Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Wewe sio serikali
Acha serikali ijitetee yenyewe..

Why walizuia wabunge kumtembelea hospitali?

Why matibabu pia walileta zengwe?
Kumfukuza ubunge je??

Hata polisi hutazama trends za matukio baada ya tukio kupata wahusika wa wa uhalifu..
 
Habari wakuu, leo nafikia ukomo wa kiu yangu ya kutaka kuueleza ukweli umma wa watanzania kupitia jukwaa la siasa la JF. Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu na ikizingatiwa kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakilitumia tukio la kupigwa risasi kwa aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki, rais wa TLS na sasa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Tundu Antipas Lissu kama ajenda ya kuombea kura huku wengi wakiituhumu serikali ya Tanzania kuhusika na ' jaribio hilo la kumwua' Lissu. Jambo kubwa la kujijliza ni kuwa kwanini Lissu alipigwa risasi? Kwanini mpaka sasa hakuna mtu anayetuhumiwa na tukio hilo? Kwanini Lissu hashughuliki na kufungua jalada/shauri katika vyombo vya dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa taifa letu? Haya yote yana maelezo niliyoyapata kutoka vyanzo tofauti vya kuaminika. Ikumbukwe kuwa wakati tukio hilo linatokea nchi ilikuwa katika kipindi cha sintofahamu juu ya ujio wa ndege iliyokuwa imezuiwa na wadeni wa taifa, pia mvutano kati ya kampuni ya ACACIA mining PLC na serikali juu ya sakata la makinikia. Ni dhahiri kuwa haya yote yalikuwa mzigo mzito kwa serikali ya CCM iliyotaka kujiimarisha kisiasa. Mbali na kuwa haya yalikuwa yakitokea Lissu hakusita 'kupiga spana' kwa serikali aliyokuwa akiipinga. Kimsingi mwenendo wa matukio ya wakati huo yaliashiria kuhusika kwa serikali katika shambulizi la Lissu lakini ukweli ni huu hapa: Tundu Lissu alikuwa akikaririwa kuwatetea wadeni na ACACIA MINING PLC, huku akitumia taaluma yake ya sheria na weledi wake wa kuwasilisha hoja kuendelea kuikandia serikali. Alienda mbali zaidi hata kuzitaka nchi wahisani kusitisha misaada nchini na kuomba Tanzania iwekewe vikwazo na nchi hizo. Kufuatia jitihada zake hizo kukwama ndipo tukio la kupigwa risasi 16 likatokea. Naufahamisha umma kuwa Lissu alijaribu kukutana na viongozi waandamizi wa jumuiya ya wawekezaji wa kigeni wa madini nchini na kuingia makubaliano ya kutoa msaada kuhakikisha kuwa mkakati wa udhibiti wa biashara za madini nchini uliokuwa ukitekelezwa na serikali unakwama kupitia upinzani. Kwa bahati mbaya au nzuri mkakati huo ulishindikana kuzuilika kwa mujibu wa makubaliano aliyoyafanya Lissu na wabia wake hao. Alilipwa kiasi cha fedha kutokana na makubaliano ya awali na wabia wake hao walitakiwa kumlipa 10% ya faida ya madini itakayokuwa inapatikana kwa miaka kumi kama mpango huo ungekamilika. Ziko taarifa pia watu wanaomwezesha kiuchumi katika uchaguzi huu wamesaini makubaliano kama hayo ikiwa atashinda Urais mwaka huu. Baada ya mpango huo kukwama ndipo bodi ya wakurugenzi wa baadhi ya makampuni ya kigeni ya madini nchini walipojitoa katika makubaliano hayo na kuandaa shambulizi dhidi ya Lissu. Na hapo ndipo serikali iliposhindwa kutoa ushirikiano baada ya kuanza kusakamwa na kutuhumiwa katika shambulizi hilo.
Ili kupata kuelewa mwenendo wa matukio hayo, mambo yafuatayo yanafaa kuzingatiwa:

1. Kwanini serikali haikumshambulia Dr. Wilbroad Slaa wakati wa vuguvugu la Richmond?

2. Kwanini serikali haikumshambulia Freeman Mbowe wakati ikitekeleza malipo kwa DOWANS.

3. Kwanini serikali haijazua passport ya kusafiria ya Lissu alipokuwa akizunguka nchi kadhaa duniani huku akiipinga serikali ya Magufuli?

Kwakweli haya yote yangewezekana kutekelezeka kwa namna yoyote lakini hayakufanyika.

View attachment 1578942
Hakuna mwiba ambao ccm imewahi kukutana nao tangu nchi ipate uhuru isipokuwa LISSU.

Mwanamageuzi halisi asiyeyumbishwa na vipande vya mkate na sarafu.

Ni shujaa na jasiri asiogopeshwa kwa mtutu wa bunduki.
 
Punguza upumbavu basi,hakuna mtoto humu

Umekuja kwenye wrong platform kuelezea propaganda za kipumbavu

Peleka facebook ndio unaweza danganya watoto kule,humu unaonekana kiazi na beyond kiazi

Serikali haijampiga risasi,nani kampiga sasa?Jibu huna

Waje independent investigators basi...hapanaaaa!

