dega
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 3,172
- 3,082
Ongeze VOLUME Mkuu kidogoAcha ujinga wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeze VOLUME Mkuu kidogoAcha ujinga wewe
Why camera ziling'olewa?Wewe sio serikali
Acha serikali ijitetee yenyewe..
Why walizuia wabunge kumtembelea hospitali?
Why matibabu pia walileta zengwe?
Kumfukuza ubunge je??
Hata polisi hutazama trends za matukio baada ya tukio kupata wahusika wa wa uhalifu..
Pia kuna swala LA Yeye wakurugezi wa acacia na vyama vya upinzaniMkuu una mengi kwanini umefupisha? Waambie mpango wa Mbowe kumtuma Saanane kwa nchi wahisani kuwashawishi kusitisha misaada kwa Tz kama njia ya juidhoofisha serikali na nchi isitawalike. Alipomaliza kuzunguka hakupata wa kumuunga mkono hata mmoja. Aliporudi kudai malipo kwa Mbowe, mbowe alikataa kumlipa badala yake akamwandalia mazingira kumwua. Saanane akalazimika kuhama nchi. Ndiyo maana mtoa taarifa za kupotea kwa saanane ni mbowe pekee na siyo familia yake. Na ndiye pekee aliyepata ujumbe wa mwisho wa saanane.
Lakini chadema kwa kukosa akili hawafikirii hili. Na ndiyo maana hata mbowe aliposema kavamiwa na kuumizwa mguu, walikimbilia kuilaumu serikali hata bila kujua ukweli.
Amekaa kushoto kwenye gari risasi zinampiga mguu wa kulia ajabu sana. Akili za kuambiwa changanya na zako.Usimfananishe Tundu Lissu na hizo takataka zingine.....
Tundu Lissu ndio nabii pekee aliyetabiri ujio wa dikteta uchawara na alikemea hadharani ukabila wa magufuli
Btw tunarais wa ajabu haijawahi kutokea, rais wa ajabu kumpiga mtu risasi sio kitu cha ajabu...
Kwani wewe humjui nani alipanga na kutekeleza unyama ule kwa Mh Lissu. Tusipomtetea Mh Lissu Ardhi itanena juu yake.Hakuna serikali inayotaka kuchafuliwa kijinga duniani...nashangaa sana serikali ya JPM kukalia kimya hizi tuhuma za kumuuwa Lissu jambo ambalo linazidi kuwaaminisha wananchi kuwa serikali inahusika kwa 100%.
Aliyekuajiri na tahira kama weweHabari wakuu, leo nafikia ukomo wa kiu yangu ya kutaka kuueleza ukweli umma wa watanzania kupitia jukwaa la siasa la JF.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na ikizingatiwa kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakilitumia tukio la kupigwa risasi kwa aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki, Rais wa TLS na sasa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Tundu Antipas Lissu kama ajenda ya kuombea kura huku wengi wakiituhumu serikali ya Tanzania kuhusika na ' jaribio hilo la kumwua' Lissu.
Jambo kubwa la kujijliza ni kuwa kwanini Lissu alipigwa risasi? Kwanini mpaka sasa hakuna mtu anayetuhumiwa na tukio hilo? Kwanini Lissu hashughuliki na kufungua jalada/shauri katika vyombo vya dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa taifa letu?
Haya yote yana maelezo niliyoyapata kutoka vyanzo tofauti vya kuaminika.
Ikumbukwe kuwa wakati tukio hilo linatokea nchi ilikuwa katika kipindi cha sintofahamu juu ya ujio wa ndege iliyokuwa imezuiwa na wadeni wa taifa, pia mvutano kati ya kampuni ya ACACIA mining PLC na serikali juu ya sakata la makinikia. Ni dhahiri kuwa haya yote yalikuwa mzigo mzito kwa serikali ya CCM iliyotaka kujiimarisha kisiasa.
Mbali na kuwa haya yalikuwa yakitokea Lissu hakusita 'kupiga spana' kwa serikali aliyokuwa akiipinga. Kimsingi mwenendo wa matukio ya wakati huo yaliashiria kuhusika kwa serikali katika shambulizi la Lissu lakini ukweli ni huu hapa: Tundu Lissu alikuwa akikaririwa kuwatetea wadeni na ACACIA MINING PLC, huku akitumia taaluma yake ya sheria na weledi wake wa kuwasilisha hoja kuendelea kuikandia serikali.
