Ni nani ameruhusu maigizo kama haya Ikulu?

Digital Blackface


...and Disinformation and not just any Disinformation.

Jamiiforums imevamiwa na genge baya sana linalotafuta kuchonganisha Wananchi kwa misingi yote, iwe ni ya Kijamii, KiSiasa, na Kiuchumi.

Mada hii ni mojaapo ya mada chochezi inayotumia fursa(taking advantage of)mida hi ya Ramadhani kuchagiza Uhasama kati ya imani za watu. Ni hatari.

Fuatilia sana hizi ID hapa, udadavue mwenyewe. Usisahau kugonga link hizo juu kupata muktadha wa tahadhari hii.

Kitaeleweka.
 
Ccm siku zote wanatafuta vituko, ili kuwafanya watu wasijadili na kufatilia Mambo ya maana, kama sio maigizo ya kuongeza bei ya sukari, ni kuleta mgao wa umeme, au script ya zuchu kuachana na Mond!, au samia kumpigia simu pastor yoyote wa mchongo! Ili kupumbaza wananchi
 

😂😂

Yaani kuwa na akili ni jambo la maana sana, kila nikisoma na kutaka kielewa huyo mwandishi alikuwa anataka kufikisha ujumbe upi wenye akili nashindwa elewa...
 
Na mimi nimefikiri hivyo.

Labda yalikuwa maonesho ya Madafu

NB: Mimi na Mwendazake ni kitu kimoja.
 
We jhichanganye tu ,oghopa ,ni khatari ,we unadhani ni wauza madafu kweli hao? VIJANA WA MAKUMBUSHO HAO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…