Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Daaa!! hii ndio Tanzania ya leo!!!
Man, daily issue hiyohiyo tu?
Thread za kulazimisha hizo!
Lazima tufahamu nchi Lazima isonge mbele, Lissu kaumia, mungu atamponya mungu kwa rehema zake atampa nguvu ya akili na mwili aje kulitumikia taifa kama alivyokua mwanzo.
Tuwaze na nje ya box kama vijana, sio kulazimisha tukio la Lissu daily
 
Hata aliyemiminia mvua ya risasi ameshaomuogopa Lissu. Aliyemuepusha na kifo kile pale "msalabani" atamlipia kisasi.

Hata sasa kila akilala usingizi hauji.Amuulize aliyetaka Ulimboka dead leo Ulimboka yuko mjini akikatiza mitaa akimuona tu anatimua mbio as if kakutana na mzuka.
 
Man, daily issue hiyohiyo tu?
Thread za kulazimisha hizo!
Lazima tufahamu nchi Lazima isonge mbele, Lissu kaumia, mungu atamponya mungu kwa rehema zake atampa nguvu ya akili na mwili aje kulitumikia taifa kama alivyokua mwanzo.
Tuwaze na nje ya box kama vijana, sio kulazimisha tukio la Lissu daily

Ni vyema ukiuona UZI wa Lissu usiufungue Mkuu utaishi kwa amani na raha.Ukiona za JPM fungu tu maana ndizo zikufurahishazo
 
Kama unaona inapendeza poa, Lakini mnaboa kwa kulazimisha thread za Lissu zi _trend Kila siku?

You can decide to leave them aside brother, nobody forces you to comment on them. Just keep in glorifying the ccm god maana wivu unawasumbua kiasi kwamba msingetami mtu mwingine aandikwe kwenye nchi hii
 
Kwani umeitwa??hakika Albadir siyo mchezo
Albadir inatinga tu kwa msomaji kutokua na makandokando na aliedhuriwa pia asiwe na makandokando, vinginevyo mtasubiri Sana, uliza mashekh wakupe darasa paganism wewe
 
Hahahaaaaa kufa ukitaka, the man will still catch the media headlines for so long!
for what kumiminiwa risasi no wander mnaambiwa mmefanya kutafuta kiki he he he pathetic. mnakaa na kuwaza tuseme nini losers
 
Hata aliyemiminia mvua ya risasi ameshaomuogopa Lissu. Aliyemuepusha na kifo kile pale "msalabani" atamlipia kisasi.
Wa kuogopwa sio Lissu bali YEYE aliyemwezesha kuyaweza yote katika YEYE.
"Nayaweza Yote Katika YEYE anitiaye Nguvu!".

Sifa na shukrani sii kwa Lissu, bali kwa YEYE awezeshaye!.

P
 
Ama kweli Mungu hamfichi mnafiki,, umejidhihirisha jinsi gani ulivyo linafiki manyo'anokho!!
 
Albadir inatinga tu kwa msomaji kutokua na makandokando na aliedhuriwa pia asiwe na makandokando, vinginevyo mtasubiri Sana, uliza mashekh wakupe darasa paganism wewe

La nini hilo DARASA??
 
Wa kuogopwa sio Lisu bali YEYE aliyemwezesha kuyaweza yote katika YEYE
P

Shemeji Bwana unaniacha hoi kabisa,haya kesho nimeamua ninatinga viunga vya Posta na T-shirt Pray4Lissu nadhani askari wote wa Central Police waweza kuwa halali yangu,hivyo tayarisha vijisent kama huna weka rehani kale kanyumba ketu ka hapo Jangwani.😕😕😕😕😕
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13]
 
Back
Top Bottom