Hata Shetani anakushangaa sana!

Basi tukujibu tu kuwa alijipiga mwenyewe.
 
Kumbe yale matundu yanayoonekana kwenye gari ndiyo koo, strange world. Wakati naiona picha ya lile gari huku nikijaribu kuhesabu yale matundu sikuwa na ufahamu kuwa kile ni kioo, na hata ya kuwa Lissu si statue na hana uwezo wa kugeuka au kujigeuza ua kujilaza kifudifudi sikuwa nikifahamu.
Hivi kwanini wale mnaojua kilichojiri huwa mnajaribu kuja na theories zisizo na mashiko kujaribu ku'deceive huku mkijua kila mtu anajua ni vipepeo aka wasiojulikana ndiyo walimshambuli wakiongozwa na Bashiboy kwa amri ya Burigichato?
Jaribuni kuwa na haya, watu wameyaacha kwa sasa na kama mnayaibua ikiwa ni strategies za malengo fulani inaweza ikawa na negative impact yakawaendea kinyume kabisa na plans zenu.
Sometimes jaribuni kutumia akili badala ya matako.
 
Mleta Uzi unamdhalilisha mwenye asili ya hilo jina lako..Yeye alikuwa na ubinadamu na zaidi alikuwan na akili na maarifa.Wewe umekosa vyote,unauliza maswali yakitoto sana,...
 
Rubbish
 
Dereva alisha eleza kwamba alimlaza kwenye kiti chake ndiyo maana mguu ule ulipata damage kubwa. Angelaza kiti chake lazima angepoteza maisha.
 
Polisi wenu wako wapi? Wanakwepa nini kupokea vimaelezo vyenu ?
 
Mlete aliyempiga risasi atufafanulie
 
Hawa ni wale wanaomkejeli Lissu, usiumize kichwa chako
 
Mkuu, msamehe bure! Ingekuwa ni baba yake kapata tukio lile, angeuliza hivyo?
 
Pamoja tofauti/chuki za kiitikadi,mwisho wa siku tuwe na hofu ya Mungu na UBINADAMU. Kwa risasi zilizotolewa ndani ya mwili wake,inatosha kutambua ukubwa wa tukio na namna Mungu alivyosimama upande wake. Badala ya kuhoji (kwa KEJELI) mguu upi ulipaswa upigwe risasi,tuhoji ASKARI wa lindo walikuwa wapi siku ile? CCTV CAMERA imeenda wapi? Ni kweli tunahitaji uwepo wa DEREVA wake kukamilisha upelelezi? Kama vyombo vya ulinzi na usalama (polisi) vimeshindwa kutuletea MAJIBU,basi tumuache Lisu apumzike badala ya kumsimanga na kumkejeli.
 
Uchunguzi wa polisi ukikamilika utakuja na majibu ya maswali yote ya tukio zima.

Tuendelee kusubiri
 
Kama kweli ameumia mguu wa kulia kweli inafikirisha kwani kwa magari yanayotumika Tanzania dereva hukaa upande wa kulia na anayemuendesha kushoto. Labda kama alikaa nyuma ya dereva, kama alikaaa mbele mhh
Mkuu ata mimi nashangaa yaani gari inagongana uso kwa uso alafu dereva afi ila abiria siti ya nyumba anakufa
 
Mkuu anasema kama kuna mtu anaongea sana na anawasaliti dawa ni kumpiga risasi!
 
Usihangaike sana Tundu Lissu hamkumpiga risasi yuko mzima Ubelgiji anatanua na mke wake.
 
Ni ujinga kuendelea kujiuliza maswali kama hayo baada ya miaka 2 kupita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…