Ni nani huyu Waziri Rajab Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia?

Anasema umejifungua upo martenity Leave.
Hanaga akili .akivuta mibangi yake anamuona kila mtu ni jinsia ya kike. Nahisi hata baba yake anamuona ni mwanamke 😀😀😀😀Nimemshauri sana aachane na mibangi anayovuta kama kichaa.
 
Hotuba za kisekta huandaliwa huko katika sekta husika kama draft, inaletwa, inapitiwa na wataalam wa sekta hiyo ikulu, yeye labda ataweka vikorombwezo tu. Hawezi kujua undani wa kila jambo la kila sekta
 
Omba ibakie tumboni isihamie kichwani.

Sent from my TECNO CK7n using JamiiForums mobile app
 
Walimfanyaje mzee jk daah! Imenipita hiyo mkuu
 
Mtoa mada unachanganya madesa, elewa kwamba kuna
1. Mnikulu wa Ikulu
2. Kuna mwandishi wa hotuba za Rais
3. Kuna Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu
4. Kuna katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu
5. Kuna Katibu binafisi wa Rais

Sasa basi,kila mtu ana majukumu yake kwa nafasi yake!
 
Baba yake ni kutoka Kizimkazi,mama yake ni mtu wa Morogoro.
Amesoma Degree yake kutoka Chuo Kikuu Cha Kiislamu Morogoro.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…