Harrison Justine
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,136
- 559
Saaa 48
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewakanyaga siafuChonde Chonde.
Kwa heshima na taadhima tunaomba punguzeni dhihaka dhidi ya Raisi wetu John Pombe Magufuli.
Sisi tuliomchagua Rais Magufuli kuwa Rais wa Tanzania, tunavumilia sana dhihaka, matusi, kebehi na kashfa nyingi zinazotolewa dhidi ya Rais wetu tuliye mchagua kidemokrasia
kabisa.
Mjue kuwa mnapomtukana mnatutukana sisi pia.
Kama mnaona hafanyi yanayopendeza basi mwandaeni mgombea mnayemwona ni mtu anayefaa, fanyeni kampeni na mumchague awe Raisi wa Tanzania katika uchaguzi ujao.
Sasa hivi humu JF mtu akiandika kimsifia Rais Magufuli basi anaonekana hafai katika jamii, anatukanwa matusi yote yanayojulikana, na yasiyojulikana.
Huu sio uungwana hata kidogo, inakuwa kama imani ya dini.
Leo mtu akiandika kuuponda utawala wa Magufuli ndio anaonekana anabusara.
Tunalazimishwa kuwa na mawazo ya aina moja tu ya kuikashifu serikali.
Kumbukeni kuwa hata huyo mnaetaka awe Raisi wa Tanzania hatapendwa na kuchaguliwa na Watanzania wote.
Je ninyi mtapenda awe anatukanwa kila kukicha ?
Kama mnasingizia kuwa Magufuli ni mbaya mbona mlimtukana sana Raisi mstaafu Jakaya Kikwete enzi za utawala wake ?
Mbona mlimtukana Mkapa, na hata Mwinyi, na
Nyerere pia.
Hii tabia ya kiwatukana Viongozi mlioawachagua wenyewe haikubaliki hata kidogo.
Sisi tuliowachagua hawa viongozi tupo kimya sio kwamba hakuna mahali wamapotuudhi ila tunatimiza wajibu wa kuheshimu viongozi tuliowachagua na kama wanatenda mambo maovu na hawashauriki, tunajua jinsi ya kuwanyima kura pindi wakiomba tena nafasi ya kuchaguliwa.
Raisi John Pombe Magufuli ndiye Rais halali wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kwa wakati huu.
Ni wajibu wetu kumpa heshima zote kama kiongozi wa kitaifa na kama binadamu wa kawaida anayepaswa kuheshimiwa.
Sisi tuliomchagua na kumweka madarakani tunawavumilia sana dhihaka zenu dhidi ya kiongozi wetu huyu wa
Kitaifa.
Kama kuna jambo hamlidhiki nalo tumieni taratibu tulizojiwekea za kumweleza muwakilishi wenu kama Diwani au Mbunge atafikisha madai yenu kunako husika.
Mwaka 2020 naomba mtuwekee huyo malaika tumchague.
Atakayekuwa,
Mwema kupita wote,
Mpole kupita wote,
Mrefu kupita wote,
Mnene kupita wote,
Ana wake wengi kupita wote,
Mwenye akili kupita wote,
Mwenye hekima kupita wote,
Mweusi kupita wote,
Mfupi kupita wote,
Mzuri kupita wote,
Tajiri kupita wote,
Msafi kupita wote.
nk.
Ili angalao tujifumze kumheshimu.
where we dare to talk openlyChonde Chonde.

AmenWewe ni mtu fulani mwenye elimu nzuri sana lakini
Conclusion zako zimejaa unafiki na ushabiki sana maana dhana fulani ulizotumwa kuzitetea umetumia nguvu nyingi sana kuzitetea bila kutumia akili.
Kwa sababu kama maadui wa serikali wamehusika mlivyo na njaa nao namna hiyo si mngewameza wazima wazima ili kuwahadaa wananchi kwa kazi nzuri.
