Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #81
Haya ndio maswali ambayo ukiuliza nakubaliana na wewe kwamba umeyafikiria kabla ya kuuliza.Wewe unashida Sana, unahitajika maombi. Utakodi kitu huna kibali nacho. Yani utakodi fremu ya biashara na kulipia pango bila kupata kibali Cha biashara manispaa?.
Unapata kibali kwanza ndio una Kodi chopa. Usipende kuongea vice versa na kulazimisha kuwa kweli. Kabla ya kukodi chopa , unaomba kwanza kibali na kibali kinajieleza ndio unakodi chopa.
Yani unakodi chopa kipindi hiki Cha mvua au Magufuli au Hali ya hewa mbaya bila kibali?.
Imetosha, wapishe wengine nao wapushYule jamaa sijui walimuweka pale kwa lipi, hana presence kabisa. Ile nafasi angepewa Lema ingesaidia kidogo
Huko kwa kina Makonda watu wana uhuru na demokrasia ndio maana Makonda anautumia huo uhuru kuwaita watu hivyo ulivyosema.Mbona haya maneno kayasema Makonda. Tena kawaita Viongozi wa CCM chura.
Lengo sio kuimaliza Chadema wala upinzani wowote mkuu. Kwa sababu Chadema au upinzani ukifa serikali itakosa pesa kutoka Ulaya ambazo hugawiwa zile nchi zote zenye kuendeleza demokrasia duniani.Cha kufurahisha huwa mnajifanya mna akili Sana, wakati hata vyoo vya wanafunzi mashuleni mnajengewa na wadhamini. Yani serikali itakuwa ya kijinga kutumia nguvu nyingi kuimaliza CHADEMA kuliko kumaliza Deni la taifa.
Mimi ni ME ndo maana namsifia Samia.Baba yangu, umri wangu nina wajukuu unataka nizungumzie baba?
we vipi we mtoto?
Mumeo hajawahi kumzungumzia Elon Musk, Bill Gates, Ronaldo, Messi, Gaddafi na Kiduku wa Korea?Hao si waume za watu? AFYA YA AKILI!
Wewe hujawahi kumzungumzia Ridhiwani Kikwete, Mo DEwji na Ghalib GSM? si waume za watu?
#Mpuuzi mmoja
JIWE hukusifia?Mimi ni ME ndo maana namsifia Samia.
Aibu kwa ME kumsifia ME mwenzako 😂😂
Mbowe hakupewa kesi, bali kapachikiwa tu kazi inayoambatana na masharti ya kifungo na wenye mamlaka ili kuwafubaza vijana waweze kuelewa kuwa na yeye ni mpinzani.Punguza uongo. Kuna wauaji zaidi ya CCM?. Si juzi mlikuwa mnalia kuwa Magufuli kauawa? Au sio nyie?. Mpaka Mzee Makamba akapiga jiwe kuwa Wazuri hawafi. Hakuna kiongozi wa upinzani anaweza kufanya scheme yeyote akaachwa salama.
Mbowe kuajiri wanajeshi wastaafu, tayari kapewa kesi ya ugaidi.
CCM inayoua watu vipi mkuu na wakati kina Tibaijuka wamemchalenge mwenyekiti ambae jeshi na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vipo mikononi kwake?Sio huogopi, unajua CHADEMA sio CCM inayouwa watu bila kuchukuliwa hatua.
Mkuu ukisoma post ya #27 ndo utaelewa kwamba hao unataka wawepo hapo katika uongozi wa juu kamwe hawawezi kuwekwa.Yule jamaa sijui walimuweka pale kwa lipi, hana presence kabisa. Ile nafasi angepewa Lema ingesaidia kidogo
Wapishe waende wapi mkuu. Hebu soma post ya #27 alaf ndo uwaze kama hilo unalofikiria litawezekana hivi hivi kama unavyotaka.Imetosha, wapishe wengine nao wapush
Post #27 sio biblia wala quran/msahafu lokote kinawezekanaWapishe waende wapi mkuu. Hebu soma post ya #27 alaf ndo uwaze kama hilo unalofikiria litawezekana hivi hivi kama unavyotaka.
Hahaha 🤣🤣 basi mkuu acha tuongee kwa hoja, maana sisi wote ni watanzania na lengo letu ni kuiona Tanzania iliyokuwa bora kwa ajili yetu na vizazi vyetu, japo ukweli ni kwamba wanasiasa wote wa pande zote za tawala na upinzani wanatuona sisi ndio mitaji yao ya kufikia mafanikio yao na familia zao. Iwe kisiasa au kimaisha.JIWE hukusifia?
Wanaume akina Makonda na Mawaziri wote waliokuwa wanamsifia JIWE walikuwa wanawake?
Kumsifia mtu kunachagua gender?
