Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Leta picha za gari na majeruhi tuone.
Kama kweli ameumia mguu wa kulia kweli inafikirisha kwani kwa magari yanayotumika Tanzania dereva hukaa upande wa kulia na anayemuendesha kushoto. Labda kama alikaa nyuma ya dereva, kama alikaaa mbele mhh
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Mwachen mwenzenu nyie viibilisi apumzike,aliua wazaz wàko mpk uwe humanless kias hichi?Lissu kawakosea nn unaandika upuuzi mtupu kwenye mwili wenye majeraha?JF tungekua tunakutana uso kwa uso tungeuana hiz kejeli hazivumiiliki.Eeh MUNGU Jibu maombi yetu upesi
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Mwanamke mpumbavu.
 
Stupid

Nafsi zinawasuta tu nyie!
Una uhakika risasi zilipiga kwenye kiio tu?
Huoni risasi nyingi ziliisha nguvu kwa kupiga mlango kwanza?
Ukilaza kiti na ukakilalia kifudifudi, mguu upi uatakuwa mlangoni we kilaza?
Mkatubu nyie watu!!
Kwanza hata kukujibu tunakosea na tunatakiwa tukuache na unafiki wako maana ukweli unauju ili nafsi ndio inakutesa unaleta propaganda.
ilo jibu litakua limemtosha.
 
JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
Kwani risasi zilizotumwa na wabaya
wake haziwezi kupiga kona hewani kama tomahawk missile?
 
Acha ujinga wewe! Ulikuwemo kwenye gari kujua lissu alikuwa amekaaje/amejifichaje!? 😳

Acha kuonyesha upumbavu wako hadharani.

JF ni Jukwaa la kipekee Tz na lina watu wenye weledi mbalimbali.

Naomba mnisaidie kuelewa mambo yafuatayo:-
1. Picha ya gari lililopigwa risasi kumshambulia Tundu Lissu linaonesha risasi zimepigwa mlango wa kushoto.

2 Mguu ulioumia ni wa kulia..

3. Risasi zimepiga kioo, sasa ina maana Tundu Lissu aliinua mguu kwenye dirisha?

4. Yeye mwenyewe anasema alilaza kiti!! Hizi risasi zilipita wapi?

5. Dereva yupo wapi atusaidie hili.

Karibuni wataalamu tudadavue.

Queen Esther
 
ujinga wewe! Ulikuwemo kwenye gari kujua lissu alikuwa amekaaje/amejifichaje!? 😳

Acha kuonyesha upumbavu wako hadharani.

Back wewe ni senior hapa JF majibu ya hovyo waachie watoto, we wawakee picha ya gali na mguu alioumia lisu itakuwa umejibu kitaalam zaidi na kikubwa
 
Moods naomba muunganishe huu uzi kwa sabababu uzi kama huo upo humu, anatukumbusha machungu tu huyo mtoa mada, ameshaniharibia jumamosi yangu
 
Dreva wa Tundu Lisu alipohijiwa alisema walikaa karibu dakika tano walipofika nyumbani kabla hawajaanza kushambuliwa. Dreva aliporonyoka na kukimbia upande wa pili baada ya risasi kuanza kurindima bila kuwa na jeraha lolote. Tundu Lisu alilala kufudifudi kujiandaa na hizo risasi yeye, hakuweza kutoroka. Dreva wa Lisu alisema waliona wanafuatiliwa kuanzia jengo la Bunge.

Tundu Lisu akirudi na dreva wake washirikiane na Polisi uchunguzi umalizike, waache kulialia wakiwa nje bila kutoa ushirikiano.

BTW Ben Saanane alilipotiwa kwamba alikimbia India alikokuwa anasoma baada ya kufanya mauaji. Je, Chadema kama chama wanaweza kuthibitisha hili?
 
Back
Top Bottom