Alienda mbali zaidi hata kuzitaka nchi wahisani kusitisha misaada nchini na kuomba Tanzania iwekewe vikwazo na nchi hizo. Kufuatia jitihada zake hizo kukwama ndipo tukio la kupigwa risasi 16 likatokea. Naufahamisha umma kuwa Lissu alijaribu kukutana na viongozi waandamizi wa jumuiya ya wawekezaji wa kigeni wa madini nchini na kuingia makubaliano ya kutoa msaada kuhakikisha kuwa mkakati wa udhibiti wa biashara za madini nchini uliokuwa ukitekelezwa na serikali unakwama kupitia upinzani.
Kwa bahati mbaya au nzuri mkakati huo ulishindikana kuzuilika kwa mujibu wa makubaliano aliyoyafanya Lissu na wabia wake hao. Alilipwa kiasi cha fedha kutokana na makubaliano ya awali na wabia wake hao walitakiwa kumlipa 10% ya faida ya madini itakayokuwa inapatikana kwa miaka kumi kama mpango huo ungekamilika.
Ziko taarifa pia watu wanaomwezesha kiuchumi katika uchaguzi huu wamesaini makubaliano kama hayo ikiwa atashinda Urais mwaka huu. Baada ya mpango huo kukwama ndipo bodi ya wakurugenzi wa baadhi ya makampuni ya kigeni ya madini nchini walipojitoa katika makubaliano hayo na kuandaa shambulizi dhidi ya Lissu. Na hapo ndipo serikali iliposhindwa kutoa ushirikiano baada ya kuanza kusakamwa na kutuhumiwa katika shambulizi hilo.
Ili kupata kuelewa mwenendo wa matukio hayo, mambo yafuatayo yanafaa kuzingatiwa:
1. Kwanini Serikali haikumshambulia Dr. Wilbroad Slaa wakati wa vuguvugu la Richmond?
2. Kwanini Serikali haikumshambulia Freeman Mbowe wakati ikitekeleza malipo kwa DOWANS?
3. Kwanini Serikali haijazuia passport ya kusafiria ya Lissu alipokuwa akizunguka nchi kadhaa duniani huku akiipinga Serikali ya Magufuli?
Kwakweli haya yote yangewezekana kutekelezeka kwa namna yoyote lakini hayakufanyika.
Ikiwa ndio uchunguzi wa polisi huo na ushahidi wanao kwa nini mbowe asishtakiwe na polisi?Mkuu una mengi kwanini umefupisha? Waambie mpango wa Mbowe kumtuma Saanane kwa nchi wahisani kuwashawishi kusitisha misaada kwa Tz kama njia ya juidhoofisha serikali na nchi isitawalike. Alipomaliza kuzunguka hakupata wa kumuunga mkono hata mmoja. Aliporudi kudai malipo kwa Mbowe, mbowe alikataa kumlipa badala yake akamwandalia mazingira kumwua. Saanane akalazimika kuhama nchi. Ndiyo maana mtoa taarifa za kupotea kwa saanane ni mbowe pekee na siyo familia yake. Na ndiye pekee aliyepata ujumbe wa mwisho wa saanane.
Lakini chadema kwa kukosa akili hawafikirii hili. Na ndiyo maana hata mbowe aliposema kavamiwa na kuumizwa mguu, walikimbilia kuilaumu serikali hata bila kujua ukweli.
Huo ujinga peleka kwa wajinga wenzio kijijini kwenuHabari wakuu, leo nafikia ukomo wa kiu yangu ya kutaka kuueleza ukweli umma wa watanzania kupitia jukwaa la siasa la JF.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na ikizingatiwa kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakilitumia tukio la kupigwa risasi kwa aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki, Rais wa TLS na sasa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Tundu Antipas Lissu kama ajenda ya kuombea kura huku wengi wakiituhumu serikali ya Tanzania kuhusika na ' jaribio hilo la kumwua' Lissu.
Jambo kubwa la kujijliza ni kuwa kwanini Lissu alipigwa risasi? Kwanini mpaka sasa hakuna mtu anayetuhumiwa na tukio hilo? Kwanini Lissu hashughuliki na kufungua jalada/shauri katika vyombo vya dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa taifa letu?
Haya yote yana maelezo niliyoyapata kutoka vyanzo tofauti vya kuaminika.
