Unajijua wewe lugha ya malkia huiwezi ila sababu ya perdiem unang'ang'ania kwenda mwishowe nchi inashindwa kesi na kulipa hela kibao tu sababu ya tamaa zako za perdiem.Jamaa walikua wanawaza perdiems mpya za serikali za nje ya nchi hahahahha
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.Tanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
View attachment 2698341
View attachment 2698342
Mkuu samaki mkunje angali mbichi, kule tusipeleke wanasheria waliosomea Kayumba waka graduate UDSM labda, tutafute ambao wana background ya nje.Mwamba akirudi lazima akamtafute Ras Simbaπππππsio kwa fedheha ile.
HAPANA, hawa wanyongwe Hadi kufaUnajijua wewe lugha ya malkia huiwezi ila sababu ya perdiem unang'ang'ania kwenda mwishowe nchi inashindwa kesi na kulipa hela kibao tu sababu ya tamaa zako za perdiem.
Kwa hizi clips hawa jamaa wafilisiwe tu
Tulia basi mbona akina George Bush walikuwa tu wa kawaida na amekuwa raisi wa taifa kubwa nazungumzia Bush mtoto sio baba maana baba alikuwa genius .Kwa aina ya Elimu zetu, japo ni suala la sheria ila katumwa mtu wa miamba,
Usishangane, hata hiyo miamba , HAJUI CHOCHOTE, SANASANA ANAJUA KUPITIA SLIDES, NA KWENDA KUFUNDISHA UPUPU WANAFUNZIπ€£π€£π€£ .
Embu Fikiria,
Tuna Kiongozi Mjinga, hata yeye anasema alisoma akafeli ,akafeli feli weeeee ila amekua kiongozi "hata Mimi wanangu sikufanya vizuri kidato Cha Nne π€£π€£.
Huyo huyo kiongozi, anashauriwa na vichwa vya
Nape π€£ , aliyeamua kwenda kuchukua degree India, Degree uchwara ya kubebwa......... ( Mwanangu Kasome chochote tu upate Degree uwe na sifa tukupe Uwaziri )
Makamba π€£ huyu kajizi ka mitiani. ( Mwanangu soma chochote tuu, upate Degree, tukupe Uwaziri)
JK Msoga, huyu Hadi kufeli Kwa mwanawe akaamua badilisha Mfumo wa matokeo Kwa majina, yeye mwenyewe pale UDSM alipata ka GPA kaduchuuuuuuu ,kalikomfanya ashindwe Kusoma Masters yoyote ....... HUYU ALIUPATA URAIS ,KWA SABABU WANAWAKE WA CCM, WALIMPENDEA WEUPE WA RANGI, NA HUU NDIO UKWELI )!!.
mtaongezea wengine !!!!!!!!
Huyu wa Sasa ,ALIUPATA URAIS KWA SABABU NI MWANAMKE, WALA SIO UWEZO, NI KWA SABABU YA UANAMKE NA UZANZIBAR .
sasa Ndugu zangu, Hawa watu watatupeleka wapi???? π€£π€£π€£
Tunaongozwa na wajinga sana, vilazaa, mbumbumbuuuuuuuuuuu wakutupwa !!.
Mamaaaaaaah Sasa apa tumepigawa chenga kidogo Chali je nchi itakua ktk Hali gani ufikirifu ni mgumu kuliko utendajiTanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
View attachment 2698341
View attachment 2698342
Yaan hapa sizungumzii makaratasi, makaratasi hata hao Vilaza wanayo.Basi utateseka sana.
Mana bado unaamini kwenye makaratasi.
Hao uliowataja wote tayari washatoboa kimaisha, wewe uko busy kukandia elimu zao. Haya we msomi usomi wako umekusaidia nn ikiwa mpk sasa unaongozwa na vilaza!
Bush mtoto licha ya ukilaza wake, alikua Rais Kwa sababu wao Wana Mfumo ambao unasimamiwa na Mabunge,na wabunge wao ndio hao wazungu unaowaona wanamchachafyaaa Prof Mruma π€£π€£π€£Tulia basi mbona akina George Bush walikuwa tu wa kawaida na amekuwa raisi wa taifa kubwa nazungumzia Bush mtoto sio baba maana baba alikuwa genius .
Jombaa unahitaji bando na kujua lugha ya malikia. iyo ishu ilikua live unachokiona hapo ni technolojia. Kwenye hicho kikao walikua wamekaa viti na angle tofauti so kamera na tech zikawaweka pamojaHii habari IPO bias,haijakamilika hata video inaoneka imeunganishwa vipisi pisi.lete taarifa zote za habari hii
Unafikiri tatizo ni Kayumba au background za nje???Mkuu samaki mkunje angali mbichi, kule tusipeleke wanasheria waliosomea Kayumba waka graduate UDSM labda, tutafute ambao wana background ya nje.
Acha uongo.Mruma hajawahi kuwa waziri.Waziri kipindi hicho alikuwa Prof Muhongo.Na Mruma alikuwa Director wa GST.Sema Prof Mruma alikuwemo pia kwenye jopo la maamuzi ya kutoa Leseni ila hakuwa waziri.Hivi kwa nini mtu unadiriki kusema uongo namna hii?Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?
Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Yupo kwenye bodi za maamuzi pia ni mtaalamu wa miamba.Alikwenda kama mtaalam wa miamba yeye ndo anajua estimation ya madini yaliyomo kwenye eneo.Kumbuka hawa waliwahi kupewa leseni kipindi cha JK,na wakafutiwa kipindi cha Magufuli. Inshort Mruma alikuwepo pote kwenye jopo la kuruhusu Leseni na kwenye jopo la kufuta leseni.Kana hakuwahi kuwa Waziri kaenda kama nani?
Mwanasheria wa wizara ya madini Edwin Igenge. Huyo aliyeongea baada ya Mruma.Yupi huyo π π π
Hii mikataba ya kijinga iliingiwa kipindi cha JK yoteYupo kwenye bodi za maamuzi pia ni mtaalamu wa miamba.Alikwenda kama mtaalam wa miamba yeye ndo anajua estimation ya madini yaliyomo kwenye eneo.Kumbuka hawa waliwahi kupewa leseni kipindi cha JK,na wakafutiwa kipindi cha Magufuli. Inshort Mruma alikuwepo pote kwenye jopo la kuruhusu Leseni na kwenye jopo la kufuta leseni.
yaani ni aibu sn kuwa na genge la kijinga kama hiliWakuu, nakubaliana na hoja zote.
Upumbavu huanzia juu, na sasa tupo na top top!!
Huu ndo ukweli,Sema Magufuli ndo akaifuta.Hapo ndo kosa sasa .Maana hata kama ni mikataba ya Hovyo ndo ilikuwa ishapitishwa.Magufuli alitakiwa kufumba macho na kuacha mengine yapite.Ni kama wa vyeti feki tu.Mikataba hii ya kijinga yote aliingia JK na genge lake
Kweli tupuAthari moja ya upumbavu ni kuhisi hata mpumbavu alierevuka kidogo kuwa ni genius.
Ni sawa unapomiliki baiskeli na kumuona mwenye pikipiki ni tajiri.
Kilichotokea kwa Mruma ni wapumbavu waliohisi ule Uprofesa wake ni werevu wa hali ya juu (kulinganisha ni ujinga wao) na kumuona atafaa kuwakilisha kutokugundua huyo Mruma ni mpumbavu alierevuka kidogo baina ya wapumbavu zaidi.
Upumbavu unaanzia juu kabisa.
Mbona kipindi cha Magu hizi kesi hazikuwepo? JK na genge lake wananufaika na hizi kesi haswaHuu ndo ukweli,Sema Magufuli ndo akaifuta.Hapo ndo kosa sasa .Maana hata kama ni mikataba ya Hovyo ndo ilikuwa ishapitishwa.Magufuli alitakiwa kufumba macho na kuacha mengine yapite.Ni kama wa vyeti feki tu.