Mataahira nyie
 
Habari wakuu, leo nafikia ukomo wa kiu yangu ya kutaka kuueleza ukweli umma wa watanzania kupitia jukwaa la siasa la JF. Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu na ikizingatiwa kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakilitumia tukio la kupigwa risasi kwa aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki, rais wa TLS na sasa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Tundu Antipas Lissu kama ajenda ya kuombea kura huku wengi wakiituhumu serikali ya Tanzania kuhusika na ' jaribio hilo la kumwua' Lissu. Jambo kubwa la kujijliza ni kuwa kwanini Lissu alipigwa risasi? Kwanini mpaka sasa hakuna mtu anayetuhumiwa na tukio hilo? Kwanini Lissu hashughuliki na kufungua jalada/shauri katika vyombo vya dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa taifa letu? Haya yote yana maelezo niliyoyapata kutoka vyanzo tofauti vya kuaminika. Ikumbukwe kuwa wakati tukio hilo linatokea nchi ilikuwa katika kipindi cha sintofahamu juu ya ujio wa ndege iliyokuwa imezuiwa na wadeni wa taifa, pia mvutano kati ya kampuni ya ACACIA mining PLC na serikali juu ya sakata la makinikia. Ni dhahiri kuwa haya yote yalikuwa mzigo mzito kwa serikali ya CCM iliyotaka kujiimarisha kisiasa. Mbali na kuwa haya yalikuwa yakitokea Lissu hakusita 'kupiga spana' kwa serikali aliyokuwa akiipinga. Kimsingi mwenendo wa matukio ya wakati huo yaliashiria kuhusika kwa serikali katika shambulizi la Lissu lakini ukweli ni huu hapa: Tundu Lissu alikuwa akikaririwa kuwatetea wadeni na ACACIA MINING PLC, huku akitumia taaluma yake ya sheria na weledi wake wa kuwasilisha hoja kuendelea kuikandia serikali. Alienda mbali zaidi hata kuzitaka nchi wahisani kusitisha misaada nchini na kuomba Tanzania iwekewe vikwazo na nchi hizo. Kufuatia jitihada zake hizo kukwama ndipo tukio la kupigwa risasi 16 likatokea. Naufahamisha umma kuwa Lissu alijaribu kukutana na viongozi waandamizi wa jumuiya ya wawekezaji wa kigeni wa madini nchini na kuingia makubaliano ya kutoa msaada kuhakikisha kuwa mkakati wa udhibiti wa biashara za madini nchini uliokuwa ukitekelezwa na serikali unakwama kupitia upinzani. Kwa bahati mbaya au nzuri mkakati huo ulishindikana kuzuilika kwa mujibu wa makubaliano aliyoyafanya Lissu na wabia wake hao. Alilipwa kiasi cha fedha kutokana na makubaliano ya awali na wabia wake hao walitakiwa kumlipa 10% ya faida ya madini itakayokuwa inapatikana kwa miaka kumi kama mpango huo ungekamilika. Ziko taarifa pia watu wanaomwezesha kiuchumi katika uchaguzi huu wamesaini makubaliano kama hayo ikiwa atashinda Urais mwaka huu. Baada ya mpango huo kukwama ndipo bodi ya wakurugenzi wa baadhi ya makampuni ya kigeni ya madini nchini walipojitoa katika makubaliano hayo na kuandaa shambulizi dhidi ya Lissu. Na hapo ndipo serikali iliposhindwa kutoa ushirikiano baada ya kuanza kusakamwa na kutuhumiwa katika shambulizi hilo.
Ili kupata kuelewa mwenendo wa matukio hayo, mambo yafuatayo yanafaa kuzingatiwa:

1. Kwanini serikali haikumshambulia Dr. Wilbroad Slaa wakati wa vuguvugu la Richmond?

2. Kwanini serikali haikumshambulia Freeman Mbowe wakati ikitekeleza malipo kwa DOWANS.

3. Kwanini serikali haijazua passport ya kusafiria ya Lissu alipokuwa akizunguka nchi kadhaa duniani huku akiipinga serikali ya Magufuli?

Kwakweli haya yote yangewezekana kutekelezeka kwa namna yoyote lakini hayakufanyika.

View attachment 1578942
Ujinga ukitamalaki kwenye akili. Uwezo wa kufikiri unakuwa duni na mwishowe kuandika ujinga kama huu. Sema Ameen
 
Kwa nini serikali mpaka leo haijamkamata mtumuhumiwa? Akili zikihamia tumboni ni tatizo sana.....
 
Usimfananishe Tundu Lissu na hizo takataka zingine.....

Tundu Lissu ndio nabii pekee aliyetabiri ujio wa dikteta uchawara na alikemea hadharani ukabila wa magufuli

Btw tunarais wa ajabu haijawahi kutokea, rais wa ajabu kumpiga mtu risasi sio kitu cha ajabu...
 
Kwahiyo angekufa mngeichukua hiyo maiti ikafungue jalada?

