BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Mkuu nchi imejaaa wajinga sana hii sishangai. Vitu kama hivi utavikuta kwenye Taifa la wapumbavu kama TanzaniaHivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu
Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu?
Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni wangapi wamenunua hayo madafu kuwaunga mkono hawa wajasiriamali?
View attachment 2932967
Mimi nataka tu kujua, kuna aliyewahi kuwaona hao wauza madafu mitaani?Hivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu
Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu?
Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni wangapi wamenunua hayo madafu kuwaunga mkono hawa wajasiriamali?
View attachment 2932967
It is dangerous kumpeleka secretary mahali patakatifu, a clerical person at such a high positionBwana bwana !
Tena michafuSiasa ni michezo michezo
Saa hizi unaamka kwenda wapi!Tena michafu
Hivi iko siku atatoka na vazi la kuogelea kweli? Mama kapendeza na huo Mtandio wa Zantel.
KaziniSaa hizi unaamka kwenda wapi!
Tatizo nini?Hivi ni kweli hawa watu walikwenda kufanya baiashara ya kuuza madafu au walikwenda kuonesha maonesho ya madafu
Nani ana ruhusu vitu kama hivi Ikulu?
Yani wanajaribu kusema na kufanya nini? Ni wangapi wamenunua hayo madafu kuwaunga mkono hawa wajasiriamali?
View attachment 2932967