Leave the issue to bodies concerned. The police force.
 
Kabisa mimi naungana na Mleta uzi, Lisu atafute waliompiga risasi aachane na serekale.

Yaliyoendelea baada ya tukio, kama kumfukuza Ubunge, kusita kufanya uchunguzi wa tukio n.k labda ndio vinawasukuma kuihusisha Mamlaka.....labda mlitaka afarijiwe jambo ambalo ni hiari sio lazima.
 
And then what?

JPM ataapishwa tena...

Viva Magu 2020 to 2030...
Hakuna mwiba ambao ccm imewahi kukutana nao tangu nchi ipate uhuru isipokuwa LISSU.

Mwanamageuzi halisi asiyeyumbishwa na vipande vya mkate na sarafu.

Ni shujaa na jasiri asiogopeshwa kwa mtutu wa bunduki.
 
Aijipi alikataa independent investigators kasema jeshi la polisi na vitengo vya serikali bado vina uwezo.

Mungu yupo , hivi unaanzaje kumwaga damu ya mwenzako kisa cheo tu?
 
UJOBHILE- UMESEMA-POINT
 
Tuko kwenye kampeni, tumeisha sahau tunaendela mbele...
 
UJOBHILE- UMESEMA-POINT
 
Propaganda dhaifu!Ni aibu serekali ya CCM kukulipa posho kwa kodi za watanzania halafu unakuja na propaganda dhaifu kama hii!Kama ni kweli alipigwa risasi kwa sababu ya kuhujumiana na hao wahalifu basi serekali ingeruhusu uchunguzi wa FBI pamoja na lile shirika la kichunguzi la uengreza ila serekali ilikataa
 
Kwa mujibu wa maelezo yako unataka kusema waliomshambulia Lisu ni nani?
 
watu povu kwa wingi[emoji3][emoji3]

Viva Magu 2020 to 2030
 
Maelezo marefu mavi tupu....pumbafu
 
Mkuu una mengi kwanini umefupisha? Waambie mpango wa Mbowe kumtuma Saanane kwa nchi wahisani kuwashawishi kusitisha misaada kwa Tz kama njia ya juidhoofisha serikali na nchi isitawalike. Alipomaliza kuzunguka hakupata wa kumuunga mkono hata mmoja. Aliporudi kudai malipo kwa Mbowe, mbowe alikataa kumlipa badala yake akamwandalia mazingira kumwua. Saanane akalazimika kuhama nchi. Ndiyo maana mtoa taarifa za kupotea kwa saanane ni mbowe pekee na siyo familia yake. Na ndiye pekee aliyepata ujumbe wa mwisho wa saanane.

Lakini chadema kwa kukosa akili hawafikirii hili. Na ndiyo maana hata mbowe aliposema kavamiwa na kuumizwa mguu, walikimbilia kuilaumu serikali hata bila kujua ukweli.
 
Hujamwlewa huyu jamaa, anataka kutuaminisha waliompiga risasi ni alikua anawatetea maana walimlipa hela fulani tayari.

Hahahahaa, kuna saa bora kukaa kimya tu kuliko hoja kama hii JF.
 
Imeniuma sana tangu tufunge zile cctv camera zile nyumba wanazoishi akina kalemani pale Dodoma wameishia kuzing'oa halafu malipo yetu wanasema mpaka yahakikiwe ndio tulipwe Mungu anawaona.
 
Kumbe Saanane hajafa ila amekimbia nchi? Yu wapi basi, maana inaonekana unataarifa zake? Na aliko kwann hawasiliani na ndugu zake?

Kama wawasiliana nae mwambie arudi, serikali ni ya CCM na JPM sio MBOWE wala CHADEMA, akirudi ajisalimishe polisi watampa ulinzi wa kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…