Kama wewe una uume na unasema unasifia uuke, unamaana gani?
Yah ni kweli mkuuPost #27 sio biblia wala quran/msahafu lokote kinawezekana
Hilo ndo swaliHabari zenu wanaJF wenzangu,
Nauliza hili swali hapa, ila nina uhakika hakuna atakaekuwa tayari kujitokeza kunijibu. Hii ni kwa sababu wengi wanatumiwa ili mkono uende kinywani, lkn umafia wa yule anaewatumia wanaujua vizuri sana.
Hapa nazungumzia ule upande wa kondoo kutembea kichwa chini (usihoji chochote kuhusu mwenyekiti) ambapo mtu akijifanya mbuzi kunyanyua kichwa juu (kuhoji kuhusu mwenyekiti) anakumbana na hatari mbele yake.
Makamu mwenyekiti anaeishi Ulaya na familia yake, juzi amejaribu kuwatoa watu uoga wa kuhoji au kukosoa, lkn mpaka sasa watu bado wanaogopa kuanza kukosoa, au kujitokeza kuhoji haswa wakikumbuka yale yaliomtokea Chacha Wangwe, Zito Kabwe na wengine wengi wa aina hiyo.
Sio kwamba wanachama wao hawajui kuwa mwenyekiti wao chama kishamshinda, na juhudi zake za kukijenga chama bila kuwa na makamu wake karibu zimeshindikana. Au sio kwamba wanachama wao hawakumbuki ile kauli ya mwenyekiti wao kuwa ataachia kiti cha uenyekiti mwaka huu wa 2023, baada ya kupigiwa kelele huko nyuma na wenye uchungu na chama ajiuzulu, lahasha.
Wanajua na wanakumbuka sana, lkn nani atakaekuwa tayari kumchalenge Mafia wa chama ili mchalenjiji huyo aweke maisha yake na ya familia yake hatarini?
Wengi wanajiuliza, ikiwa makamu ambae yuko Ulaya anaogopa kumface mwenyekiti, na badala yake anatumia mafumbo ya hapa na pale, je wao ambao wapo karibu na mwenyekiti huyo watatoa wapi ujasiri wa kuhoji na kuuliza siku rasmi ya mwenyekiti kuachia ofisi?
Akili zako zipo nyuma na umezikalia.Lita 1 ya Diesel ni 3510, na vyakula bei juu, alaf mwenyekiti anataka kila mkutano azunguke kwa chopa.
Kwanini hiyo hela ya kuzunguka na chopa asiitumie kuwasaidia nyie chawa wake masikini kwa kuwanunulia japo kilo mbili mbili za unga na moja moja ya sukari ili iwe chachu ya watu kukichagua chama chake katika uchaguzi mkuu?
Nilichoandika kina ukweli kwa mtu yoyote awe Chadema au CCM.
Hivyo wanaweza kukwepa kwepa kwa kuhofia maisha yao, lkn rohoni wanakubaliana na kile nilichokiandika.
Noma sana...Aisee....
Dada acha kupanic. Uliekuja kumtetea mitandaoni kaishaowa kitambo, hivyo wewe hata uje kumtetea vipi hawezi kukufanya mke wa pili. Sana sana atakupakua kisamvu alaf akutelekeze. Hivyo punguza hasira na panic dada yangu. Hebu fikiria watoto wake wapite humu alaf waone mtu wasiemfahamu, wala kufahamiwa na baba yao unavyotoa mishipa na povu kumpigania baba yao ambae ni mume wa mama yao kindoa, unafikiri watakuonaje?Akili zako zipo nyuma na umezikalia.
Nani chawa wa Mbowe?
Mnapeleka bungeni sheria za wake wa viongozi wastaafu walipwe huku watoto wengi wakikaa chini ardhini bila madawati,bima ya afya kwa watoto chini ya miaka 5 imefuta,kikokotoo kinaliza wastaafu wengi halafu kenge kama wewe unatanua domo kuleta ushabiki maandazi.
Tuzi lako linakuwasha wewe,utakamuliwa tu muda sio mrefu.Dada acha kupanic. Uliekuja kumtetea mitandaoni kaishaowa kitambo, hivyo wewe hata uje kumtetea vipi hawezi kukufanya mke wa pili. Sana sana atakupakua kisamvu alaf akutelekeze. Hivyo punguza hasira na panic dada yangu. Hebu fikiria watoto wake wapite humu alaf waone mtu wasiemfahamu, wala kufahamiwa na baba yao unavyotoa mishipa na povu kumpigania baba yao ambae ni mume wa mama yao kindoa, unafikiri watakuonaje?
Kwanini usitumie hili povu kumtetea baba yao huko kwenu nanjili au angalau umtetea hata bwana anaekulipia kodi ya nyumba mjini?