Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Mkuu umeandika au vp 😂
 
Waisiharamu hawafai kuongoza nchi labda waongoze misikiti
 
Si ndo kazi yake kaka ya kupanga appointment za watu ambao wanataka kumuona Rais, nguvu yake Ina mipaka pia maana lazima awasiliane na chief of protocol Ili ajue ratiba au ziara za kikazi za Rais, kwa hiyo akisema hutomuona Rais habahatishi maana anakua anajua ratiba za kikazi za Rais au watu wa Ikulu wamekataa mtu flani asionane na Rais kwa muda huo au itakavyoamuriwa.
 
Umakini upi wakati nchi ipo gizani
 
Basi huyo ndo mwenye nguvu. Huyo hata kiongozi mkubwa kama waziri inabidi awe naye makini sana.
 
Mkuu bagamoyo tafadhali tupeleke maktaba tumjue uto mwamba

Kutoka maktaba :


Mkurugenzi wa Utafutaji Rasilimali na Usimamizi wa Miradi ya Elimu kutoka Mamlaka ya Elimu Tanzania Ndugu Waziri Rajab ....​


Waziri Rajab(kulia) wakikata keki katika mkutano wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Elimu Tanzania Uliofanyikia ukumbi
www.tea.or.tz Mamlaka ya Elimu Tanzania ...
..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…