Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Unamharibia jamaa!

Wingu zito limetanda angani!

RIP comrade Mwakasubi!Ulikua loyal sana Kwa mteuzi!!
 
Katibu wa Rais hahusiki na hotuba za Rais, Rais ana msaidizi Maalum kwa ajili ya kuandaa hotuba na huyo hufanya kazi chini ya Ofisi Binafsi ya Rais inayoongozwa na Katibu wa Rais. Makamba alikua mwandishi wa hotuba za Jk lkn hajawahi kuwa Katibu wake. Ofisi Binafsi ya Rais huwa inaratibu kila kitu kuanzia watu wa hotuba, media, watu wa mavazi, protokali, ratiba binafsi za Rais n.k
 
Magoti alimpost kwa sababu ni Boss wake, huyu ni Katibu Binafsi wa Rais na anaongoza Ofisi Binafsi ya Rais (OBR) na huyo Magoti anafanya kazi huko so ni mtu na boss wake
 
Sio powerful kihivyo ila ndiye mratibu wa shughuli zote za Rais including ratiba za Rais za kiofisi na binafsi. So akikaza kweli hutoboi maana yeye ndio msimamiz wa ratiba
 
mkuu sikutafuti, sema hili la kumsemea mtu tena lililo moyoni mwake na ajalitoa si sawa

we ukilishwa maneno ambayo huyafahamu tena maneno ya kumpinga boss utaona ni sawa
Achana na huyo Bejamini Netanyau mvuta bangi .itakuwa tayari kashajifukiza moshi wa bangi kichwani mwake.kwa hiyo kwa sasa hamuwezi mkaelewana maana akishavuta akili yake huwa inapotea. Ndio maana utaona anamwita kila mtu dada maana hupoteza kumbukumbu na ufahamu hata wakujuwa huyu mtu ni wa jinsia ipi na huyu ni wa ipi.
 
Anasema umejifungua upo martenity Leave.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…