Mnafiki mkubwa na kama umetumwa sehemu ya laana ya damu ya mtu huyu na iwe juu yako
Wahalifu ambao Hawatakiwi WajulikaneNi Makonda DAB kwa kuelekezwa na Sizonje au Yohana Mvinya Vitasa! Muulize DAB anajua kila kitu. Hakuna cha watu wasiojulikana hapa
Usiwe Kama Boya, CHADEMA ndio wanatembea na Nissan Patrol nyeupe? CHADEMA watekeleze unyama ule halafu watoke salama viunga vya Dodoma? Chadema ndio waliomteka Roma Mkatoliki?Tukio lililomkuta Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antipus Lissu ni kama utunzi wa tamthilia yenye lengo la kummaliza kisiasa ndani ya chama chake baada ya kuonekana aking'ara kisiasa na haiwezekani tena kuzuilika ikiwa atatachukua fomu ya Uenyekiti au kuwania urais.
Lissu si katika orodha ya waasisi wa CHADEMA. Hatoki katika mikoa ya Kilimanjaro, Arusha au Manyara. Ni Mnyaturu anayetokea Ikungi huko Mkoani Singida aliyejiunga na chama hicho wakati kimepata usajili kamili kisheria.
Hawezi kujigamba au kujinasibu kuwa naye amekisumbukia hadi mahali kilipo. Lissu pamoja na kuwa si miongoni mwa waasisi ila sifa zake ikiweko na umachachari wake kisiasa, tayari amewapiku na kuwaacha mbali kina Freeman Mbowe, Godbless Lema, Msafiri Matalemwa, Halima Mdee, John Mnyika na Salum Mwalim.
Pamoja na ujio wa kina Professa Abdallah Safari aliyehamia CHADEMA akitokea CUF, Profesa Mwesiga Baregu na Mabere Marando waliokiacha chama chao NCCR -Mageuzi kuhamia CHADEMA pia wamepitwa kwa masafa marefu kisiasa.
Lissu amefanikiwa kujijengea himaya na ngome ya kisiasa ndani ya CHADEMA huku akikubalika katika makundi ya vijana na wanawake lakini pia wasomi wenzake wakimuunga mkono na kumuamini.
Mbowe anatajwa kuchujuka na kupauka kisiasa huku akipoteza mvuto ikiwemo na kuzuka kwa sakata la kimahaba kati yake na msichana mrembo Wema Isack Sepetu.
Hata hivyo wadadisi wa mambo ya kisiasa wanaeleza kuwa bado lipo kundi kubwa la wanachama ambao bado wana kinyongo na Mbowe kwa kutumia nguvu zake kimadaraka kumkaribisha Edward Lowassa ndani ya CHADEMA .
Madai yao mengine ni kwamba Mbowe ndiye aliyeifuta heshima ya chama hicho ya kupigania mabadiliko na kupambana na ufisadi kwa kumleta Lowasaa ambapo hoja hiyo sasa imetekwa nyara na Serikali ya Rais Dk John Magufuli.
Lipo kundi la vijana ambalo linaloamini kuwa haikuwa sahihi kabisa Fredrick Sumaye naye kuhamia CHADEMA wakati kabla ya kuhama CCM aliwahi kutoa matamshi kuwa ikiwa CCM kitamteua Lowassa mwenye makando kando ya ufisadi, angekihama chama hicho .
Kundi jingine linalojiita Mtazamo Mpya wa Mageuzi (M3) linakataa katakata kuwekwa mbele Sumaye na Lowasa huku kundi jingine linalojulikana kwa jina la Vijana wa Fikra Mbadala (VFM) likiamini bila ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA, chama hicho kisingepata idadi ya viti vya udiwani, kura za urais na ubunge.
Vyovyote itakavyokuwa uwepo wa Wanasiasa wakongwe ndani ya CHADEMA na ujio wa Wanasiasa wapya vigogo toka CCM akiwemo Lowassa, Lawrance Masha, Makongoro Mahanga, James Lembeli hakujashusha hadhi ya Lissu huku akionekana kuwazidi turufu wote.
Licha ya Lissu kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama na Mnadhimu wa CHADEMA kwenye Bunge, amekuwa ndiye mkosoaji mkubwa kwa baadhi ya mambo ndani ya vikao vya juu vya chama hicho huku akisema haridhishwi na ulipwaji madeni kwa fedha za ruzuku anazolipwa Mwenyekiti Mbowe .
