Ni nani anayetaka kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya kuhoji tu?


Asante kwa kunielewa kuwa utaacha bangi, nadhani idadi ya wakabaji na wavuta bangi itapungua.
 

Wewe unashida Sana, unahitajika maombi. Utakodi kitu huna kibali nacho. Yani utakodi fremu ya biashara na kulipia pango bila kupata kibali Cha biashara manispaa?.

Unapata kibali kwanza ndio una Kodi chopa. Usipende kuongea vice versa na kulazimisha kuwa kweli. Kabla ya kukodi chopa , unaomba kwanza kibali na kibali kinajieleza ndio unakodi chopa.

Yani unakodi chopa kipindi hiki Cha mvua au Magufuli au Hali ya hewa mbaya bila kibali?.
 

Mbona haya maneno kayasema Makonda. Tena kawaita Viongozi wa CCM chura.
 
Hahaha 🤣🤣🤣 nilitaka nikupongeze kwa kufikiri kuwa unamzungumzia baba yako ndio tajiri, kumbe umekuja kuwapigania na kuwasifia baba wa wenzako.

Huyu mwenyekiti atakuwa ana nguvu fulani ambayo anaitumia kuwafubaza akili watoto wa wenzake watumie muda mwingi kumpigania na kumsifu yeye, badala ya kuwapigania na kuwasifu baba zao.

Watoto wa Mbowe haswa wale waliopo Marekani wakisoma hiyo comment yako hapo juu watacheka sana jinsi baba yao alivyofanikiwa kuwatumia watoto wa wenzake mitandaoni huku watoto wake yeye akiwa kawapeleka Marekani kwa ajili ya masomo.

Hivi hauoni aibu kuona wazazi wako wakuzae alaf baba wa wenzake aje akutumie na sifa juu zisizokuhusu umvishe? Nasema sifa zisizokuhusu kwa sababu huo utajiri ulioutaja hapo juu unawahusu watoto wake, wewe utaendelea kutumiwa tu kama jiwe la kusugulia vizaka alaf mwisho wa siku unatupwa.
 

Cha kufurahisha huwa mnajifanya mna akili Sana, wakati hata vyoo vya wanafunzi mashuleni mnajengewa na wadhamini. Yani serikali itakuwa ya kijinga kutumia nguvu nyingi kuimaliza CHADEMA kuliko kumaliza Deni la taifa.
 
Baba yangu, umri wangu nina wajukuu unataka nizungumzie baba?
we vipi we mtoto?
Mumeo hajawahi kumzungumzia Elon Musk, Bill Gates, Ronaldo, Messi, Gaddafi na Kiduku wa Korea?Hao si waume za watu? AFYA YA AKILI!

Wewe hujawahi kumzungumzia Ridhiwani Kikwete, Mo DEwji na Ghalib GSM? si waume za watu?

#Mpuuzi mmoja
 
Upinzani hasa cdm Lissu anafaa kwani nyakati hizi zinamruhusu kuwa kiongozi wa upinzani...
Hana kashfa
Mzalendo
Mkorofi😂😂😂
Lakini hatapewa kwasababu ataziba ulaji wa boss kubwa

Mbowe inabidi kustaafu pamoja na mnyika. Pale tunamuhitaji Lissu na Heche. Na Mrema pia apishe, tumuweke Dr Marcus Albani
 
Mbona unahangaika na yasiyo kuhusu?. Mbowe kukaa madarakani kunawahusu CHADEMA sio CCM. Wewe nenda kashughulike na kumsaidia Majaliwa kuandika ripoti ya kumpelekea Makonda huku akiwa Kapiga magoti.
Mbowe ni mwanasiasa. Hivyo lazima atasemwa na mtu yoyote haswa asieogopa kuweka maisha yake hatarini kama mimi.
 
Nikushauri tu, sio vizuri mwanaume kuwa kimbelembele kumsemea mwanaume mwenzake. Unamsemea umekuwa nani yake?. Mwache aseme mwenyewe. Au ni wewe unatumia ID mbili tofauti?.
Wewe umem quote jamaa kupitia uzi Huu, na mimi nime quote wewe kupitia uzi huu, kwani kuna ubaya au sheria za JF haziruhusu?
 

Punguza uongo. Kuna wauaji zaidi ya CCM?. Si juzi mlikuwa mnalia kuwa Magufuli kauawa? Au sio nyie?. Mpaka Mzee Makamba akapiga jiwe kuwa Wazuri hawafi. Hakuna kiongozi wa upinzani anaweza kufanya scheme yeyote akaachwa salama.

Mbowe kuajiri wanajeshi wastaafu, tayari kapewa kesi ya ugaidi.
 
Good bro, umeandika vizuri sana ila wachache ndio tumekuelewa.
 
Asante kwa kunielewa kuwa utaacha bangi, nadhani idadi ya wakabaji na wavuta bangi itapungua.
Hahaha.. Siasa hizi 🤣🤣🤣 nilijua tu kwamba nikimgusa mwenyekiti ambae anaheshimika kama mungu, lazima genge lake litanivaa kuhakikisha linamlinda kwa nguvu zote asizungumziwe kwa lolote, isipokuwa yale ya kumsifu tu.
 
Mleta hoja wewe ni kwa aslilimia 100 ni wa jinsia ya 'KE'
Andika yako ni umbeaumbea wa kike tena wa Tandale!
Haya mke wa mwenyekiti, nilitegemea tu kama mkewe utakuja kumtetea mumeo ili usiku upigwe vitatu badala ya viwili alivyozoea kukupiga.

Mtaarishie na mafuta ya mgando kabisa ili kumrahisishia mambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…