Kumbe na wewe mbumbumbu tu. Huwezi anzisha biashara ukapata faida mara moja. Unafahamu kitu inaitwa Business Plan au unanipotezea mudaTatizo mahaba yanakupofusha, angalia ripoti ya CAG Toka 2014 ATCL inapata hasara ya mabilioni ya pesa ila hapo katikati tuliambiwa ATCL imepata faida wakatoa na gawio? Halafu Kwa Nini ripoti ikionyesha ubadhilifu wa kuanzia 2016-2020 mnachukia na kusema sio kweli ila ukionyeshwa wa sasa mnafurahi sana