Ni nani aliyewahi kuuelewa muziki wa Michael Jackson?

Earth Song from the album Bad released in 1987 was shot at the Tarangire National Park in Tanzania.

Source: East Africa News.
Unasema nini?earth song ya 1987?that's why unabishana nimeelewa IQ yako sasa earth song ni ya 1995
 
Unasema nini?earth song ya 1987?that's why unabishana nimeelewa IQ yako sasa earth song ni ya 1995
Sasa IQ, kubishana na ujinga ujinga wote vimetokea wapi wewe ngumbaru? Nimeichukua hiyo huko huko mtandaoni katika kujibu kua Earth Song video kuna scene ili shutiwa Tz, Tarangire National Park,
Na ungekua una akili ungeona hapo chini nimeweka chanzo cha hiyo taarifa,

Hasira zako zirudishe kwa aliyekupatia
 
Yaani sasa hivi nashindwa kuchangia mada nyingi kwa sababu ya huu utoto uliopo humu JF....
 
We mtoto nakushauri hii post uifute haraka sana kabla ya wana na moderator hawajaiona
 
Kasikilize liberian girl,huenda ukaupenda,ila ungekuwepo 1990 ukasikia miziki ilikuaje ungejua kwa mini michael
 
Ndomaana nikasema kuwa kwa hili la kucheza kwa kuteleza sakafuni zamani tulikuwa tunaita "mabreka" yuko vizuri ila kwa tungo ni taaban ukilinganisha na hao niliowataja.
Unadhihirisha ulivyo mweupe, ile staili ya kuteleza inaitwa "moonwalk" na aliibuni mwenyewe. Break dancing au kama ulivyosema "mabreka" ni staili tofauti kabisa ya kucheza muziki.

Kuhusu talent ya Michael nakushauri uwe unafanya research kwanza, sio unaposti kitu ambacho hukijui.
 
Unadhihirisha ulivyo mweupe, ile staili ya kuteleza inaitwa "moonwalk" na aliibuni mwenyewe. Break dancing au kama ulivyosema "mabreka" ni staili tofauti kabisa ya kucheza muziki.
dogo ni mweupe eti mabreaka dah fedheha hizi.....
 
G.O.A.T
KIng of pop hutak kaa pale
1. We are the world
2. Human nature
3.you are not alone
4. Will be there
5. Billie jean

Ngoma kal kama hizo na bado unasema mtu hajui🖕
 

Attachments

  • c752d028e2eaf1965713e7f7ea0ab7e2.mp4
    2.1 MB
hizi habari wamekupa masonic?
 

Kuna kitu hapa cha aiseee siyo bure.
 
Sasa hao uliyowataja ni waimba pop? Maana Michael ni mwanamuziki wa pop na inaonekana hujawahi kumsikiliza nyimbo zake zote unaishia kuhitimisha tu hukijui kipaji chake kipo vipi.

Jamaa alikuwa anaimba na ana sauti nzuri sana, na hadi nyimbo zisizochezeka kaimba sana. Usimshindanishe na waimba nyimbo za mapenzi
 
Dogo.
1. Hukuwepo
2. Hujui kitu
 
Hujui unachoongea ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…