Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?
Hakuna serikali inayotaka kuchafuliwa kijinga duniani...nashangaa sana serikali ya JPM kukalia kimya hizi tuhuma za kumuuwa Lissu jambo ambalo linazidi kuwaaminisha wananchi kuwa serikali inahusika kwa 100%.
 
Habari wakuu, leo nafikia ukomo wa kiu yangu ya kutaka kuueleza ukweli umma wa watanzania kupitia jukwaa la siasa la JF. Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu na ikizingatiwa kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakilitumia tukio la kupigwa risasi kwa aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki, rais wa TLS na sasa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Tundu Antipas Lissu kama ajenda ya kuombea kura huku wengi wakiituhumu serikali ya Tanzania kuhusika na ' jaribio hilo la kumwua' Lissu. Jambo kubwa la kujijliza ni kuwa kwanini Lissu alipigwa risasi? Kwanini mpaka sasa hakuna mtu anayetuhumiwa na tukio hilo? Kwanini Lissu hashughuliki na kufungua jalada/shauri katika vyombo vya dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa taifa letu?

Haya yote yana maelezo niliyoyapata kutoka vyanzo tofauti vya kuaminika. Ikumbukwe kuwa wakati tukio hilo linatokea nchi ilikuwa katika kipindi cha sintofahamu juu ya ujio wa ndege iliyokuwa imezuiwa na wadeni wa taifa, pia mvutano kati ya kampuni ya ACACIA mining PLC na serikali juu ya sakata la makinikia. Ni dhahiri kuwa haya yote yalikuwa mzigo mzito kwa serikali ya CCM iliyotaka kujiimarisha kisiasa.

Mbali na kuwa haya yalikuwa yakitokea Lissu hakusita 'kupiga spana' kwa serikali aliyokuwa akiipinga. Kimsingi mwenendo wa matukio ya wakati huo yaliashiria kuhusika kwa serikali katika shambulizi la Lissu lakini ukweli ni huu hapa: Tundu Lissu alikuwa akikaririwa kuwatetea wadeni na ACACIA MINING PLC, huku akitumia taaluma yake ya sheria na weledi wake wa kuwasilisha hoja kuendelea kuikandia serikali. Alienda mbali zaidi hata kuzitaka nchi wahisani kusitisha misaada nchini na kuomba Tanzania iwekewe vikwazo na nchi hizo. Kufuatia jitihada zake hizo kukwama ndipo tukio la kupigwa risasi 16 likatokea. Naufahamisha umma kuwa Lissu alijaribu kukutana na viongozi waandamizi wa jumuiya ya wawekezaji wa kigeni wa madini nchini na kuingia makubaliano ya kutoa msaada kuhakikisha kuwa mkakati wa udhibiti wa biashara za madini nchini uliokuwa ukitekelezwa na serikali unakwama kupitia upinzani.

Kwa bahati mbaya au nzuri mkakati huo ulishindikana kuzuilika kwa mujibu wa makubaliano aliyoyafanya Lissu na wabia wake hao. Alilipwa kiasi cha fedha kutokana na makubaliano ya awali na wabia wake hao walitakiwa kumlipa 10% ya faida ya madini itakayokuwa inapatikana kwa miaka kumi kama mpango huo ungekamilika. Ziko taarifa pia watu wanaomwezesha kiuchumi katika uchaguzi huu wamesaini makubaliano kama hayo ikiwa atashinda Urais mwaka huu. Baada ya mpango huo kukwama ndipo bodi ya wakurugenzi wa baadhi ya makampuni ya kigeni ya madini nchini walipojitoa katika makubaliano hayo na kuandaa shambulizi dhidi ya Lissu. Na hapo ndipo serikali iliposhindwa kutoa ushirikiano baada ya kuanza kusakamwa na kutuhumiwa katika shambulizi hilo.
Ili kupata kuelewa mwenendo wa matukio hayo, mambo yafuatayo yanafaa kuzingatiwa:

1. Kwanini serikali haikumshambulia Dr. Wilbroad Slaa wakati wa vuguvugu la Richmond?

2. Kwanini serikali haikumshambulia Freeman Mbowe wakati ikitekeleza malipo kwa DOWANS.

3. Kwanini serikali haijazua passport ya kusafiria ya Lissu alipokuwa akizunguka nchi kadhaa duniani huku akiipinga serikali ya Magufuli?

