Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Anatumia akili za Kuvukia barabaraSidhani kama nyakati hiz bado kunawatu wanamawazo mgando kama huyu jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatumia akili za Kuvukia barabaraSidhani kama nyakati hiz bado kunawatu wanamawazo mgando kama huyu jamaa
CCM wakikujibu hii naomba unitag.Sawa, zile CCTV vipi
Hapana Mbowe hawezi kujipeleka mwenyewe Mahakamani, Mwenye Mamlaka ya kufanyia kazi hizo tuhuma ni vyombo vya dola na kumkamata Mbowe mara moja ili achukuliwe hatua.Tokea mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani bungeni T Lisu apigwe risasi mchana kweupe kuna nadharia kadhaa zimeibuka kujaribu kuelezea huo upigwaji risasi wa Lisu.
Lisu mwenyewe alipotembelewa na makamu wa rais akiwa Nairobi alikiri wazi kuwa hawajui waliompiga risasi na kuviachia vyombo vya dola vifanye uchunguzi wake.
Ingawa hivi majuzi akiwa ubeligiji ameibuka na kuihusisha serikali na upigwaji wake risasi.
Nadharia nyingine inatokea ndani ya chama cha chadema ,gazeti la Jamvi la habari wameelezea A to Z kuwa Lisu alipigwa risasi baada ya kutishia uenyekiti wa Mbowe. Wameeleza siku chache kabla ya kupigwa risasi kulikuwa na vikao kadhaa vya wanachadema wakimtaka Lisu agombee uenyekiti.
Pia aliyekuwa mbunge wa Ukonga na mjumbe wa kamati kuu ya chadema naye alinogesha nadharia hii baada ya kuelezea namna watu wanavyopata misukosuko wakitangaza kugombea uenyekiti ndani ya chadema.
Waitara alihusisha kufa kwa Chacha Wangwe ,kutaka kulishwa sumu kwa Zito Kabwe ,kupigwa risasi kwa Lisu na yeye mwenyewe kutishiwa kushughulikiwa iwapo atagusa kiti cha mwenyekiti ndani ya chama..
Kama kweli Mbowe anasingiziwa kwenye tuhuma hizi za kuuwa watu wanaotaka kugombea uenyekiti ndani ya chama basi aende mahakamani kutaka kusafishwa na tuhuma hizi.
Mbowe akiendelea kukaa kimya bila kuwaburuta mahakamani wanaomtuhumu basi , mamilioni ya watanzania watajua ni kweli View attachment 829281View attachment 829284
Mungu akipenda utatukuta tu inshallah.Siku nafasi ikipatikana nitajaribu kuelezea tena.
Unaongelea nafasi? Umezuiwa Mkuu au ndo propaganda? Hivi angefanyiwa mbunge WA ccm hali ingekua hiviAmani kwenu ndugu zangu!! Ngoja tu nianze na hili swali kuntu..... 'Baada ya lissu na dereva wake kugundua kwamba kuna watu wanawafuatilia,ni nani baina yao(lissu/dereva wake) aliyeshauri au kuamua waelekee kule tukio lilipofanyika?(Area D)" swali hili linakuja kutokana na maswali makuu mawili ambayo yamakuwa yakijitokeza kila kunapokuwa na mjadala kuhusiana na hili sakata la lissu.
(1) kwanini walinzi wa sehemu husika(Area D) waliondolewa siku ya tukio ama siku chache kabla ya tukio?
(2) kwanini cctv camera ziliondolewa siku ya tukio ama siku chache kabla ya tukio?
Hivyo basi hapa tunaona kwamba ,waliofanya tukio lile walijua mapema kuwa lissu atakwenda area D baada ya kutoka bungeni ndio maana wakaondoa aina zote za ushahidi katika maeneo yale.
Swali linakuja ....
Yeyote aliyehusika (Wasiojulikana,Serikali au wabaya wa serikali) aliwezaje kuyajua maamuzi ya lissu na dereva wake ya kuamua kwenda kule ambapo wao (wasiojulikana,Serikali,wabaya wa serikali) wanataka? ...ikizingatiwa kuwa lissu na dereva wake walishagundua wanafuatiliwa tangu wakiwa kwenye maeneo ya bunge,kwanini hawakuamua kurudi bungeni?kwanini hawakwenda kituo cha polisi?kwanini walikwenda kule kule mtegoni?
