Soma adolf Hitler alivyofanya na makuli na kuwashiriksha kwenye jeshi. Idd Amin Dada Nduli aliwagawia maskini maduka ya wahindi. Na huyu unamuonaje?
Inawezekana wakahusika who knows, sasa ili kuthibitisha hilo na bila kumungunya maneno mmeambiwa na CDM taifa waiteni hao wapelelezi wa nje waje kusaidiana na Police wetu ili kubaini ukweli - Kama ni Lowassa ama Mbowe kahusika si itajulikana fasta tu gogoro hapa ni nini?
Pia mlishauriwa kile kipindi cha Mabomu kule Arusha, muunde tume ya kijaji kubaini mbivu na mbichi lakini hadi wa leo mmegoma kabisa
True.Those who stand the benefit of death of the Lissu. Simple and clear dont try to meander.
Kuhegemea = kuegemeaMchambuzi mwenye kuhegemea upande fulani hongera sana kwa uchambuzi kabambe
Kwanini dereva wa TL ahojiwe halafu askari polisi waliokuwa lindo siku ya uvamizi wasihojiwe ambao gari la washambuliaji liliingia na kutoka kwenye eneo lao la lindo? hebu balance story kwanini huyo RPC Dom asiuambie umma wa watanzania kwamba tunawahoji askari waliokuwa zamu siku hiyo! ? nini kinafichwa hapo...nyumbani kwa TL hapo Dom ni Executive residential lettings na pana ulinzi wa vyombo vya dola hao walinzi wamehojiwa? kwanini wakiwaacha wahalifu wenye silaha nzito kuingia eneo lao la lindo? ....na kama hawakuwepo lindoni walikuwa waapi? dereva wa TL ni victim kama alivyo TL mwenyewe unamhoji aliedhurika unamuacha aliepaswa kuzuia asidhurike...only in Tz!Jamani kwa nini sisi tunajidharau hivi?
1. Kenya wana demokrasia kuliko sisi.
2. Kenya wana tume huru ya uchaguzi zaidi yetu.
3. Uhuru ni baba wa demokrasia Afrika
4. FBI/CIA wa Marekani, Scotland Yard ya Uingereza waje wafanye uchunguzi wa Lissu.
5. N.k.
Kwa nini hatuvipi heshima vyombo vyetu? Ulikwisha wasikia Wamerikani, Waingereza, Wacanada, n.k. wakiwaita wapelelezi wa nchi za nje kuja kuchunguza kesi zao za jinai?
Kama mnaona vyombo au taasisi za TZ hazifai basi hamieni Kenya, Marekani, Uingereza au popote pale mnakokupenda.
Nafadhaishwa sana kuona Watanzania wanazuia uchunguzi (kama kumhoji dereva wa Lissu) halafu wanalaumu kwa nini uchunguzi haukamiliki. Hii tabia inashangaza sana.
Fisi sio hatari mkuu. Fisi anafugika. [emoji38][emoji38][emoji6][emoji6]Huyo mtu ni hatari kuliko fisi
Acha uchochezi mkuu,bado yupo wamemuhifadhi sehemu salama.NAsikia yule wa Lugalo mmeshamsafirisha kwenda SA kutibiwa ina maana Muhimbili imekuwaje tena??Au Madaktari hakuna tena??
Hivi huwa sikii wananchi wanachukua hatua mkononi baada ya polisi kuwa wanaachia wahalifu muda mchache tu baada ya kuwa mikononi mwao?Mungu ameekupa akili uzitumie, siyo kusema kama mtu mpumbavu. Ukiona maisha yako yanatishiwa unaenda kuripoti polisi, unatoa maelezo, wanatafuta jinsi ya kukusaidi. Kuitisha press conference siyo kuripoti polisi. Changanya na zako.
Hujui kama walinzi waliokuwa kwenye lindo hawajahojiwa.Kwanini dereva wa TL ahojiwe halafu askari polisi waliokuwa lindo siku ya uvamizi wasihojiwe ambao gari la washambuliaji liliingia na kutoka kwenye eneo lao la lindo? hebu balance story kwanini huyo RPC Dom asiuambie umma wa watanzania kwamba tunawahoji askari waliokuwa zamu siku hiyo! ? nini kinafichwa hapo...nyumbani kwa TL hapo Dom ni Executive residential lettings na pana ulinzi wa vyombo vya dola hao walinzi wamehojiwa? kwanini wakiwaacha wahalifu wenye silaha nzito kuingia eneo lao la lindo? ....na kama hawakuwepo lindoni walikuwa waapi? dereva wa TL ni victim kama alivyo TL mwenyewe unamhoji aliedhurika unamuacha aliepaswa kuzuia asidhurike...only in Tz!
Nasema "alietaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua.
Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin.
Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio hili la kipekee kwa mbunge (sijui kama kulikwishatokea shambulio jingine kama hili), hapa Tanzania.
