Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Ni nani waliongeza cha juu kwenye manunuzi ya ndege ya mizigo?

Mkuu sio kwamba Raisi magufuli alikua mbaya, ila ndo aliongoza kwa kufanya ubadilifu hata bila kuficha unakumbuka 1.5tn shilling alio potea akatanjwa na CAG hata alishindwa kujitetea, pesa alio tumia Chato ilikua nje ya bajeti ya serikali Magufuli alikua mwizi asio penda kuiba na wenzie.
Ndugu kutumiana sio vizuri sana maana inatengeneza chuki ni vema tukajadili ni jinsi gani serikali yetu imeshindwa ku deal na chain ya upigaji kama huo, inaonekana wazi haya mambo yamejichimbia chini sana yanaitaji sayansi na mbinu za medani kukabiliana nayo
 
Kuna hili jingine huku..Uuuwiii kweli kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo wakati akipokea Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Ikulu Jijini Dar es salaam amehoji kuhusu mikopo chechefu na kusema kuna baadhi ya Maafisa wa Benki wanashirikiana na Wateja kupitisha mikopo kinyume na inavyotakiwa kisheria.



View attachment 2570068
Hi ungeifungulia uzi wake, tuweze kujadili jinsi mkopo wa ntu binafsi unapo athiri serikali na huyu mtu atahamisha je hiyo pesa bila serikali kujua?
 
Sema mama analalamika sana na hakuna watu wakumsaidia, huwezi ukasikia kuna chombo chochote cha serikali hasa polisi au takukuru kuwa wanafanyiakazi report ya jana.Hii nchi hatutafika kamwe..yaani kuanzia JUU mpaka CHINI wote wanalalamika

Waziri mkuu naona kama Hamsaidii Mama, Yeye ndio mtendaji mkuu wa Serikali na vijana wake ndio wanaolitaifisha Taifa kwa kuiba, sijui hili nalo limekaaje
 
Hi ungeifungulia uzi wake, tuweze kujadili jinsi mkopo wa ntu binafsi unapo athiri serikali na huyu mtu atahamisha je hiyo pesa bila serikali kujua?
Nimelitoa kwenye post nyingine tena nimesahau kumpa credit mwandishi ngoja niitafute
 
Waziri mkuu naona kama Hamsaidii Mama, Yeye ndio mtendaji mkuu wa Serikali na vijana wake ndio wanaolitaifisha Taifa kwa kuiba, sijui hili nalo limekaaje
Majaliwa ni "toothless dog" hana nguvu yoyote labda kukemea waalimu na watendaji wa almashauri tu. Ni misfit kwenye serikali hi.
 
Tanzania tatizo siyo viongozi,tatizo ni sisi wananchi tumelala sana katika maswala mazima ya kuhoji ,wanatuchezea sana hawa jamaa,magufuli alikuwa hapendwi na viongozi wenzake kwa kuwa aliwabana,EE MUNGU NAPIGA GOTI TULETEEE MAGUFULI MWINGINE,PAMOJA NA MAPUNGUFU YAKE AMBAYO NDO YALIKUWA YANAKAMILISHA UBINAADAMU WAKE,LAKINI YULE MTU ALIKUWA ANAJUA, tanzania rais akiwa mpole sana wanamuonea sana hawa watu wa serikalini ,na hela wanazoiba ni za wananchi so mean hawana upendo na sisi,,asante sana rais samia kwa kutamka haya hadharani, natamani ningekuwa na elimu ya kutosha then niwe sehemu fulani,hakika mngenyooka,mi sijali kuuliwa kwani hakuna atakayebaki hapa,na yoote haya ni matakataka ya dunia
Inatia uchungu na hasira kwa hawa walafi. Lakini pia inatia simanzi na huruma kwa walipa kodi na tozo mbalimbali.
 
