Ni nani aliyemtuma Prof. Mruma (Geologist) kuiwakilisha Tanzania kwenye Mahakama ya ICSID?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Acha uongo bhana....Mruma hajaenda pale kama wakili ila ni shahidi tu.
 
Huyu alijitahidi, yule mwenzie alivyobanwa akasema Jana yake alikua na homa hivyo hakua amepata muda wa kusoma documents hahahahahaha as if hio document walipewa walivyofika hahahahhaahah hata Binti yangu asingeweza kujibu ujinga ule
Oyaa fungueni uzi Mmoja, "Uzi maalumu wa Prof Mruma".

Alafu mtupie tuvideo twoteeee .

Navyowajua wabongooo, tutaziedit Kwa maneno balaa,🀣🀣🀣🀣
 
Yupi huyo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Oyaa fungueni uzi Mmoja, "Uzi maalumu wa Prof Mruma".

Alafu mtupie tuvideo twoteeee .

Navyowajua wabongooo, tutaziedit Kwa maneno balaa,🀣🀣🀣🀣
Hahahaha hawawezi ku-edit kwenye hili jamaa wametuangusha mnooooo. Ukute hatujawahi kushindwa kesi Bali ni ujinga tu wa aina ya watu tunaowatuma
 
Prof Mruma hajawahi kua Waziri, labda kama nimepoteza kumbukumbu
 
Hahahaha hawawezi ku-edit kwenye hili jamaa wametuangusha mnooooo. Ukute hatujawahi kushindwa kesi Bali ni ujinga tu wa aina ya watu tunaowatuma
🀣🀣🀣🀣 Kwan unadhan hizi kesi tunashindwa Kwasababu gan???.

Hawa Vilaza manyoko zao, hapo tayari limeshaingiziwa Mpungaaaaa mrefuuuu

Wakili Msomi Mwakabusi ametuambia tuwaiite, Mabwegeee🀣🀣🀣.

Samia naye na litoto lake , lilipata Sifuri, miaka ya mbele utasikia ni Waziri🀣🀣🀣
 
Embu Fikiria,

Tuna Kiongozi Mjinga, hata yeye anasema alisoma akafeli ,akafeli feli weeeee ila amekua kiongozi "hata Mimi wanangu sikufanya vizuri kidato Cha Nne 🀣🀣.
Hiki ndio kiini cha kila tatizo kwa sasa.

Hili namithilisha na kupunguza sauti ya simu ya bibi yako mzee halafu anakupa elfu 5 upeleleke kwa fundi.
Sio kuwa bibi ni mjinga, tatizo bibi hana uelewa wa mambo ya simu.

Sasa mtu mwenye elimu ya QT akipelekewa mikataba na maprofesa lazima akubali tu maana ukomo wake wa kuchanganua mambo unaishia pale aliposoma what is Geography.
 
Yupi huyo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mzigo huo hapo, MB zako tu
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Vile viengereza (lafudhi) za wale watasha wanavyokoroga maneno ukute hatujui hata wanauliza nini tunabaki tunajibu tunajikoroga.
Jamaa walikua wanawaza perdiems mpya za serikali za nje ya nchi hahahahha
 
Mbona wanasema siyo yeye??Wanasema ni mtu ndani ya kitengo cha madini!
 
Na anakubali na KUSAINI Kwa sababu tayari ana inferior complexity ilotokana na Uelewa kiduchuuuuuuuuu.

Uliwah jiuliza Kwa nn Huwa anakimbilia kusema "Na hili nalo kalitazameni?????.

Yaan Hawa vilazaa tuwasemeee waziwazi mpaka Ubwege wao uwafanye watupishe Mamaeee.

Kwenye Vyombo vya Dola Nako ndio wamekaa vilazaaaaaaa wakubwa, matokeo yakee yanafanya wanatukandamiza Kwa risasi 🀣🀣
 
Mwamba Una hasira sio kitoto
 
Basi utateseka sana.
Mana bado unaamini kwenye makaratasi.
Hao uliowataja wote tayari washatoboa kimaisha, wewe uko busy kukandia elimu zao. Haya we msomi usomi wako umekusaidia nn ikiwa mpk sasa unaongozwa na vilaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…