Ikumbukwe kuwa wakati tukio hilo linatokea nchi ilikuwa katika kipindi cha sintofahamu juu ya ujio wa ndege iliyokuwa imezuiwa na wadeni wa taifa, pia mvutano kati ya kampuni ya ACACIA mining PLC na serikali juu ya sakata la makinikia. Ni dhahiri kuwa haya yote yalikuwa mzigo mzito kwa serikali ya CCM iliyotaka kujiimarisha kisiasa.
Mbali na kuwa haya yalikuwa yakitokea Lissu hakusita 'kupiga spana' kwa serikali aliyokuwa akiipinga. Kimsingi mwenendo wa matukio ya wakati huo yaliashiria kuhusika kwa serikali katika shambulizi la Lissu lakini ukweli ni huu hapa: Tundu Lissu alikuwa akikaririwa kuwatetea wadeni na ACACIA MINING PLC, huku akitumia taaluma yake ya sheria na weledi wake wa kuwasilisha hoja kuendelea kuikandia serikali.
Alienda mbali zaidi hata kuzitaka nchi wahisani kusitisha misaada nchini na kuomba Tanzania iwekewe vikwazo na nchi hizo. Kufuatia jitihada zake hizo kukwama ndipo tukio la kupigwa risasi 16 likatokea. Naufahamisha umma kuwa Lissu alijaribu kukutana na viongozi waandamizi wa jumuiya ya wawekezaji wa kigeni wa madini nchini na kuingia makubaliano ya kutoa msaada kuhakikisha kuwa mkakati wa udhibiti wa biashara za madini nchini uliokuwa ukitekelezwa na serikali unakwama kupitia upinzani.
Kwa bahati mbaya au nzuri mkakati huo ulishindikana kuzuilika kwa mujibu wa makubaliano aliyoyafanya Lissu na wabia wake hao. Alilipwa kiasi cha fedha kutokana na makubaliano ya awali na wabia wake hao walitakiwa kumlipa 10% ya faida ya madini itakayokuwa inapatikana kwa miaka kumi kama mpango huo ungekamilika.
Ziko taarifa pia watu wanaomwezesha kiuchumi katika uchaguzi huu wamesaini makubaliano kama hayo ikiwa atashinda Urais mwaka huu. Baada ya mpango huo kukwama ndipo bodi ya wakurugenzi wa baadhi ya makampuni ya kigeni ya madini nchini walipojitoa katika makubaliano hayo na kuandaa shambulizi dhidi ya Lissu. Na hapo ndipo serikali iliposhindwa kutoa ushirikiano baada ya kuanza kusakamwa na kutuhumiwa katika shambulizi hilo.
Ili kupata kuelewa mwenendo wa matukio hayo, mambo yafuatayo yanafaa kuzingatiwa:
1. Kwanini Serikali haikumshambulia Dr. Wilbroad Slaa wakati wa vuguvugu la Richmond?
2. Kwanini Serikali haikumshambulia Freeman Mbowe wakati ikitekeleza malipo kwa DOWANS?
3. Kwanini Serikali haijazuia passport ya kusafiria ya Lissu alipokuwa akizunguka nchi kadhaa duniani huku akiipinga Serikali ya Magufuli?
Kwakweli haya yote yangewezekana kutekelezeka kwa namna yoyote lakini hayakufanyika.
Wananchi wote mjini na vijijini ukiwauliza nani alitaka kumua lissu, majibu yao yako wazi, ni serikaliHakuna serikali inayotaka kuchafuliwa kijinga duniani...nashangaa sana serikali ya JPM kukalia kimya hizi tuhuma za kumuuwa Lissu jambo ambalo linazidi kuwaaminisha wananchi kuwa serikali inahusika kwa 100%.
dah jamaa hakutegemea majibu alioyapata.
Kwa upande was serikali haukutimiza wajibu wake ipasavyoKabisa mimi naungana na Mleta uzi, Lisu atafute waliompiga risasi aachane na serekale.
Yaliyoendelea baada ya tukio, kama kumfukuza Ubunge, kusita kufanya uchunguzi wa tukio n.k labda ndio vinawasukuma kuihusisha Mamlaka.....labda mlitaka afarijiwe jambo ambalo ni hiari sio lazima.
Gazeti la udaku refuuu sasa ndio umeandika nini, kubwa jinga kwendeni na njaa zenu uko, mbona ujaanzisha uzi wa wezi wa ardhi.Habari wakuu, leo nafikia ukomo wa kiu yangu ya kutaka kuueleza ukweli umma wa watanzania kupitia jukwaa la siasa la JF.
