Ni kweli,na Mruma alishiriki pia .Alikuwa GST kipindi hicho.Sema ndo Rais yeye ndo kila kitu.Hata kitaaluma unaona haipo sawa ila inabidi ufuate maamuzi ya Rais.Hii mikataba ya kijinga iliingiwa kipindi cha JK yote
Sasa uongozi umebadilika.Si unaona tena Rais mwingine akija atataka kuvunja d'une la DP,hapo tena tutaona mziki wake.Mbona kipindi cha Magu hizi kesi hazikuwepo? JK na genge lake wananufaika na hizi kesi haswa
Kama ni mzalendo unajihuzulu, Huyu Mruma ni marafiki sn na JK hivyo wanapiga deal haswa kupitia hizi kesi za kijingaNi kweli,na Mruma alishiriki pia .Alikuwa GST kipindi hicho.Sema ndo Rais yeye ndo kila kitu.Hata kitaaluma unaona haipo sawa ila inabidi ufuate maamuzi ya Rais.
JK na Rostam wapo nyuma ya huu ujingaSasa uongozi umebadilika.Si unaona tena Rais mwingine akija atataka kuvunja d'une la DP,hapo tena tutaona mziki wake.
Full video (almost 3 hrs) ya ushahidi wa Prof. Mruma utaipata kwenye huo uzi; post za ndani ndani huko (mods wameamua kuificha badala ya kuiweka mwanzoni mwa thread): Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Prefesa Mruma inafedhehesha jamii ya WanazuoniHii habari IPO bias,haijakamilika hata video inaoneka imeunganishwa vipisi pisi.lete taarifa zote za habari hii
Nimekua mfutiajiwa siasa za Tanzania bkaribu miaka 20 sasa, sijawahi ona mruma akawa waziri, labda kipindi cha mwalimu na mwinyi.Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?
Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Hahaha Bongo hiyo haipo.Mtu anajali yeye na vizazi vyake.Kama anaingiza pesa ya kusecure vizazi sita hivi,ya nini ahangaike kuwa mzalendo?Hapo ndo tatizo lipo.Kama hao kina Mruma wanalipwa per diem, ticket za ndege tena first class kwenda na kurudi,hôtel nyota tano .Hapo uzalendo wao haupo.Kama ni mzalendo unajihuzulu, Huyu Mruma ni marafiki sn na JK hivyo wanapiga deal haswa kupitia hizi kesi za kijinga
Hawa watu wanatakiwa wafungwe harakaHahaha Bongo hiyo haipo.Mtu anajali yeye na vizazi vyake.Kama anaingiza pesa ya kusecure vizazi sita hivi,ya nini ahangaike kuwa mzalendo?Hapo ndo tatizo lipo.Kama hao kina Mruma wanalipwa per diem, ticket za ndege tena first class kwenda na kurudi,hôtel nyota tano .Hapo uzalendo wao haupo.
Na hao ni maprofesa wanauma manenoVile viengereza (lafudhi) za wale watasha wanavyokoroga maneno ukute hatujui hata wanauliza nini tunabaki tunajibu tunajikoroga.
Hao ndio ccm mleta mada, kusema kweli hawa watu ccm bila kukomaa nao wanatupeleka jehenam ambako wao ndio makazi yao waliyoandaliwa na Muumba!Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
Labda ni kwa kuwa yeye na Prof Osoro walikuwa kwenye ile kamati ya MakinikiaKana hakuwahi kuwa Waziri kaenda kama nani?
Tuwekee hizo video mkuuUna bando nikuwekee video zote tatu hapa? Au unabwabwaja tu?
Aliyeingia hii mikataba mibovu ni JK na anayelipa fidia ni Saa100.Ni kweli,na Mruma alishiriki pia .Alikuwa GST kipindi hicho.Sema ndo Rais yeye ndo kila kitu.Hata kitaaluma unaona haipo sawa ila inabidi ufuate maamuzi ya Rais.
Lini Profesa Mruma alikua waziri?Mkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?
Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Anaulizwa swali badala ya kujibu ye anashika kifua*Professor Mruma, Alipeleka uongo mwingi sana kwa Magufuli...
Sasa yamemrudi kwa aibu kubwa ya kuonyesha uwezo wake mdogo sana.
Hata English hajui! Hata kidogo.