buzitata
JF-Expert Member
- Apr 11, 2017
- 2,370
- 7,900
- Thread starter
- #41
Haya mambo saiv watu watatupa sababu za kibaiolojia kwamba sijui wamepewa chakula gani ila ipo siku bomu litalipuka tuKuna siku nilivunja yai la kuku wa kigeni nikakuta kiini kina rangi ya orange, nilijiuliza ni kwasababu ya vyakula wanavyokula?