Yafuatayo ni malumbano ya kifikra ndani ya nafsi yangu kuwa ni nani hawa waliotaka Tundu Lissu afe. Maoni yako yanahusika, tafadhal.
Nimefikiria wahusika katika dhana 4. Nitazichambua hizi dhana moja moja.
Dhana zenyewe ni hizi. Washambuliaji ni:
1. Vichaa fulani tu. (Random act)
2. Raia wenye chuki na Lissu kwa kuikalia kooni serikali.
3. Serikali yenyewe
4. Watu wenye chuki na serikali (false-flag attack) ili waisingizie serikali uovu huu.
1. Vichaa fulani tu. (Random act)
Hii inawezekana lakini inakinzana na taarifa za kuwa Lissu alikuwa anafuatiliwa na magari kwa kipindi kirefu. Huu mpango ulisukwa na pia walijua wanaemtaka hadi kumfuata mpaka nyumbani kwake. Sidhani hii ilikuwa ni Random Act. Dhana hii ni potofu.
2. Raia wenye chuki na Lissu kwa kuikalia kooni serikali.
Hii inawezekana kabisa. Wengi walimshutumu Lissu kwa kupinga sera zote za serikali (mimi nikiwa mmojawao). Kuna watu walikwenda mbali zaidi na kusema wanataka serikali iwaruhusu wamuue. Ndio maana kuna umuhimu wa kuwakamata na kuwafikisha mahakamani watu hawa.
Katika demokrasia watu tunashambuliana vikali kwa hoja na sio kwa kuumizana au kuuana. Kama hii itathibitika, basi kuna umuhimu wa kuwapatia ulinzi wanasiasa machachari wanaoibua hisia kali.
Kuna uwezekano mkubwa dhana hii ni sahihi.
3. Serikali yenyewe
Kuna watu mitandaoni wanadhani ni serikali yenyewe ndio imeunda hii mbinu ya kumuua Lissu ili awaondolee kelele. Wengi wanasema Lissu amefichua siri nyingi za serikali kufikia kuwa tishio kwa hii serikali.
Kwa maoni yangu huu ni upuuzi. Serikali hii inakubaliwa na watanzania wengi. Hoja karibuni zote alizotoa Lissu dhidi ya serikali zinaweza kujibiwa kirahisi sana. In fact, baadhi ya shutuma za Lissu zinaipaisha serikali kwa Watanzania. Kelele za Lissu zinaweza kuwa baraka (blessing) kwa CCM ifikapo 2020. Kumuua Lissu kutajenga hisia za uonevu na kuwaonea huruma CDM ifikapo uchaguzi mkuu. Serikali haiwezi kufanya kosa hilo.
Kwa hiyo dhana hii ni potofu
4. Watu wenye chuki na serikali (false-flag attack) ili waisingizie serikali uovu huu.
Hii dhana inahusisha watu wanaoichukia serikali (sio lazima wapinzani, inaweza kuwa watu wa nje) wanaotaka kumuondoa Rais Magufuli madarakani ifikapo 2020 kwa kuihusisha serikali yake na mauaji ya Lissu.
Serikali ya Magufuli imeathiri maslahi ya watu wengi sana wa ndani na wa nje. Akiendelea hivi hivi ana uhakika kabisa wa kupita ifikapo 2020. Sasa utaitoaje hii serikali madarakani ifikapo 2020. Jenga chuki kwayo.
Kama nilivyoeleza kwenye dhana namba 3, watu wakiamini kuwa serikali imemuua Lissu kinyama basi watawaonea huruma CDM na kuichukia CCM. CDM watachukua dola ifikapo 2020.
Je ni nani hawa wanaotaka kufanya unyama kama huu na kuisingizia serikali ya CCM (false-flag attack)?
Nina dhana nyingine 2 au 3 hivi (mfano, internal politics within CDM) lakini ni za pembeni sana na uwezekano wake ni karibu na sifuri. Kwa sasa hayo ndio malumbano yanayoendelea kichwani mwangu.
Please tell me I am not crazy.
==============================
Baada ya michango mingi iliyowekwa hapa kuna dhana niliyoigusia tu (Internal politics within CHADEMA) na wengi kuuliza kwa nini sikuifafanua. Hapa chini naiongeza ingawaje mwanzoni sikuipa kipaumbele.
Dhana ya 5.
Maadui wa ndani wa CHADEMA walitaka kumuua Lissu ili watimize malengo 3 yafuatayo.
1. Lissu aondoe ushindani katika uchaguzi ujao wa Uenyekiti.
2. Lissu aondoe ushindani katika uteuzi ujao wa mgombea urais ifikapo 2020.
3. Lissu atumiwe kama kafara ili kuipa CHADEMA mvuto na kuonewa huruma na kuichukia serikali katika uchaguzi wa 2020.[/QUOT
Mawazo yako ni mazur ila wachache wacyo jitambua watajidai hawajaelew