Ni nani anayetaka kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya kuhoji tu?

Ni nani anayetaka kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya kuhoji tu?

Ila mwenezi kaongea na hakuna aliemchacha wagwe.

Ila upande wa pili jamaa yupo Belgium lkn anamuogopa Mafia alie bongo.
Inaonekana mwenyekiti ana sera za Kagame. Ukihoji chochote kuhusu yeye basi anakumaliza huko huko Ulipo. Haijalishi ni Ulaya au Africa 🤣🤣🤣
Tunawajua wachawi mliotumia mwanya huo kumdhuru msaidizi wa mkt msaidizi,

Pambaneni na Hali zenu CDM ni Moja.
 
Upinzani hasa cdm Lissu anafaa kwani nyakati hizi zinamruhusu kuwa kiongozi wa upinzani...
Hana kashfa
Mzalendo
Mkorofi😂😂😂
Lakini hatapewa kwasababu ataziba ulaji wa boss kubwa
Soma comment ya juu namba # 27.

Imeeleza kila kitu 😀😂

Hahaha... Aisee inashangaza sana kuona mtu unaejifanya mjanja mitandaoni mpaka leo unashindwa kutumia ujanja wako kumsoma Mbowe na kumjua kuwa ni mtu gani, na wa aina gani ndani ya chama 🤣🤣🤣

Kifupi jamaa kawekwa hapo (sio kujiweka mwenyewe au chama kama mnavyoaminishwa) kwa Kazi maalum.

Na hiyo kazi ashaifanya (moja wapo) ni ile ya 2015, na zingine za sirini ambazo sio rahisi mtu ambae hatumii akili iliyohuru kuzijua.

Kesi za kubumba bumba (ili kuwafubazeni) aliyopewa Mbowe, na baada ya kuachiwa tu kukimbilia ikulu fasta siku hiyo hiyo kupewa pole na yule aliemfunga, inamfanya mtu alie huru kimawazo kufikiria mara mbili mbili kama kweli jamaa ni mpinzani thabiti kama Yule aliekumbilia Ulaya au ni jamii ya hawa hawa kina Mrema, Cheo, Lipumba, Zito nk.

Hata swala la kuharibiwa mashamba limezubaza wengi akili, huku mwamba akiwa kalipwa double kupitia njia za siri. Kinachomkuta Mbowe au kile anachokifanya katika chama hadi nyie kupiga makelele kwamba atoke sio cha bahati mbaya, bali ni moja kati ya majukumu yake aliyopewa na wenye mamlaka ili kuhakikisha vyama vyote vipya na vya zamani vitaendelea kuwa vya upinzani tu na kupewa wabunge wawili watatu kama walivyokubaliana katika mapatano yao na CCM.

Mrema alianza vizuri, baada ya muda akajigeuza sultan wa chama ili asijitokeze mwanamageuzi wa kweli wa kuichalenge serikali. Mwisho chama kikaanza kupoteza ushawishi taratibu, na baadae kubaki jina.

Mara akaja Lipumba akaiteka bara na visiwani watu wakamuona ni mwana mageuzi wa kweli hadi kupelekea watu kufa na kufungwa katika maandamano na vurugu mbali mbali. Pia kama mwenzake, na yeye akaanzisha mfumo wa kubaki yeye tu uongozini, ili kuhakikisha hatokei mtu mwenye mawazo, na plan ya kweli ya kukitoa chama tawala madarakani. Chama kikaanza kupoteza mvuto na wanachama, wazee wakahamia Chadema, wakamuweka Mbowe, jamaa akaanza kama wenzake pengine yeye akawa zaidi ya hata Lipumba kwa ushawishi. Mambo yakaenda vizuri, ila kama ilivyo ada na yeye akabadili sheria makusudi ili watu kama kina Lisu wanaoonekana ni wapinzani halisi wasije kukalia kiti na kuichalenge serikali. Jamaa kang'ang'ania hadi leo bila kujali boko aliyotoa mwaka 2015 japo wengi tunafahamu kuwa ni moja kati ya majukumu aliyopewa na waliomuweka pale, lkn angeona aibu na kujiuzulu kutokana na kelele za watu kwake.

