Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Wasalaam, naomba kuuliza kwa upole kabisa ni wakinanani walishiriki katika jaribio kuua mbunge ambaye ni muwakilishi wa wanasingida na watanzania kwa ujumla? Ni nani watu wasiojulikana? Maana bado wapo na hawajajulikana. Je lissu akirudi nyumbani Tanzania Leo si atakutananao tena watu wasiojulikana maana hawajakamatwa kwasababu hawajulikani. ( watu wasiojulikana)
Hata Lissu mwenyewe alisema ni Serikali ya Tanzania kama unabisha au umetumwa sema tukuwekee clip ya Lissu hapa, na Serikali ikajibu kuwa hawawezi kumjibu kwa sababu ni mgonjwa
 
umeuliza kwa hiyari yako sasa subiri upewe majibu , kama ulikuwa unabeep sasa ndio utajua maana ya tigo rusha

😂😂😂😂😂😂😂😂ila ww week hili.unanifirahisha mno..asbh bimekumbuka uzi wako wa lissu ati oh mlidhani Lisu.hataweza nunua hata chumvi ya NEAL😂😂😂😂kisa mmestopisha mshahara wake hahahahhajaa had sasa nacheka balaa jaman😂😂😂
 
umeuliza kwa hiyari yako sasa subiri upewe majibu , kama ulikuwa unabeep sasa ndio utajua maana ya tigo rusha

😂😂😂😂😂😂😂😂ila ww week hili.unanifirahisha mno..asbh bimekumbuka uzi wako wa lissu ati oh mlidhani Lisu.hataweza nunua hata chumvi ya NEAL😂😂😂😂kisa mmestopisha mshahara wake hahahahhajaa had sasa nacheka balaa jaman😂😂😂 mtoa mada anatuenjoy tu huyu😏
 
lisu alidhamilia kutengeneza movi ya kiki za kisiasa
Wewe ni mmoja wa shetani ambao hamuwezi kutoa shetani wezenu. Mtumwa wa DHAMBI na mtetea DHAMBI. Ila eleweni mtake msitake DHAMBI YA KUTAKA KUMUUA LISU MTAIBEBA TU. maana mnajitahidi kuisukumia kwa wengine. MUNGU ANAJUA NI YENU TU. hahahaaaa kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
 
Back
Top Bottom