Wewe sio serikali
Acha serikali ijitetee yenyewe..

Why walizuia wabunge kumtembelea hospitali?

Why matibabu pia walileta zengwe?
Kumfukuza ubunge je??

Hata polisi hutazama trends za matukio baada ya tukio kupata wahusika wa wa uhalifu..
 
Hakuna mwiba ambao ccm imewahi kukutana nao tangu nchi ipate uhuru isipokuwa LISSU.

Mwanamageuzi halisi asiyeyumbishwa na vipande vya mkate na sarafu.

Ni shujaa na jasiri asiogopeshwa kwa mtutu wa bunduki.
 
Punguza upumbavu basi,hakuna mtoto humu

Umekuja kwenye wrong platform kuelezea propaganda za kipumbavu

Peleka facebook ndio unaweza danganya watoto kule,humu unaonekana kiazi na beyond kiazi

Serikali haijampiga risasi,nani kampiga sasa?Jibu huna

Waje independent investigators basi...hapanaaaa!

Mataahira nyie
 
Ujinga ukitamalaki kwenye akili. Uwezo wa kufikiri unakuwa duni na mwishowe kuandika ujinga kama huu. Sema Ameen
 
Kwa nini serikali mpaka leo haijamkamata mtumuhumiwa? Akili zikihamia tumboni ni tatizo sana.....
 
Usimfananishe Tundu Lissu na hizo takataka zingine.....

Tundu Lissu ndio nabii pekee aliyetabiri ujio wa dikteta uchawara na alikemea hadharani ukabila wa magufuli

Btw tunarais wa ajabu haijawahi kutokea, rais wa ajabu kumpiga mtu risasi sio kitu cha ajabu...
 
Kwahiyo angekufa mngeichukua hiyo maiti ikafungue jalada?

Halafu umeuliza maswali ni kwanini wakina Mbowe na Slaa hawakushambuliwa kwa risasi enzi hizo?
Jibu: Kulikuwa hakuna serikali zenye ukatili uliokithiri kiasi hicho! Ndiyo maana matukio mengi ya kinyama yamefanyika chini ya Magufuli maana serikali yake imekosa utu mno!
 
😁😁😁😁,kwanini walinzi wa Suma JKT waliondolewa getini?Nani amewahi kuwahoji ili kujua kwanini hawakuwa lindoni kwenye makazi yanayolindwa 24/7?
Nani mwenye nguvu ya kuondoa ulinzi huo?
Nani kamnyima haki yake ya matibabu?Nani kamfukuza ubunge?Yaani hapo huonj trend ya chuki dhidi ya Lissu?
Siku ya tukio,JPM alisema watu kama Lissu wanapaswa kupotezwa!
Kuna YEHODAYA humu walikuwa wakimsisitiza JPM amuue Lissu wazi wazi kabisa!
 
Pumbavu

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…