Ni nani wa kujibu hoja za Tundu Lissu?

Jibu hoja za Lissu bro.
ingekua ni akili zake huru, malalamiko yake yangekua na maana, lakini hii akili ya kua kibaraka mtumwa wa mabwenyenye ni wa kumpuuza tu ๐Ÿ’
 
nimemsikia msemaji wa ccm akiongea na Wasafi Fm leo asubuhi ama kwa hakika ni kichekesho na vibwagizo tupu
hakujibu hata kimoja badala yake anamtaja salum mwalimu sijui nini upuuzi mtupu
 
Kumpuuza nalo ni jibu tosha, kwani hayo kaanza kuyaongea leo?
je si kweli kwamba bandari zetu zimeuzwa?
sikweli kwamba wamasai wamefukuzwa kwenye ardhi yao?
sikweli kwamba raisi ni mzanzibari?
wewe unayepuuza na aliyezungumza nani ana shida kichwani?
 
nimemsikia msemaji wa ccm akiongea na Wasafi Fm leo asubuhi ama kwa hakika ni kichekesho na vibwagizo tupu
hakujibu hata kimoja badala yake anamtaja salum mwalimu sijui nini upuuzi mtupu
Si Rahisi kuijibu " KWELI".

Ndio maana wasomi na wabobevu wa Sheria na KATIBA wamenyamaza.
 
Si Rahisi kuijibu " KWELI".

Ndio maana wasomi na wabobevu wa Sheria na KATIBA wamenyamaza.
hakika LISU ni balaa, ameongea nchi yote inatetemka. wanakimbilia ubaguzi wakijua kabisa kwamba hilo ni jibu la kitoto kabisa
 
hakika LISU ni balaa, ameongea nchi yote inatetemka. wanakimbilia ubaguzi wakijua kabisa kwamba hilo ni jibu la kitoto kabisa
Sasa Mzanzibari Kugawa Bandari za bara akiacha za Zanzibar,Kuna ubaguzi zaidi ya huo?
 
Walioandaa michakato hawakua na elimu fikiria
 
Zuzu ni alieandaa katiba au anaeona kupingana na katiba ni ujanja
 
Ametoa HOJA kuwa bandari zetu zote za bara wamepewa waarabu,

Lakini Bandari za Zanzibar hazijaguswa,

HOJA kama hiyo Badala ya kulijibu unaamua kuipuuza kweli?
Hata hii ya kwanini Wabunge wa Znz wanachaguliwa na watu wachache ilhali Tanganyika malaki..kwa msingi upi?..upo wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