😂😂😂 watu wanamfix bimkubwa na mabango marefu kama km 2 ya kumsifu..alaf nyuma ya kamati watu wanagawana mpunga wa kutosha tafrija ikiisha hata mabango wanayaacha hapo hapo ..kwenye kila tafrija mama akialikwa ujue kuna wajuba jambo lao limefanikiwa iwe kuzindua ndege au kilele cha kilimo etc etc
 
[emoji23][emoji23][emoji23] watu wanamfix bimkubwa na mabango marefu kama km 2 ya kumsifu..alaf nyuma ya kamati watu wanagawana mpunga wa kutosha tafrija ikiisha hata mabango wanayaacha hapo hapo ..kwenye kila tafrija mama akialikwa ujue kuna wajuba jambo lao limefanikiwa iwe kuzindua ndege au kilele cha kilimo etc etc
Kwenye kila tafrija mama akialikwa ujue kuna wajuba jambo lao limefanikiwa iwe kuzindua ndege au kilele cha kilimo etc etc[emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji2827]
 
JamiiForums905506595.jpg
JamiiForums-105610686.jpg
JamiiForums-870791797.jpg
 
Kuna jambo nilishuhudia Musoma kipindi cha Uchaguzi wa Viongozi wa CCM, hapo ndipo nilipoamini hiii nchi hatuna wa kumfunga Hata panya Kengele achilia mbali Paka, Takukuru sijui hata kazi yao ni ipi, Yaani Wagombea uongozi ngazi ya wilaya na Mkoa kazi ilikuwa ni kushindana kuteka wajumbe tu kwa Kugawa hela na wala sio hoja. Sasa kwa haya yanayotokea ns mama kuya expose kwenye uso wa jamii ni sawa tu na CHEMBE NDOGO KAMA ILE MBEGU YA MHARADALI kama vile biblia isemavyo. Inchi hii imeoza jamani , Idara nyeti kazi zake ni zipi, hizi idara zinasaidia nini kwenye taifa.
 
Mama kalalamika kwamba invoice ya mwisho ilikuwa tulipe $37,000,000 lakini ikaja invoice ya $86,000,000 ongezeko la zaidi ya asilimia 100 nje ya mkataba wa awali na mama alipohoji akaambiwa spare zimepanda bei.. Je ni nani wanaruhusu malipo ya serikali yatoke? Hawa wafuatao sahihi zao ndio zinahusika
1. Mwanasheria mkuu wa serikali
2. Waziri wa fedha
3. Mlipaji mkuu wa serikali
4.Gavana wao BOT
5. Waziri wa ulinzi(?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
6. CDF(?) Kwa vifaa vya usalama na jeshi
7. Mkaguzi mkuu wa serikali?
8....
9....
Hiyo ndio timu na sidhani kama kuna wengine nje ya hao.. Je mama aliposema kwamba kama huko nyuma walikula hazikuwatosha.. Alimaanisha hawa ama?

Kwa nchi zinazojali utawala wa kisheria katika uhalisia wake nusu ya hao hapo juu kufikia muda huu hawakupaswa kuwepo ofisini

Tabu sana. Wezi wa hela nyingi wanabaki salama. Wanaombwa wazirudishe.
Hawa wa simu na kuku haki yao wanapata hapo hapo, hata kama wamesingiziwa.
 
Tukiwaambia hii nchi inataka mkono wa chuma kuiendesha mnaanza kulalama, mkono wa huruma na kubembelezana kwa walafi wa mali za umma kwa namna hii then tunasema "Mungu anawaona"?

Watu tunakatwa kodi kubwa, maisha yanazidi kuwa magumu lakini kuna walafi wachache wanaangaliwa tu eti tunataka "utawala wa sheria", mijitu mijizi na milafi unacheka na kuibembeleza kweli in the expense of millions of Tanzanians who toil blood to make ends meet?

Haya, tusubiri wao ndio wajiuzulu, inakasirisha sana aisee. From 37b to 88b, that's not even 100%, huu ufisadi unahitaji mtu brave sana kupambana nao.
 
CAG hapo tumtoe. Yeye anapitisha Ile appropriation act peke yake. Labda kukitokea Kuna supplementary budget ndo atahitajika aisaini tena. Naamini Hela zote zinaingia consolidated fund account. Zikishaidhinkshwa na CAG mruhusu zitoke ni Permanent Secretary to the Treasure and Paymaster General of the government! Tuanzie kwake maana no release from the fund without his or her signature!
 
Kuna mchumi mbobezi hapo mchunga mbuzi atakuja na statement za ajabu ajabu huku anachekacheka
Mkizubaa anawatwanga tena za uso mpk mkome.
 
Back
Top Bottom