Kwakweli haya yote yangewezekana kutekelezeka kwa namna yoyote lakini hayakufanyika.

View attachment 1578942
Jipige kifuani kisha useme mimi Athuman Bagura ni TAHIRAAAAAA

Pumbavu zako kabisa... Weee kwa tope lako ulojaza kichwan, unahii wasingempiga wao Risasi, Jiwe na serikali yake wangekaa kimya hivi???

Apigwe na wazungu alafu hao hao wamtibu wamuokoe???

Alipigiwa Eneo gan??????

Weee ni Lijingaa, Tahiraa, Pumbavu kabisaaa
 
Nijukumu la serikali kulinda wananchi wake bila kujali itikadi zao
Ni jukumu la DPP na DCI kufungua kesi ya jinai na kuifuatilia mahakaman.

Ni nani nchi hii anauwezo wa kushambulia kwenye makazi ya wabunge na mawaziri bila kujulikana?

Nani aliondoa Cctv
 
Nimesoma comments zilizopo hadi ninaandika hii.

Haipo hata moja inayokuunga mkono wala kuwa na shaka na nani alidhamiria kumwua kipenzi huyu cha wengi.

Habari hiyo tu bado haikutoshi kulipitia tena bandiko lako kama ilikuwa ni kukengeuka au ni kisebu sebu cha buku 7 tu?
 
Habari wakuu, leo nafikia ukomo wa kiu yangu ya kutaka kuueleza ukweli umma wa watanzania kupitia jukwaa la siasa la JF.

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na ikizingatiwa kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakilitumia tukio la kupigwa risasi kwa aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki, Rais wa TLS na sasa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Tundu Antipas Lissu kama ajenda ya kuombea kura huku wengi wakiituhumu serikali ya Tanzania kuhusika na ' jaribio hilo la kumwua' Lissu.

Jambo kubwa la kujijliza ni kuwa kwanini Lissu alipigwa risasi? Kwanini mpaka sasa hakuna mtu anayetuhumiwa na tukio hilo? Kwanini Lissu hashughuliki na kufungua jalada/shauri katika vyombo vya dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa taifa letu?

Haya yote yana maelezo niliyoyapata kutoka vyanzo tofauti vya kuaminika.

Ikumbukwe kuwa wakati tukio hilo linatokea nchi ilikuwa katika kipindi cha sintofahamu juu ya ujio wa ndege iliyokuwa imezuiwa na wadeni wa taifa, pia mvutano kati ya kampuni ya ACACIA mining PLC na serikali juu ya sakata la makinikia. Ni dhahiri kuwa haya yote yalikuwa mzigo mzito kwa serikali ya CCM iliyotaka kujiimarisha kisiasa.

Mbali na kuwa haya yalikuwa yakitokea Lissu hakusita 'kupiga spana' kwa serikali aliyokuwa akiipinga. Kimsingi mwenendo wa matukio ya wakati huo yaliashiria kuhusika kwa serikali katika shambulizi la Lissu lakini ukweli ni huu hapa: Tundu Lissu alikuwa akikaririwa kuwatetea wadeni na ACACIA MINING PLC, huku akitumia taaluma yake ya sheria na weledi wake wa kuwasilisha hoja kuendelea kuikandia serikali.

Alienda mbali zaidi hata kuzitaka nchi wahisani kusitisha misaada nchini na kuomba Tanzania iwekewe vikwazo na nchi hizo. Kufuatia jitihada zake hizo kukwama ndipo tukio la kupigwa risasi 16 likatokea. Naufahamisha umma kuwa Lissu alijaribu kukutana na viongozi waandamizi wa jumuiya ya wawekezaji wa kigeni wa madini nchini na kuingia makubaliano ya kutoa msaada kuhakikisha kuwa mkakati wa udhibiti wa biashara za madini nchini uliokuwa ukitekelezwa na serikali unakwama kupitia upinzani.