Anyway watanzania wengi hawana upeo, hivyo acha jamaa atumikie ofisi mbili kwa wakati mmoja. Kama tukiwa hai, hayo ya kutumikia ofisi mbili tutakuja kuyajua katika wasifu wake siku Mungu atapoamua kumchukua kama ilivyokuwa kwa kina Mrema, Membe nk.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Nauliza hili swali hapa, ila nina uhakika hakuna atakaekuwa tayari kujitokeza kunijibu. Hii ni kwa sababu wengi wanatumiwa ili mkono uende kinywani, lkn umafia wa yule anaewatumia wanaujua vizuri sana.

Hapa nazungumzia ule upande wa kondoo kutembea kichwa chini (usihoji chochote kuhusu mwenyekiti) ambapo mtu akijifanya mbuzi kunyanyua kichwa juu (kuhoji kuhusu mwenyekiti) anakumbana na hatari mbele yake.

Makamu mwenyekiti anaeishi Ulaya na familia yake, juzi amejaribu kuwatoa watu uoga wa kuhoji au kukosoa, lkn mpaka sasa watu bado wanaogopa kuanza kukosoa, au kujitokeza kuhoji haswa wakikumbuka yale yaliomtokea Chacha Wangwe, Zito Kabwe na wengine wengi wa aina hiyo.

Sio kwamba wanachama wao hawajui kuwa mwenyekiti wao chama kishamshinda, na juhudi zake za kukijenga chama bila kuwa na makamu wake karibu zimeshindikana. Au sio kwamba wanachama wao hawakumbuki ile kauli ya mwenyekiti wao kuwa ataachia kiti cha uenyekiti mwaka huu wa 2023, baada ya kupigiwa kelele huko nyuma na wenye uchungu na chama ajiuzulu, lahasha.

Wanajua na wanakumbuka sana, lkn nani atakaekuwa tayari kumchalenge Mafia wa chama ili mchalenjiji huyo aweke maisha yake na ya familia yake hatarini?

Wengi wanajiuliza, ikiwa makamu ambae yuko Ulaya anaogopa kumface mwenyekiti, na badala yake anatumia mafumbo ya hapa na pale, je wao ambao wapo karibu na mwenyekiti huyo watatoa wapi ujasiri wa kuhoji na kuuliza siku rasmi ya mwenyekiti kuachia ofisi?
Pilipili usizokula zakuwashia nini kama siyo unafiki.
 
Kila mtu ana uhuru wa kuandika akitakacho. Hivyo kama mimi sikuandika cha maana, haikuzuii wewe kuandika hicho cha maana unachokitaka.

Haya ndio maneno aliyosema makamu mwenyekiti huko Ulaya. Kwamba kuna mtu ana genge lake mitandaoni (nahisi wewe ni mmoja wa wale vijana wa genge lake) hawataki mkuu huyo akosolewe kwa baya au zuri. Yani akikosolewa tu wanachukia na kuanza kumvamia mkosoaji kana kwamba yeye ni Mungu ambae peke yake huwa hakosei.
Kupandia ngazi inayoshuka hautafika. Eg. Wewe ni wa muungano, kisha unalilia kisicho cha muungano, lazima utaumia kichwa. Wote hao msemaji+msemwaji. Walifikaje walipo?
 
Lita 1 ya Diesel ni 3510, na vyakula bei juu, alaf mwenyekiti anataka kila mkutano azunguke kwa chopa.

Kwanini hiyo hela ya kuzunguka na chopa asiitumie kuwasaidia nyie chawa wake masikini kwa kuwanunulia japo kilo mbili mbili za unga na moja moja ya sukari ili iwe chachu ya watu kukichagua chama chake katika uchaguzi mkuu?
Mwenyekiti ni rais wa Tanzania au ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani pumbavu?????
 
Tunawajua wachawi mliotumia mwanya huo kumdhuru msaidizi wa mkt msaidizi,

Pambaneni na Hali zenu CDM ni Moja.
Hahaha mwaka wa 2023, bado unaamini katika uchawi tu.

Ndio maana imekuwa rahisi mwenyekiti kuwatawala kiakili na kimwili.

Yani watu wenye akili zao waache kumdhuru mwenyekiti au karibu mkuu, et wakamdhuru msaidizi wa makamu msaidizi ambae anaishi Ulaya na familia yake 🤣🤣🤣

Ndiomaana tunapambana jamaa atoke madarakani ili asiendelee kuharibu na kumiliki akili za vijana wengine. Bora abaki na akili zenu nyie ambao mmeamua kuwa chawa wake nyinyi wenyewe.
 
