MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Asante sana Mkuu..Serikali ya Tanzania chini ya John Magufuli ndio mtuhumiwa wa shambulio la mh Lissu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitahidi sana wenzako kina lizabon waliamua kukimbia tetea ugali kwa nguvu zote dadalisu alidhamilia kutengeneza movi ya kiki za kisiasa
Ushahidi wa kimazingira upoUna ushahidi? Pia kumbuka Tanzania inaongozwa na serikali ya ccm, nimeona umeandika serikali ya Tanzania. Maana km ni ya Tanzania kumbuka na ww ni mtanzania
Neno wasiojulikana ni aina fulani ya unafiki tu wa Watanzania kuogopa kusema ukweli kwa hofu ya usalama na kulinda maslahi binafsi yao binafsiMkuu walisema ni watu wasiojulikana na bado hawajajulikana hadi Leo hii itakua hisia zinakushawishi juu ya hili maana hata uchunguzi haujakamilika
Hata Lissu mwenyewe alisema ni Serikali ya Tanzania kama unabisha au umetumwa sema tukuwekee clip ya Lissu hapa, na Serikali ikajibu kuwa hawawezi kumjibu kwa sababu ni mgonjwaWasalaam, naomba kuuliza kwa upole kabisa ni wakinanani walishiriki katika jaribio kuua mbunge ambaye ni muwakilishi wa wanasingida na watanzania kwa ujumla? Ni nani watu wasiojulikana? Maana bado wapo na hawajajulikana. Je lissu akirudi nyumbani Tanzania Leo si atakutananao tena watu wasiojulikana maana hawajakamatwa kwasababu hawajulikani. ( watu wasiojulikana)
Usalama wa taifa hao hawawezi kujichubguza kamweNa walio mteka Mo upelelez uliishia wapi
[emoji375][emoji375]
umeuliza kwa hiyari yako sasa subiri upewe majibu , kama ulikuwa unabeep sasa ndio utajua maana ya tigo rusha
Ahsante kiongoziAsante sana Mkuu..
Ningekuwa na namna ya ku edit kidogo maelezo yako.. hapo mwisho ningekuwekea NUKTA maana umepitiwa kidogo Mkuu wangu.
umeuliza kwa hiyari yako sasa subiri upewe majibu , kama ulikuwa unabeep sasa ndio utajua maana ya tigo rusha
Hahahahaaaaaaaa.we jamaa wewe. Hiyo maana yake ni SHETANI HAWEZI KUPELELEZA SHETANI MWEZAKE. YESU AKASEMA SHETANI ATOI SHETANINa walio mteka Mo upelelez uliishia wapi
[emoji375][emoji375]
Asante sana Mkuu..
Ningekuwa na namna ya ku edit kidogo maelezo yako.. hapo mwisho ningekuwekea NUKTA maana umepitiwa kidogo Mkuu wangu.
Wewe ni mmoja wa shetani ambao hamuwezi kutoa shetani wezenu. Mtumwa wa DHAMBI na mtetea DHAMBI. Ila eleweni mtake msitake DHAMBI YA KUTAKA KUMUUA LISU MTAIBEBA TU. maana mnajitahidi kuisukumia kwa wengine. MUNGU ANAJUA NI YENU TU. hahahaaaa kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewelisu alidhamilia kutengeneza movi ya kiki za kisiasa
Umeuliza swali umepewa majibu Post #1&4 ,sasa unaleta bla..bla.. Kama za wana lumumba-b7.
Rejea hoja za Tundu Lissu zimezagaa kila mahali mitandaoni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa mbaya sana, unajitoa ufahamu kwa kiasi hiki? Kubwa jinga kabisa wewe!lisu alidhamilia kutengeneza movi ya kiki za kisiasa
e nishamuweka kwenye ignore list huyoNjaa mbaya sana, unajitoa ufahamu kwa kiasi hiki? Kubwa jinga kabisa wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app