Wewe hoja zako ziko wapi?🇹🇿 Huyo Hana hoja yoyote na ni mazuzu tuu wanamwona anaongea point kumbe kupayuka kote ni vapor tuu
🔹 Kwa makusudi anajua accord ya muungano wetu kuwa unique dunia nzima ei Neither federal nor unitary
🔹 Inajulikana kabisa na sababu zilitolewa kuwa hakuna kitu kinachoitwa Tanganyika kwa Sasa kwa sababu ili surrender all it's power kwenye muungano na ila dissolve lakini Zanzibar ili surrender some na ku retain some.
🔹 Ndio maana Zanzibar Wana sub katiba Yao, ndio maana Zanzibar Wana sub citizenship Yao. Lengo ilikuwa ni kutokana na udogo wake is dissolve Moja kwa Moja kwenye muungano
🔹 Hivyo vi hoja kuwa Kwa nini Wana vitbulisho vya ukaazi ni hoja dhaifu Sana kwani ni sawa sawa na ninyi mlivyo kwenye daftari la ukoo
🔹 Kitendo Cha baadhi ya mazuzu kuulazimisha au kuleta hoja kana kwamba hii ni purely unitary ni utaahira.
🔵 Haya ma federation na ma unitary mnayoyadoma duniani yalianzishwa na watu. Kwa nini msiwapongeze wazee wetu Nyerere na karume kwa kutunga muungano ambao ni unique na unauoumiza vichwa vya wasomali.duniani kote kuufanyia utafiti ? Kwa nini tusiwape u proffesa waasisi Hawa na kuwapa credit zao?
🔹 Wazazabari na wazanzibari na wazanzibari ni Watanzania. Watanzania bara ni Watanzania . Utake ni hivyo hivyo usitake ni hivyo hivyo
Changamoto za muungano zimesemwa na watu wa kuaminika ukianzia majaji kina Kisanga, Nyalali na Mzee Warioba.
Tume iliyoundwa na Rais Kikwete ambaye naye alidhani watakuwa wanafiki lakini wakamshangaza kwa kile walicholeta.
Wanafiki ni nyie mnaojidai eti Tanganyika ilizikwa na kwa nini Zanzibar ikabaki!!
Mwaka 1993 ulikuwa mtoto wakati wale G55 wanaidai Tanganyika iliyopelekea kung'olewa kwa Mzee Malecela?
Mbona msiikosoe Zanzibar iliyoweka kwenye katiba yake, kuwa Zanzibar ni nchi kamili na iliungana na nchi ya Tanganyika kuunda jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Na hata hujui katiba ya Zanzibar ilifanyiwa mabadiliko 2010, kumjibu aliyekuwa waziri mkuu Mzee Pinda aliyesema bungeni Zanzibar siyo nchi. Hamkuona hilo la kumkosea adabu waziri mkuu wa jamhuri ya muungano!!