Chama kinapokea hela kutoka serikalini ambapo ndani yake kuna kodi yangu, ndiomaana nachukizwa na ujinga ujinga wa mtu mmoja kujimilikisha chama na chawa wote peke yake.
Ukishindwa kujitafutia hela kwa nguvu zako halafu ukategemea Serikali au chama kukulipa kila mwisho wa mwezi bila kufanya kazi yoyote ya maana ina maana wewe ni marehemu au msukule unaotembea.
 
Kupandia ngazi inayoshuka hautafika. Eg. Wewe ni wa muungano, kisha unalilia kisicho cha muungano, lazima utaumia kichwa. Wote hao msemaji+msemwaji. Walifikaje walipo?
Jibu la swali lako analo mwenyekiti wa chama. Kwa sasa anazunguka kwanza na chopa kupitia hela za chama.

Ngoja akitua atakujibu.
 
Ila mwenezi kaongea na hakuna aliemchacha wagwe.

Ila upande wa pili jamaa yupo Belgium lkn anamuogopa Mafia alie bongo.
Inaonekana mwenyekiti ana sera za Kagame. Ukihoji chochote kuhusu yeye basi anakumaliza huko huko Ulipo. Haijalishi ni Ulaya au Africa 🤣🤣🤣
Mkt wenu amwambie PM kuwa sikutaki,

Sio anatuma watu kinafiki.
 
Mwenyekiti ni rais wa Tanzania au ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani pumbavu?????
Nilijua tu lazima mkewe uje utukane watu.

Btw mumeo kaamua kuwa mwanasiasa, hivyo kusemwa au kukosolewa ni moja ya majukumu yake ya kazi.
 
Ukishindwa kujitafutia hela kwa nguvu zako halafu ukategemea Serikali au chama kukulipa kila mwisho wa mwezi bila kufanya kazi yoyote ya maana ina maana wewe ni marehemu au msukule unaotembea.
Mbona makamu wa chama hana Kazi. Anategemea hela ya UNHCR, pamoja na michango ya wanachama mbali mbali ili apate hela ya kula, kuvaa, kunywa na kusomesha watoto wake huko.

Je na yeye ni msukule kama ulivyoandika?
 
Attachments

  • IMG_20211028_071405.jpg
    IMG_20211028_071405.jpg
    35.8 KB · Views: 2
Mbona makamu wa chama hana Kazi. Anategemea hela ya UNHCR, pamoja na michango ya wanachama mbali mbali ili apate hela ya kula, kuvaa, kunywa na kusomesha watoto wake huko.

Je na yeye ni msukule kama ulivyoandika?
Atakuwa amependa maana yeye ni mwanasheria na wakili mahiri kwa nini atgemee hela za michango?
 
Mkt wenu amwambie PM kuwa sikutaki,

Sio anatuma watu kinafiki.
Ama kweli siasa ni uongo na unafiki.

Si nyinyi ambao mnasema eti mnataka katiba ibadilishwe. Kwamba hii iliyopo inampa raisi madaraka makubwa ya kufanya chochote, kwa mtu yoyote bila kufanywa lolote na mtu yoyote.

Sasa mtu mwenye mamlaka ya namna hiyo kupitia katiba hii anawezaje kumuogopa mtu asiekuwa na jeshi wala mgambo?

Unafiki, uongo na upuuzi ndio vinasababisha watu waachane na vyama vyenye viongozi wanafiki na waongo.
 
Kuna jamaa alikua anawaka kumsema m/kiti vibaya kuhusu bandari, nikamuuliza kwani hiyo bandari nafananaje, akasema inafanana kama na madini ya dhahabu, watu wote tulicheka kwaujinga wake. Hata bandari haijui ila anatoa povukuongea.
 
Ama kweli siasa ni uongo na unafiki.

Si nyinyi ambao mnasema eti mnataka katiba ibadilishwe. Kwamba hii iliyopo inampa raisi madaraka makubwa ya kufanya chochote, kwa mtu yoyote bila kufanywa lolote na mtu yoyote.

Sasa mtu mwenye mamlaka ya namna hiyo kupitia katiba hii anawezaje kumuogopa mtu asiekuwa na jeshi wala mgambo?

Unafiki, uongo na upuuzi ndio vinasababisha watu waachane na vyama vyenye viongozi wanafiki na waongo.
Ndo aache uswahili,

Amwambie Live sikutaki, avunje kikao kile chote tuanze UPYA.
 
Back
Top Bottom