Halafu umeuliza maswali ni kwanini wakina Mbowe na Slaa hawakushambuliwa kwa risasi enzi hizo?
Jibu: Kulikuwa hakuna serikali zenye ukatili uliokithiri kiasi hicho! Ndiyo maana matukio mengi ya kinyama yamefanyika chini ya Magufuli maana serikali yake imekosa utu mno!
 
😁😁😁😁,kwanini walinzi wa Suma JKT waliondolewa getini?Nani amewahi kuwahoji ili kujua kwanini hawakuwa lindoni kwenye makazi yanayolindwa 24/7?
Nani mwenye nguvu ya kuondoa ulinzi huo?
Nani kamnyima haki yake ya matibabu?Nani kamfukuza ubunge?Yaani hapo huonj trend ya chuki dhidi ya Lissu?
Siku ya tukio,JPM alisema watu kama Lissu wanapaswa kupotezwa!
Kuna YEHODAYA humu walikuwa wakimsisitiza JPM amuue Lissu wazi wazi kabisa!
 
Habari wakuu, leo nafikia ukomo wa kiu yangu ya kutaka kuueleza ukweli umma wa watanzania kupitia jukwaa la siasa la JF. Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu na ikizingatiwa kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakilitumia tukio la kupigwa risasi kwa aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki, rais wa TLS na sasa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Tundu Antipas Lissu kama ajenda ya kuombea kura huku wengi wakiituhumu serikali ya Tanzania kuhusika na ' jaribio hilo la kumwua' Lissu. Jambo kubwa la kujijliza ni kuwa kwanini Lissu alipigwa risasi? Kwanini mpaka sasa hakuna mtu anayetuhumiwa na tukio hilo? Kwanini Lissu hashughuliki na kufungua jalada/shauri katika vyombo vya dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa taifa letu?

Haya yote yana maelezo niliyoyapata kutoka vyanzo tofauti vya kuaminika. Ikumbukwe kuwa wakati tukio hilo linatokea nchi ilikuwa katika kipindi cha sintofahamu juu ya ujio wa ndege iliyokuwa imezuiwa na wadeni wa taifa, pia mvutano kati ya kampuni ya ACACIA mining PLC na serikali juu ya sakata la makinikia. Ni dhahiri kuwa haya yote yalikuwa mzigo mzito kwa serikali ya CCM iliyotaka kujiimarisha kisiasa.

Mbali na kuwa haya yalikuwa yakitokea Lissu hakusita 'kupiga spana' kwa serikali aliyokuwa akiipinga. Kimsingi mwenendo wa matukio ya wakati huo yaliashiria kuhusika kwa serikali katika shambulizi la Lissu lakini ukweli ni huu hapa: Tundu Lissu alikuwa akikaririwa kuwatetea wadeni na ACACIA MINING PLC, huku akitumia taaluma yake ya sheria na weledi wake wa kuwasilisha hoja kuendelea kuikandia serikali. Alienda mbali zaidi hata kuzitaka nchi wahisani kusitisha misaada nchini na kuomba Tanzania iwekewe vikwazo na nchi hizo. Kufuatia jitihada zake hizo kukwama ndipo tukio la kupigwa risasi 16 likatokea. Naufahamisha umma kuwa Lissu alijaribu kukutana na viongozi waandamizi wa jumuiya ya wawekezaji wa kigeni wa madini nchini na kuingia makubaliano ya kutoa msaada kuhakikisha kuwa mkakati wa udhibiti wa biashara za madini nchini uliokuwa ukitekelezwa na serikali unakwama kupitia upinzani.

Kwa bahati mbaya au nzuri mkakati huo ulishindikana kuzuilika kwa mujibu wa makubaliano aliyoyafanya Lissu na wabia wake hao. Alilipwa kiasi cha fedha kutokana na makubaliano ya awali na wabia wake hao walitakiwa kumlipa 10% ya faida ya madini itakayokuwa inapatikana kwa miaka kumi kama mpango huo ungekamilika. Ziko taarifa pia watu wanaomwezesha kiuchumi katika uchaguzi huu wamesaini makubaliano kama hayo ikiwa atashinda Urais mwaka huu. Baada ya mpango huo kukwama ndipo bodi ya wakurugenzi wa baadhi ya makampuni ya kigeni ya madini nchini walipojitoa katika makubaliano hayo na kuandaa shambulizi dhidi ya Lissu. Na hapo ndipo serikali iliposhindwa kutoa ushirikiano baada ya kuanza kusakamwa na kutuhumiwa katika shambulizi hilo.
Ili kupata kuelewa mwenendo wa matukio hayo, mambo yafuatayo yanafaa kuzingatiwa:

1. Kwanini serikali haikumshambulia Dr. Wilbroad Slaa wakati wa vuguvugu la Richmond?

2. Kwanini serikali haikumshambulia Freeman Mbowe wakati ikitekeleza malipo kwa DOWANS.

3. Kwanini serikali haijazua passport ya kusafiria ya Lissu alipokuwa akizunguka nchi kadhaa duniani huku akiipinga serikali ya Magufuli?

Kwakweli haya yote yangewezekana kutekelezeka kwa namna yoyote lakini hayakufanyika.

View attachment 1578942
Pumbavu

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom