antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
DuhTanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
Hapa kuna mawili, either wewe ni mnufaika na mfumo huu wa kubebwabebwa au utakuwa na mtindio wa ubongo. Ok, tuseme kuwa video imeunganishwa, je majibu ya huyo Prof wako yana mashiko? Ana confidence ya kutosha ukilinganisha na opponent wake? Kwa kutumia akili yako hiyo ya kuvukia barabara, unahisi ni nani ataibuka kidedea kwenye huo mjadala/negotiation/kesiHii habari IPO bias,haijakamilika hata video inaoneka imeunganishwa vipisi pisi.lete taarifa zote za habari hii
MKUU UNA ULIZA MAJIBU ? SIKU DP WORLD WATAKAPOTUTAPELI USISHANGAE KINA MAULIDI KITENGE NA ZEMBWELA WAKATUWAKILISHATanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
Prof Mruma hakuwa mtaalam wa tume, alikuwa Mtendaji Mkuu wa GST na GST haihusiki na uamuzi wa kufuta leseni ambao ndio kiini cha kesi. Alikwenda ICSID kutetea Nchi yake, amefanya alichoweza, apongezwe, asibezwe. Hakuna mtu angefanikiwa kutetea makosa ya wazi ya serikali ya JPM kwenye madiniTanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
Umemaliza kila kitu.Kwa aina ya Elimu zetu, japo ni suala la sheria ila katumwa mtu wa miamba,
Usishangane, hata hiyo miamba , HAJUI CHOCHOTE, SANASANA ANAJUA KUPITIA SLIDES, NA KWENDA KUFUNDISHA UPUPU WANAFUNZI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .
Embu Fikiria,
Tuna Kiongozi Mjinga, hata yeye anasema alisoma akafeli ,akafeli feli weeeee ila amekua kiongozi "hata Mimi wanangu sikufanya vizuri kidato Cha Nne [emoji1787][emoji1787].
Huyo huyo kiongozi, anashauriwa na vichwa vya
Nape [emoji1787] , aliyeamua kwenda kuchukua degree India, Degree uchwara ya kubebwa......... ( Mwanangu Kasome chochote tu upate Degree uwe na sifa tukupe Uwaziri )
Makamba [emoji1787] huyu kajizi ka mitiani. ( Mwanangu soma chochote tuu, upate Degree, tukupe Uwaziri)
JK Msoga, huyu Hadi kufeli Kwa mwanawe akaamua badilisha Mfumo wa matokeo Kwa majina, yeye mwenyewe pale UDSM alipata ka GPA kaduchuuuuuuu ,kalikomfanya ashindwe Kusoma Masters yoyote ....... HUYU ALIUPATA URAIS ,KWA SABABU WANAWAKE WA CCM, WALIMPENDEA WEUPE WA RANGI, NA HUU NDIO UKWELI )!!.
mtaongezea wengine !!!!!!!!
Huyu wa Sasa ,ALIUPATA URAIS KWA SABABU NI MWANAMKE, WALA SIO UWEZO, NI KWA SABABU YA UANAMKE NA UZANZIBAR .
sasa Ndugu zangu, Hawa watu watatupeleka wapi???? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunaongozwa na wajinga sana, vilazaa, mbumbumbuuuuuuuuuuu wakutupwa !!.
DPW kesi iko concluded hata kabla ya mradi kuanza .kesi ikitokea hakuna hata ya kukimbiza hayo ma vichwa bogaMkuu uyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?
Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Maskini jamaa anateseka kwa kujipatia sifa za kijinga wakati wa MAGU. Lissu aliwaambia mtanyolewa bila maji mkampiga risasi kumuua. Sasa Mungu amemuweka kuwashuhudia mkinyolewa (professorial rubbishes)Tanganyika kila kukicha tunaamka na aibu za kimataifa.
Bado tunaulizana ni nani aliuandika mkataba wa bandari na kusainiwa usiku bila kusomwa linaibuka lingine la kupigwa faini za mabilioni na kumtumwa Geologist kwenda kuwa wakili wa kuiwakilisha serikali.
Mfumo wa uongozi uliopo ni dhaifu kuanzia kuwaza, kufikiri, kiutendaji, kufuatilia na hauna Aibu.
Nimeshawaweka Mpwa hapo juuTuwekee hizo video mkuu
Shida ni aliyeivunja na ukifuatilia vizuri clips unaona kabisa kuna matatizo ya kiseraAliyeingia hii mikataba mibovu ni JK na anayelipa fidia ni Saa100.
Saa100 na JK ni Uji na mgonjwa.
Hatuoni Tanganyika tunapigwa!!!
Duuh mzee wa watu ametia huruma hadi sio vizuri .Wangekua mtiti wa huko Wangemtuma Mzee wa jalalani .Mzee amekinywe kikombeProf Mruma hakuwa mtaalam wa tume, alikuwa Mtendaji Mkuu wa GST na GST haihusiki na uamuzi wa kufuta leseni ambao ndio kiini cha kesi. Alikwenda ICSID kutetea Nchi yake, amefanya alichoweza, apongezwe, asibezwe. Hakuna mtu angefanikiwa kutetea makosa ya wazi ya serikali ya JPM kwenye madini
Huyo kaenda kama shahidi lakini hajawahi kuwa Waziri,rejea vizuri kumbukumbu zako.Kana hakuwahi kuwa Waziri kaenda kama nani?
Naomba maji ninyweKwa aina ya Elimu zetu, japo ni suala la sheria ila katumwa mtu wa miamba,
Usishangane, hata hiyo miamba , HAJUI CHOCHOTE, SANASANA ANAJUA KUPITIA SLIDES, NA KWENDA KUFUNDISHA UPUPU WANAFUNZI[emoji1787][emoji1787][emoji1787] .
Embu Fikiria,
Tuna Kiongozi Mjinga, hata yeye anasema alisoma akafeli ,akafeli feli weeeee ila amekua kiongozi "hata Mimi wanangu sikufanya vizuri kidato Cha Nne [emoji1787][emoji1787].
Huyo huyo kiongozi, anashauriwa na vichwa vya
Nape [emoji1787] , aliyeamua kwenda kuchukua degree India, Degree uchwara ya kubebwa......... ( Mwanangu Kasome chochote tu upate Degree uwe na sifa tukupe Uwaziri )
Makamba [emoji1787] huyu kajizi ka mitiani. ( Mwanangu soma chochote tuu, upate Degree, tukupe Uwaziri)
JK Msoga, huyu Hadi kufeli Kwa mwanawe akaamua badilisha Mfumo wa matokeo Kwa majina, yeye mwenyewe pale UDSM alipata ka GPA kaduchuuuuuuu ,kalikomfanya ashindwe Kusoma Masters yoyote ....... HUYU ALIUPATA URAIS ,KWA SABABU WANAWAKE WA CCM, WALIMPENDEA WEUPE WA RANGI, NA HUU NDIO UKWELI )!!.
mtaongezea wengine !!!!!!!!
Huyu wa Sasa ,ALIUPATA URAIS KWA SABABU NI MWANAMKE, WALA SIO UWEZO, NI KWA SABABU YA UANAMKE NA UZANZIBAR .
sasa Ndugu zangu, Hawa watu watatupeleka wapi???? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tunaongozwa na wajinga sana, vilazaa, mbumbumbuuuuuuuuuuu wakutupwa !!.
Mruma aliwahi kuwa waziri?Mkuu huyu Professor Mruma ndiye alikuwa Waziri na ndiye alisaini mkataba huo kama leo unavyoshuhudia Waziri Makame Mbarawa anavyotetea mkataba aliousaini kijinga hivyo Professor Mruma ndiye mwenye dhamana ya kujibu sio mwingine maana alisaini kwa niaba ya Rais na Rais ameishkufa ulitaka abanwe nanai? Ata mawakili watagoma kwenda kutetea Mawaziri vilaza kama awa. Niambie ni wakili yupi atakubali kwenda kutetea mkataba TATA wa DPW na Tanzania miaka michache ijayo?
Tunaposema tunaongozwa na wajinga mtuelewe awa wanastahili kupigwa risasi hadhalani.
Lissu alipotoa ushauri akaamuru atandikwe risasiHuu ndo ukweli,Sema Magufuli ndo akaifuta.Hapo ndo kosa sasa .Maana hata kama ni mikataba ya Hovyo ndo ilikuwa ishapitishwa.Magufuli alitakiwa kufumba macho na kuacha mengine yapite.Ni kama wa vyeti feki tu.
Uwezo wao ni kuratibu wizi wa kura na kuifisadi nchikwani wazalendo wa CCM mbona sioni comments zao kwenye huu uzi?
ukweli ni kwamba viongozi wetu wengi hawana uwezo
Kabsaaaa.Kwa aina ya Elimu zetu, japo ni suala la sheria ila katumwa mtu wa miamba,
Usishangane, hata hiyo miamba , HAJUI CHOCHOTE, SANASANA ANAJUA KUPITIA SLIDES, NA KWENDA KUFUNDISHA UPUPU WANAFUNZI🤣🤣🤣 .
Embu Fikiria,
Tuna Kiongozi Mjinga, hata yeye anasema alisoma akafeli ,akafeli feli weeeee ila amekua kiongozi "hata Mimi wanangu sikufanya vizuri kidato Cha Nne 🤣🤣.
Huyo huyo kiongozi, anashauriwa na vichwa vya
Nape 🤣 , aliyeamua kwenda kuchukua degree India, Degree uchwara ya kubebwa......... ( Mwanangu Kasome chochote tu upate Degree uwe na sifa tukupe Uwaziri )
Makamba 🤣 huyu kajizi ka mitiani. ( Mwanangu soma chochote tuu, upate Degree, tukupe Uwaziri)
JK Msoga, huyu Hadi kufeli Kwa mwanawe akaamua badilisha Mfumo wa matokeo Kwa majina, yeye mwenyewe pale UDSM alipata ka GPA kaduchuuuuuuu ,kalikomfanya ashindwe Kusoma Masters yoyote ....... HUYU ALIUPATA URAIS ,KWA SABABU WANAWAKE WA CCM, WALIMPENDEA WEUPE WA RANGI, NA HUU NDIO UKWELI )!!.
mtaongezea wengine !!!!!!!!
Huyu wa Sasa ,ALIUPATA URAIS KWA SABABU NI MWANAMKE, WALA SIO UWEZO, NI KWA SABABU YA UANAMKE NA UZANZIBAR .
sasa Ndugu zangu, Hawa watu watatupeleka wapi???? 🤣🤣🤣