Ni nani anayetaka kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya kuhoji tu?

Kuna jamaa alikua anawaka kumsema m/kiti vibaya kuhusu bandari, nikamuuliza kwani hiyo bandari nafananaje, akasema inafanana kama na madini ya dhahabu, watu wote tulicheka kwaujinga wake. Hata bandari haijui ila anatoa povukuongea.
Yah hiyo ndio demokrasia ya kweli sasa.
Fikiria mtu asieijua hata bandari yenyewe inafananaje, ana uhuru wa kumsema mwenyekiti wa chama bila kuchukuliwa hatua yoyote, hapo bado sijamtaja Tibaijuka na kundi lake lote lililomsakama mwenyekiti wao kuhusu bandari lkn hadi leo wapo chamani na mwenyekiti anawajua na kuwaona.

Sasa kuna mwenyekiti aliewashughulikia kina Zito Kabwe kwa sababu ya kuhoji tu uhalali wa mwenyekiti kukaa madarakani kwa zaidi ya miaka 10 kinyume na katiba ya chama.

Badala ya kumjibu tu Zito kistaarab kwamba mwenyekiti alinyofoa hicho kifungu cha katiba ili atawale yeye peke yake, wao walichofanya ni kumfukuza kabisa chamani na kupelekea wengine kuogopa utaratibu wa kuhoji hoji kama Zito.

RIP Chacha Wangwe.
 
CCM wenzangu wanakosoa, CCM wenzangu wanataka mwenyekiti mpya ili CHADEMA iwaondoe CCM!
#Pathetic!
 
Ndo aache uswahili,

Amwambie Live sikutaki, avunje kikao kile chote tuanze UPYA.
Katiba inayompa raisi uwezo wa kufanya lolote ndio hiyo hiyo yenye uswahili au?

Kumbe tatizo lenu ni watu na sio katiba. Hivyo ule mzunguko wa mwenyekiti kuzunguka na chopa kudai katiba ni njia yake tu ya kichochoro kupiga hela za wajinga. Ila kwa maelezo yako katiba haina tatizo maana haimpi raisi nguvu ya kumfuta kazi hata waziri mkuu.
 

Punguza dharau na kiburi. Tofautisha serikali iliyopigiwa kura na wananchi na hisani ya mtu binafsi.
 
Kila kitu bei juu kweli, hadi mwenyekiti kaamua kupandisha bei ya kukodi chopa kutoka 15 m hadi 30 m kwa siku.

Tatizo unahangaika na CHADEMA ambayo haipo serikalini. Ila mfumuko wa Bei na Deni la nje limewashinda, mmebaki kuwapugia magoti IMF watoe mkopo haraka. Shida yenu ni kulinda madaraka kwa kupambana na CHADEMA, wakati mmejaa bungeni CCM wote.
 
Punguza dharau na kiburi. Tofautisha serikali iliyopigiwa kura na wananchi na hisani ya mtu binafsi.
Unamuelewesha aliyekataa shule na kuamua kuomba omba barabarani atakuelewe?
Hawa akina dudumizi ndio mikoani mwao wakipelekewa kila kitu na serikali wanaishukuru CCM badala ya serikali, wanahisi ni hisani kumbe wajibu wa serikali.
 

Punguza bangi za uzeeni utatembea uchi.
 
Hahaha. Bei imepanda hadi katika ukodishaji wa chopa.

Na bado atajiongezea mshahara kwa kisingizio cha gharama ya maisha imepanda 🤣🤣🤣

Mbona unapingana na Makonda, yeye kasema serikali iwape CHADEMA kibali Cha kirusha chopa lakini wewe chawa unadai CHADEMA wamekodi chopa. Uongo sio mzuri.
 
Unamuelewesha aliyekataa shule na kuamua kuomba omba barabarani atakuelewe?
Hawa akina dudumizi ndio mikoani mwao wakipelekewa kila kitu na serikali wanaishukuru CCM badala ya serikali, wanahisi ni hisani kumbe wajibu wa serikali.
🤣🤣🤣 Mwenyekiti amekuwa akitumia ujinga wenu kwa faida yake na familia yake.

Ameng'ang'ania kiti kwa faida yake na watoto wake ambao wewe hata hawakujui.
 
Kwahiyo hili ndio linahalalisha mwenyekiti asitoke madarakani kama alivyoahidi?

Mbona unahangaika na yasiyo kuhusu?. Mbowe kukaa madarakani kunawahusu CHADEMA sio CCM. Wewe nenda kashughulike na kumsaidia Majaliwa kuandika ripoti ya kumpelekea Makonda huku akiwa Kapiga magoti.
 
🤣🤣🤣 Mwenyekiti amekuwa akitumia ujinga wenu kwa faida yake na familia yake.

Ameng'ang'ania kiti kwa faida yake na watoto wake ambao wewe hata hawakujui.
Baba yeke Mwenyekiti yupo Mjini wakati baba yako yupo ushetu anapalilia mashamba ya matajiri.
NyereRE alikuwa analala kwa Baba yake Mwenyekiti [MZEE FREEMAN]akiwa Moshi na Arushamiaka ya 1955.
Mwenyekiti ni downtown na Tajiri mkubwa kabla hata Shujaa wenu hajafika mjini .
Mbowe anamiliki Bill Canas 1984 wakati Nyerere akiwa rais na wewe upo viunoni na labda kidogo jamaa angevaa kinga usingekuwepo.
Mwenyekiti anajitolea hali na mali na biashara zake kwa maslahi ya shemeji zako huko mpanda.
 
Punguza bangi za uzeeni utatembea uchi.
Kama alivyosema makamu wake, kuwa jamaa kasambaza vijana mitandaoni wa kuhakikisha hakuna mtu anaehoji kuhusu hela za chama, gharama ya chopa na ukomo wa kukaa madarakani 🤣🤣🤣

Basi nimekuelewa mkuu, haina haja ya kukutoa povu kwa sababu ya mtu asiekuwa na msaada wowote wa maana kwa familia yako.
 
Jamaa uliem quote amesahau kama Chadema kuna misukule na nyumbu wa mwenyekiti, alaf chawa wao wapo CCM.

Nikushauri tu, sio vizuri mwanaume kuwa kimbelembele kumsemea mwanaume mwenzake. Unamsemea umekuwa nani yake?. Mwache aseme mwenyewe. Au ni wewe unatumia ID mbili tofauti?.
 
Mimi niko tayari kwa chochote kile kinacho weza kunipata kwa kusimamia ni nacho kiamini. Katika Dunia hii hakuna atakaye ishi milele wote tutakufa. Swali la kujiuliza ni je unataka ukubukwe kwa lipi baada ya kufa? Na Mwanaume kama huna cha kufia basi wewe sio mwanaume kamili.
 
Mbona unapingana na Makonda, yeye kasema serikali iwape CHADEMA kibali Cha kirusha chopa lakini wewe chawa unadai CHADEMA wamekodi chopa. Uongo sio mzuri.
Hivi unaelewa maana ya neno kibali na neno kukodi?

Kwa mawazo yako unafikiri kibali ndio kukodi!
Kwamba nikikupa kibali cha kujenga wewe utaelewa kuwa nimekukosha nyumba yangu 🤣🤣🤣

Kwa akili hizi acha mwenyekiti aendelee kutafuna mema ya chama huku akitumia vijana wachovu kumtetea mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…