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na ikizingatiwa kuwa baadhi ya wagombea wamekuwa wakilitumia tukio la kupigwa risasi kwa aliyekuwa mbunge wa Singida mashariki, Rais wa TLS na sasa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Tundu Antipas Lissu kama ajenda ya kuombea kura huku wengi wakiituhumu serikali ya Tanzania kuhusika na ' jaribio hilo la kumwua' Lissu.
Jambo kubwa la kujijliza ni kuwa kwanini Lissu alipigwa risasi? Kwanini mpaka sasa hakuna mtu anayetuhumiwa na tukio hilo? Kwanini Lissu hashughuliki na kufungua jalada/shauri katika vyombo vya dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa taifa letu?
Haya yote yana maelezo niliyoyapata kutoka vyanzo tofauti vya kuaminika.
Ikumbukwe kuwa wakati tukio hilo linatokea nchi ilikuwa katika kipindi cha sintofahamu juu ya ujio wa ndege iliyokuwa imezuiwa na wadeni wa taifa, pia mvutano kati ya kampuni ya ACACIA mining PLC na serikali juu ya sakata la makinikia. Ni dhahiri kuwa haya yote yalikuwa mzigo mzito kwa serikali ya CCM iliyotaka kujiimarisha kisiasa.
Mbali na kuwa haya yalikuwa yakitokea Lissu hakusita 'kupiga spana' kwa serikali aliyokuwa akiipinga. Kimsingi mwenendo wa matukio ya wakati huo yaliashiria kuhusika kwa serikali katika shambulizi la Lissu lakini ukweli ni huu hapa: Tundu Lissu alikuwa akikaririwa kuwatetea wadeni na ACACIA MINING PLC, huku akitumia taaluma yake ya sheria na weledi wake wa kuwasilisha hoja kuendelea kuikandia serikali.
Alienda mbali zaidi hata kuzitaka nchi wahisani kusitisha misaada nchini na kuomba Tanzania iwekewe vikwazo na nchi hizo. Kufuatia jitihada zake hizo kukwama ndipo tukio la kupigwa risasi 16 likatokea. Naufahamisha umma kuwa Lissu alijaribu kukutana na viongozi waandamizi wa jumuiya ya wawekezaji wa kigeni wa madini nchini na kuingia makubaliano ya kutoa msaada kuhakikisha kuwa mkakati wa udhibiti wa biashara za madini nchini uliokuwa ukitekelezwa na serikali unakwama kupitia upinzani.
Kwa bahati mbaya au nzuri mkakati huo ulishindikana kuzuilika kwa mujibu wa makubaliano aliyoyafanya Lissu na wabia wake hao. Alilipwa kiasi cha fedha kutokana na makubaliano ya awali na wabia wake hao walitakiwa kumlipa 10% ya faida ya madini itakayokuwa inapatikana kwa miaka kumi kama mpango huo ungekamilika.
Ziko taarifa pia watu wanaomwezesha kiuchumi katika uchaguzi huu wamesaini makubaliano kama hayo ikiwa atashinda Urais mwaka huu. Baada ya mpango huo kukwama ndipo bodi ya wakurugenzi wa baadhi ya makampuni ya kigeni ya madini nchini walipojitoa katika makubaliano hayo na kuandaa shambulizi dhidi ya Lissu. Na hapo ndipo serikali iliposhindwa kutoa ushirikiano baada ya kuanza kusakamwa na kutuhumiwa katika shambulizi hilo.
Ili kupata kuelewa mwenendo wa matukio hayo, mambo yafuatayo yanafaa kuzingatiwa:
1. Kwanini Serikali haikumshambulia Dr. Wilbroad Slaa wakati wa vuguvugu la Richmond?
2. Kwanini Serikali haikumshambulia Freeman Mbowe wakati ikitekeleza malipo kwa DOWANS?
3. Kwanini Serikali haijazuia passport ya kusafiria ya Lissu alipokuwa akizunguka nchi kadhaa duniani huku akiipinga Serikali ya Magufuli?
Kwakweli haya yote yangewezekana kutekelezeka kwa namna yoyote lakini hayakufanyika.
Wewe ni dikteta wa kuminya Uhuru wa kutoa maoniAcha ujinga wewe