Kuna tofauti Kati ya Katibu binafsi wa Rais na Katibu wa Rais Ikulu
Huyo ni Katibu binafsi wa Rais, appointment za Rais ndo anapanga yeye, hauhusaini na hotuba wala kumpangia safari Rais... Nachelea kusema kuwa huyo sio Mtumishi wa Umma maana sio lazima awe Mtumishi wa umma , maana anaweza kumtoa popote, Chamani, Vyuoni, inategemea na Rais mwenyewe japo mara nyingi akishakuwa hapo ikulu lazime aajiriwe. QqHuyo ndo huwa anasoma meseji zetu humu na kumwambia Ma Samia yanayoendelea, huyo ndo huwa anamwambia mama Kuna mtu ameomba cherehani mpatie , huyo ndo huwa anamwambia mama tukifika hospital beba mtoto au Mpe pole Mzee flani , wananchi wanapenda kusikia ukisema hivi au vile ..Kwa machache nayoyajua
Wajuzi wapo humu watakuambia