Kwa bahati mbaya au nzuri mkakati huo ulishindikana kuzuilika kwa mujibu wa makubaliano aliyoyafanya Lissu na wabia wake hao. Alilipwa kiasi cha fedha kutokana na makubaliano ya awali na wabia wake hao walitakiwa kumlipa 10% ya faida ya madini itakayokuwa inapatikana kwa miaka kumi kama mpango huo ungekamilika.

Ziko taarifa pia watu wanaomwezesha kiuchumi katika uchaguzi huu wamesaini makubaliano kama hayo ikiwa atashinda Urais mwaka huu. Baada ya mpango huo kukwama ndipo bodi ya wakurugenzi wa baadhi ya makampuni ya kigeni ya madini nchini walipojitoa katika makubaliano hayo na kuandaa shambulizi dhidi ya Lissu. Na hapo ndipo serikali iliposhindwa kutoa ushirikiano baada ya kuanza kusakamwa na kutuhumiwa katika shambulizi hilo.

Ili kupata kuelewa mwenendo wa matukio hayo, mambo yafuatayo yanafaa kuzingatiwa:

1. Kwanini Serikali haikumshambulia Dr. Wilbroad Slaa wakati wa vuguvugu la Richmond?

2. Kwanini Serikali haikumshambulia Freeman Mbowe wakati ikitekeleza malipo kwa DOWANS?

3. Kwanini Serikali haijazuia passport ya kusafiria ya Lissu alipokuwa akizunguka nchi kadhaa duniani huku akiipinga Serikali ya Magufuli?

Kwakweli haya yote yangewezekana kutekelezeka kwa namna yoyote lakini hayakufanyika.
Nani alimnyima mgonjwa stahiki zake? Na kwanini?

Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
 
Upumbavu ukizidi ni mzigo kwa jamii..kama familia yako ina msomi wa namnayako basi hiyo familia nayo inawalakini.
 
Alafu nahili Jina lako

Manyoko wewe ,umekuja kwa spidiii humu kuna watu makini.

Nikilitafuta hili jina lako FB au IG... Nitakukuta wee ni kajamaaaa hakana kazi, kamechoka, kajinga kajinga hakaeleweki. Hakana kichwa wala mbeleee

Wazazi wako wamekusomesha bureeee
 
Askari wa serikali risasi tatu tu akikulenga huombi maji hao hawakuwa askari
 
Mkuu hata huko Geita kilomita 2 kutoka chato wamemkataa Muongo huyu ,angalia video hapo chini jinsi walivyompokea ni YEYE.
Ulizaliwa kwenye mkesha wa mwenge wapi, Chato? Bila shaka wewe utakuwa ni mjukuu wa shangazi. Ukoo wote hasara tupu!
 
Daktari achana nae huyo mpuuzi mmoja wamezoea kuishi kwa uongo.
Alafu nahili Jina lako

Manyoko wewe ,umekuja kwa spidiii humu kuna watu makini.

Nikilitafuta hili jina lako FB au IG... Nitakukuta wee ni kajamaaaa hakana kazi, kamechoka, kajinga kajinga hakaeleweki. Hakana kichwa wala mbeleee

Wazazi wako wamekusomesha bureeee
 
Umetumwa kudunga uwongo hapa,sasa mbona leo ,maji yapo shingoni,yaani kwa hapa tulipofika hatutaki kusikia longolongo zozote kutoka kwa CCM na wajumbe wake,aina zote za wajumbe wa CCM na taarifa zao kusema ukweli hakuna mwananchi hata mmoja anaezisikiliza kwa weledi,yaani mtu anasoma maelezo yenu ,hitimisho anaona mumeandika uwongo.
Ndio mnaambiwa CCM haina tena wasikilizaji inawasomaji tu,mtu anajisomea aafu uyoo anenda kumupa kura ya Ndio Lissu,CCM mmepauka vibaya sana hata nguo za mtumba zina afazali.
 
Habari wakuu, leo nafikia ukomo wa kiu yangu ya kutaka kuueleza ukweli umma wa watanzania kupitia jukwaa la siasa la JF.

Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na ikizingatiwa kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakilitumia tukio la kupigwa risasi kwa aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki, Rais wa TLS na sasa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Tundu Antipas Lissu kama ajenda ya kuombea kura huku wengi wakiituhumu serikali ya Tanzania kuhusika na ' jaribio hilo la kumwua' Lissu.

Jambo kubwa la kujijliza ni kuwa kwanini Lissu alipigwa risasi? Kwanini mpaka sasa hakuna mtu anayetuhumiwa na tukio hilo? Kwanini Lissu hashughuliki na kufungua jalada/shauri katika vyombo vya dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa taifa letu?

Haya yote yana maelezo niliyoyapata kutoka vyanzo tofauti vya kuaminika.

Ikumbukwe kuwa wakati tukio hilo linatokea nchi ilikuwa katika kipindi cha sintofahamu juu ya ujio wa ndege iliyokuwa imezuiwa na wadeni wa taifa, pia mvutano kati ya kampuni ya ACACIA mining PLC na serikali juu ya sakata la makinikia. Ni dhahiri kuwa haya yote yalikuwa mzigo mzito kwa serikali ya CCM iliyotaka kujiimarisha kisiasa.

Mbali na kuwa haya yalikuwa yakitokea Lissu hakusita 'kupiga spana' kwa serikali aliyokuwa akiipinga. Kimsingi mwenendo wa matukio ya wakati huo yaliashiria kuhusika kwa serikali katika shambulizi la Lissu lakini ukweli ni huu hapa: Tundu Lissu alikuwa akikaririwa kuwatetea wadeni na ACACIA MINING PLC, huku akitumia taaluma yake ya sheria na weledi wake wa kuwasilisha hoja kuendelea kuikandia serikali.

Alienda mbali zaidi hata kuzitaka nchi wahisani kusitisha misaada nchini na kuomba Tanzania iwekewe vikwazo na nchi hizo. Kufuatia jitihada zake hizo kukwama ndipo tukio la kupigwa risasi 16 likatokea. Naufahamisha umma kuwa Lissu alijaribu kukutana na viongozi waandamizi wa jumuiya ya wawekezaji wa kigeni wa madini nchini na kuingia makubaliano ya kutoa msaada kuhakikisha kuwa mkakati wa udhibiti wa biashara za madini nchini uliokuwa ukitekelezwa na serikali unakwama kupitia upinzani.

Kwa bahati mbaya au nzuri mkakati huo ulishindikana kuzuilika kwa mujibu wa makubaliano aliyoyafanya Lissu na wabia wake hao. Alilipwa kiasi cha fedha kutokana na makubaliano ya awali na wabia wake hao walitakiwa kumlipa 10% ya faida ya madini itakayokuwa inapatikana kwa miaka kumi kama mpango huo ungekamilika.

Ziko taarifa pia watu wanaomwezesha kiuchumi katika uchaguzi huu wamesaini makubaliano kama hayo ikiwa atashinda Urais mwaka huu. Baada ya mpango huo kukwama ndipo bodi ya wakurugenzi wa baadhi ya makampuni ya kigeni ya madini nchini walipojitoa katika makubaliano hayo na kuandaa shambulizi dhidi ya Lissu. Na hapo ndipo serikali iliposhindwa kutoa ushirikiano baada ya kuanza kusakamwa na kutuhumiwa katika shambulizi hilo.

Ili kupata kuelewa mwenendo wa matukio hayo, mambo yafuatayo yanafaa kuzingatiwa:

1. Kwanini Serikali haikumshambulia Dr. Wilbroad Slaa wakati wa vuguvugu la Richmond?

2. Kwanini Serikali haikumshambulia Freeman Mbowe wakati ikitekeleza malipo kwa DOWANS?

3. Kwanini Serikali haijazuia passport ya kusafiria ya Lissu alipokuwa akizunguka nchi kadhaa duniani huku akiipinga Serikali ya Magufuli?

Kwakweli haya yote yangewezekana kutekelezeka kwa namna yoyote lakini hayakufanyika.
Wewe una toa haya maelezo kama nani?
Kama serikali haitaki kusema kitu miaka mittu sasa.
 
Back
Top Bottom