Haya mambo saiv watu watatupa sababu za kibaiolojia kwamba sijui wamepewa chakula gani ila ipo siku bomu litalipuka tuKuna siku nilivunja yai la kuku wa kigeni nikakuta kiini kina rangi ya orange, nilijiuliza ni kwasababu ya vyakula wanavyokula?
Ili waniue taratibu sioπFigo zikiwa mbovu utakufa mapema Sasa Nataka ufe taratibu mana bado wauzaji wanakutaka mteja wao
Orange? Huwa ni rangi gani kwani? Mimi nilikuta jekundu nusu nitapike!Kuna siku nilivunja yai la kuku wa kigeni nikakuta kiini kina rangi ya orange, nilijiuliza ni kwasababu ya vyakula wanavyokula?
Wakati Kwa kawaida kiini kinakuwa cheusi πKuna siku nilivunja yai la kuku wa kigeni nikakuta kiini kina rangi ya orange, nilijiuliza ni kwasababu ya vyakula wanavyokula?
C ndio, au unataka ufe haraka? πIli waniue taratibu sioπ
Eh jekundu, au katoto kalikuwa Kwenye Siku zake πOrange? Huwa ni rangi gani kwani? Mimi nilikuta jekundu nusu nitapike!
Unazingua mkuuππWakati Kwa kawaida kiini kinakuwa cheusi π
Unangβangβania duniani kufanyanini na ajira huna? Serikali yenyewe haikupendi ije kuwa raia wakeπ€£C ndio, au unataka ufe haraka? π
Shwain kabisaπ siku zake za kufanyanini?Eh jekundu, au katoto kalikuwa Kwenye Siku zake π
Kiini kinatakiwa kuwa cha njano, sasa hii ilikuwa orange kama ile rangi ya vyakula.Orange? Huwa ni rangi gani kwani? Mimi nilikuta jekundu nusu nitapike!
Za bei kubwa ambazo ni feki nazo zipo. Unakuta kabaa ka hovyo tu kapo Kilindi huko halafu kanauza Jack Daniels na Henessy, Shituka!Hata pombe za bei kubwa zinaweza kuwa na madhara makubwa , naomba nichangie hiki kipengele tuπ
Jack Daniels uchwara sioπPombe
Za bei kubwa ambazo ni feki nazo zipo. Unakuta kabaa ka hovyo tu kapo Kilindi huko halafu kanauza Jack Daniels na Henessy, Shituka!
Orange na njano vinachanganya, yai la kienyeji labda, ya kizungu sijawahi kuona hiyo njano! Nyekundu kama damu yapo yanachefua balaa..Kiini kinatakiwa kuwa cha njano, sasa hii ilikuwa orange kama ile rangi ya vyakula.
Hiyo nyekundu pia inashangaza.
Mie pia nilistaajabu, Yaani orange kabisa iliyokolea.Orange na njano vinachanganya, yai la kienyeji labda, ya kizungu sijawahi kuona hiyo njano! Nyekundu kama damu yapo yanachefua balaa..
Mambo ni mengi sikuhizi utakuta wanatukusanyia hata yai la nyokaMie pia nilistaajabu, Yaani orange kabisa iliyokolea.
Ndo ukweli mkuu πUnazingua mkuuππ
Orange na njano c n rangi moja, au nimelewa?Orange na njano vinachanganya, yai la kienyeji labda, ya kizungu sijawahi kuona hiyo njano! Nyekundu kama damu yapo yanachefua balaa..
ππππ€π€Ndo ukweli mkuu π
Wengi wenu mna Colour blindness , kutofautisha rangi ni ngumu.Orange na njano c n rangi moja, au nimelewa?
Za hatari πShwain kabisaπ siku zake za kufanyanini?