Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Ndugu kutumiana sio vizuri sana maana inatengeneza chuki ni vema tukajadili ni jinsi gani serikali yetu imeshindwa ku deal na chain ya upigaji kama huo, inaonekana wazi haya mambo yamejichimbia chini sana yanaitaji sayansi na mbinu za medani kukabiliana nayo
 
Hi ungeifungulia uzi wake, tuweze kujadili jinsi mkopo wa ntu binafsi unapo athiri serikali na huyu mtu atahamisha je hiyo pesa bila serikali kujua?
 
Sema mama analalamika sana na hakuna watu wakumsaidia, huwezi ukasikia kuna chombo chochote cha serikali hasa polisi au takukuru kuwa wanafanyiakazi report ya jana.Hii nchi hatutafika kamwe..yaani kuanzia JUU mpaka CHINI wote wanalalamika

Waziri mkuu naona kama Hamsaidii Mama, Yeye ndio mtendaji mkuu wa Serikali na vijana wake ndio wanaolitaifisha Taifa kwa kuiba, sijui hili nalo limekaaje
 
Hi ungeifungulia uzi wake, tuweze kujadili jinsi mkopo wa ntu binafsi unapo athiri serikali na huyu mtu atahamisha je hiyo pesa bila serikali kujua?
Nimelitoa kwenye post nyingine tena nimesahau kumpa credit mwandishi ngoja niitafute
 
Waziri mkuu naona kama Hamsaidii Mama, Yeye ndio mtendaji mkuu wa Serikali na vijana wake ndio wanaolitaifisha Taifa kwa kuiba, sijui hili nalo limekaaje
Majaliwa ni "toothless dog" hana nguvu yoyote labda kukemea waalimu na watendaji wa almashauri tu. Ni misfit kwenye serikali hi.
 
Inatia uchungu na hasira kwa hawa walafi. Lakini pia inatia simanzi na huruma kwa walipa kodi na tozo mbalimbali.
 
😂😂😂 watu wanamfix bimkubwa na mabango marefu kama km 2 ya kumsifu..alaf nyuma ya kamati watu wanagawana mpunga wa kutosha tafrija ikiisha hata mabango wanayaacha hapo hapo ..kwenye kila tafrija mama akialikwa ujue kuna wajuba jambo lao limefanikiwa iwe kuzindua ndege au kilele cha kilimo etc etc
 
Kwenye kila tafrija mama akialikwa ujue kuna wajuba jambo lao limefanikiwa iwe kuzindua ndege au kilele cha kilimo etc etc[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
Kuna jambo nilishuhudia Musoma kipindi cha Uchaguzi wa Viongozi wa CCM, hapo ndipo nilipoamini hiii nchi hatuna wa kumfunga Hata panya Kengele achilia mbali Paka, Takukuru sijui hata kazi yao ni ipi, Yaani Wagombea uongozi ngazi ya wilaya na Mkoa kazi ilikuwa ni kushindana kuteka wajumbe tu kwa Kugawa hela na wala sio hoja. Sasa kwa haya yanayotokea ns mama kuya expose kwenye uso wa jamii ni sawa tu na CHEMBE NDOGO KAMA ILE MBEGU YA MHARADALI kama vile biblia isemavyo. Inchi hii imeoza jamani , Idara nyeti kazi zake ni zipi, hizi idara zinasaidia nini kwenye taifa.
 

Tabu sana. Wezi wa hela nyingi wanabaki salama. Wanaombwa wazirudishe.
Hawa wa simu na kuku haki yao wanapata hapo hapo, hata kama wamesingiziwa.
 
Tukiwaambia hii nchi inataka mkono wa chuma kuiendesha mnaanza kulalama, mkono wa huruma na kubembelezana kwa walafi wa mali za umma kwa namna hii then tunasema "Mungu anawaona"?

Watu tunakatwa kodi kubwa, maisha yanazidi kuwa magumu lakini kuna walafi wachache wanaangaliwa tu eti tunataka "utawala wa sheria", mijitu mijizi na milafi unacheka na kuibembeleza kweli in the expense of millions of Tanzanians who toil blood to make ends meet?

Haya, tusubiri wao ndio wajiuzulu, inakasirisha sana aisee. From 37b to 88b, that's not even 100%, huu ufisadi unahitaji mtu brave sana kupambana nao.
 
 
Kuna mchumi mbobezi hapo mchunga mbuzi atakuja na statement za ajabu ajabu huku anachekacheka
Mkizubaa anawatwanga tena za uso mpk mkome.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…