Hapa inaweza ikaletwa hoja kuwa ; lissu na dereva wake waliamua kwenda Area D....
Kwa sababu waliamini watakuwa salama zaidi kwa kuzingatia kwamba
-yale ni makazi ya lissu mwenyewe
-yale ni makazi ya viongozi wengi wa serikali na bunge
-katika eneo lile kuna ulinzi wa uhakika
Lakini bado hayo yote hayafuti hili swali ;wahusika wa tukio lile waliwezaje kuwa na uhakika wa 100% kuwa lissu na dereva wake wataelekea Area D mpaka wakaamua kupasafisha kabisa? Na hapo ndipo lile swali nililoanza nalo kwenye bandiko hili linapojitokeza.ni nani kati ya lissu na dereva wake aliyetoa ushauri au kuamua waelekee Area D?
Je serikali inahusika,jumba bovu kwa serikali au tunachezewa akili?
Kwanini kuna uwezekano tunachezewa akili? Siku nafasi ikipatikana nitajaribu kuelezea tena.
Mkuu, tukio kama hilo ni kama wizi wa gari, linachukua muda kupangwa, huenda hata waliashajaribu baadhi ya siku wakamkosa. Hakuna mwizi wa gari anayekutana na gari siku hiyo hiyo na kuliiba.Amani kwenu ndugu zangu!! Ngoja tu nianze na hili swali kuntu..... 'Baada ya lissu na dereva wake kugundua kwamba kuna watu wanawafuatilia,ni nani baina yao(lissu/dereva wake) aliyeshauri au kuamua waelekee kule tukio lilipofanyika?(Area D)" swali hili linakuja kutokana na maswali makuu mawili ambayo yamakuwa yakijitokeza kila kunapokuwa na mjadala kuhusiana na hili sakata la lissu.
(1) kwanini walinzi wa sehemu husika(Area D) waliondolewa siku ya tukio ama siku chache kabla ya tukio?
(2) kwanini cctv camera ziliondolewa siku ya tukio ama siku chache kabla ya tukio?
Hivyo basi hapa tunaona kwamba ,waliofanya tukio lile walijua mapema kuwa lissu atakwenda area D baada ya kutoka bungeni ndio maana wakaondoa aina zote za ushahidi katika maeneo yale.
Swali linakuja ....
Yeyote aliyehusika (Wasiojulikana,Serikali au wabaya wa serikali) aliwezaje kuyajua maamuzi ya lissu na dereva wake ya kuamua kwenda kule ambapo wao (wasiojulikana,Serikali,wabaya wa serikali) wanataka? ...ikizingatiwa kuwa lissu na dereva wake walishagundua wanafuatiliwa tangu wakiwa kwenye maeneo ya bunge,kwanini hawakuamua kurudi bungeni?kwanini hawakwenda kituo cha polisi?kwanini walikwenda kule kule mtegoni?
Hapa inaweza ikaletwa hoja kuwa ; lissu na dereva wake waliamua kwenda Area D....
Kwa sababu waliamini watakuwa salama zaidi kwa kuzingatia kwamba
-yale ni makazi ya lissu mwenyewe
-yale ni makazi ya viongozi wengi wa serikali na bunge
-katika eneo lile kuna ulinzi wa uhakika
Lakini bado hayo yote hayafuti hili swali ;wahusika wa tukio lile waliwezaje kuwa na uhakika wa 100% kuwa lissu na dereva wake wataelekea Area D mpaka wakaamua kupasafisha kabisa? Na hapo ndipo lile swali nililoanza nalo kwenye bandiko hili linapojitokeza.ni nani kati ya lissu na dereva wake aliyetoa ushauri au kuamua waelekee Area D?
Je serikali inahusika,jumba bovu kwa serikali au tunachezewa akili?
Kwanini kuna uwezekano tunachezewa akili? Siku nafasi ikipatikana nitajaribu kuelezea tena.
..vigogo wa chadema wana mamlaka ya kuondoa walinzi wote area D ili kutoa nafasi kwa shambulizi kufanyika?