Ni kweli ila hili la figo na maini kwa nchi yetu hatuna uwezo wa kutibu wagonjwa hasa watu wenye kipato kidogo huko kuna misiba mingiHata pombe za bei kubwa zinaweza kuwa na madhara makubwa , naomba nichangie hiki kipengele tuπ
Chakushangaza mahospitalin wengi wenye kesi za Figo hata hawana rekodi ya pombeπ€Ni kweli ila hili la figo na maini kwa nchi yetu hatuna uwezo wa kutibu wagonjwa hasa watu wenye kipato kidogo huko kuna misiba mingi
Hili ni swali au? Mbona mi nakunywa..Hv inawezekana vp mtu hana pesa ya kula ila ana pesa za pombe?
Au mtu anajua kabisa hii ni pombe kali afu anakunywa bila kula?
kukosa elimu ni janga sanaChakushangaza mahospitalin wengi wenye kesi za Figo hata hawana rekodi ya pombeπ€
Sababu kubwa ni diabetes, medication toxicity na BP na mtu wa pombe kali kupata haya magonjwa ni ngumu sana π€, yani mpaka pombe iue Figo ni kwamba umeoga nayo na hauli kabisakukosa elimu ni janga sana
Yani watu walishajiaminisha Figo kufeli au kuwa na mawe inasababishwa na pombe kali kitu ambacho sio.
Ukiacha pombe, pia ugonjwa wa ini huambukizwa kupitia kupeana utamu (ngono)ugonjwa wa ini pamoja na figo.
Kulana madenda kijinga jingaUkiacha pombe, pia ugonjwa wa ini huambukizwa kupitia kupeana utamu (ngono)
Ukiacha pombe, pia ugonjwa wa ini huambukizwa kupitia kupeana utamu (ngono)
Mkuu j2 leo ujashtua vitu vyako bado?!πππHata pombe za bei kubwa zinaweza kuwa na madhara makubwa , naomba nichangie hiki kipengele tuπ
Haha kumbe jp mkuuπMkuu j2 leo ujashtua vitu vyako bado?!πππ