SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,016
- 13,780
Hata Shetani anakushangaa sana!JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.
Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.
2 Mguu ulioumia ni wa kulia..
3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?
4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?
5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.
Karibuni wataalamu tudadavue.
Queen Esther
Basi tukujibu tu kuwa alijipiga mwenyewe.