Hiyo dhana ya mwisho ya internal cdm politics mbona iko na logic sana.
 
Tundu alijipiga mwenyewe akishirikiana na dereva wake huku wakielekezana wapi pa kupiga, iweje risasi zikuparue miguuni na maeneo yasiyo hatarishi. Hivi risasi 38 zikuhache na pumzi? hata kama ni kipofu anapokuelekezea mtutu na akaminya traiga naamini dereva na Tundu leo hii ingekuwa historia. Haitaji nguvu kupeleleza hili tukio pindi dereva akipatikana Mtuumiwa namba 2 atakuwa amepatikana ilihali mtuhumiwa namba moja ni Tundu mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchambuzi wako umeonyesha wazi upande ulio egemea. Na uchambuzi wa aina hii ndio miongoni mwa unafiki. Hoja inabaki pale pale ya kwamba ni nani aliyetaka kumuua Tundu Lissu? Jibu la swali hili linatakiwa kujibiwa na serikali kupitia vyombo vyake vya usalama, kwa sababu ndio yenye dhamana ya usalama wa raia wake. Kabla ya tukio kulikua na taharifa kutoka kwa Lissu kwamba kuna watu wanamfuatilia, na baadae likatokea tukio baya sana kwa taifa zima. Je kabla ya tukio na baada ya tukio serikali kwa kupitia vyombo vya usalama imechukua hatua gani? Hapo ndio penye hoja kuu, na bado halija patikana jibu.
 
Ufisadi maana yake ni uharibifu. Kwa hiyo ulichoandika ni ufisadi wa matumizi ya akili.
 
Neno la Mungu halijawahi kuanguka bure, likisema ukifanya hivi utabarikiwa lazima utabarikiwa pindi tu ukifanya, likisema utalaaniwa ukifanya hivi, na wewe ukafanya basi lazima ulaaniwe.
Unaweza ukawa mfalme au mtu maarufu lakini ukawa uko chini ya laana.
Ukiwa chini ya laana ni mateso makubwa, kizazi chako chote kinalaaniwa kupitia wewe, Mungu anachukia mpaka shamba lako. Amani ya kudumu inang'olewa nyumbani mwako, unapanda mbegu magunia hata kumi unavuna gunia moja(juhudi na matokeo vinakinzana).
Na mwisho kabisa unakuwa na mwisho mbaya.
Watanzania tunaomwamini Mungu tufunge mjadala wa juu ya attempt ya mauaji ya Lisu , huyu mtu ashajiweka chini ya laana.
Ataangushwa kama umeme na Mungu mwenyewe.
I believe in God, I have seen His dids, He is absolutely true.
Nimeandika katika roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…