Pamoja na uthubutu wa Lissu kuikosoa CHADEMA pia amekuwa akikosoa na kutema nyongo kwa masuala mbalimbali ya Serikali ya CCM hatua ambayo pia imemjengea misuli ya umashuhuri mkubwa ndani na nje ya chama hicho.
Watu wa karibu na washirika wa Lissu wanaeleza kinaga ubaga kuwa kiongozi pekee wa kukiongoza chama hicho kwa wakati huu anayefaa kukiuza chama hicho mbele ya Wananchi kwa thamani ile ile ya kabla ya ujio wanasiasa wadandiaji (store aways politician) ni Lissu na wala si Mbowe, Lowassa au Sumaye.
M3 na VFM wanakubariana na kufungamana kifikra na kimtazamo katika hoja ya kupata safu mpya ya uongozi ndani ya CHADEMA ikiwemo kumpa Mwenyekiti mpya na mgombea asiyetajika kwa majina mabaya mbele ya jamii.
Pia makundi hayo yanaamini kuwa mchango na msaada wa Sumaye ni mdogo sana kutokana na mwanasiasa huyo kutokuwa na mwitikio na mvuto toka akiwa CCM na hata aliposhika Uwaziri Mkuu.
Ikiwa shambulio na tukio hilo la kumdhuru Lissu ni ujambazi kama ulivyo ujambazi mwingine , majambazi hao ikiwa watakamatwa, vyombo vya dola vitatakiwa kujua na kuelezwa wanatakiwa kwa kina kwanini wameshiriki kufanya ukatili huo, amewatuma nani na kwa maslahi yapi.
Tukio la Lissu limekwenda sanjari na kupigwa risasi hadharani Brigedia Jenerali Visent Massawe hali inayovilazimisha vyombo vya upelelezi na uchunguzi kuifanya kazi hiyo kwa uharaka na umakini mkubwa.
Hivi ni kina nani, kundi gani, majambazi wa wapi ambao wameshiriki kufanya matukio haya ya kikatili huku wakiuwa wananchi huko Kibiti, kuteka nyara Watoto, wakimshambulia vibaya kwa risasi Mwanasiasa galacha Tundu Lissu wakati huo huo wakimcharaza risasi Mwanajeshi mwenye cheo cha juu katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Brigedia Jenerali Visent Massawe.
Yote kwa yote ni mambo ya kusubiri na kuvipa muda na wakati vyombo vya upelelezi. Wakati ni kama ukuta, utakapowadia kila kitu kitafahamika na kuwekwa wazi, hapo ndipo kila asiye na mwana atakapoeleka jiwe, mbivu na mbichi zitakapojulikana na kueleweka kama wapo watakao suka au kunyoa.
Mbona unahangaika sana mkuu?........mhusika ni BASHITE............................siyo hao unaowasemaTukio lililomkuta Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Antipus Lissu ni kama utunzi wa tamthilia yenye lengo la kummaliza kisiasa ndani ya chama chake baada ya kuonekana aking'ara kisiasa na haiwezekani tena kuzuilika ikiwa atatachukua fomu ya Uenyekiti au kuwania urais.

Albadir iko palepale itasomwa kenyaHebu tusaidie, watu hao wana uhusiano gani na wale wanaozuia maombi kwa ajili ya Lissu?! Ni nani anayeidhinisha bajeti finyu ya polishi itumike kuwinda t-shirts za 'pray for Lissu?!
Waliochachawa waliposikia al badr inasomwa waliogopa nini na wana uhusiano upi na wauaji?!
Hahaaa mkuu, unataka watu wafe kwa magonjwa ya moyo?! Kuna watu wakisikia hiyo kitu wanatamani wangekuwa na zile ICBM za Kim Jong-Un ili wateketeze kabisa wote wenye mipango hiyo!Albadir iko palepale itasomwa kenya
Hawa ni watu ambao wanajulikana ila hawatakiwi wajulikane walitukuta watatuachaHahaaa mkuu, unataka watu wafe kwa magonjwa ya moyo?! Kuna watu wakisikia hiyo kitu wanatamani wangekuwa na zile ICBM za Kim Jong-Un ili wateketeze kabisa wote wenye mipango hiyo!