Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
NI NATURE MWANAUME ANAPENDA NA ANAFURAHI KUFANANA NA MTOTO WAKE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hili Wala siô Siri ingawaje wàpo wachache watapinga lakini ukweli utabaki ukweli Siku zote Wanaume hufurahi Sana na Kupenda pale àmbapo Mtoto aliyemzaa anapofanana na kuelekeana naye Kwa kiasi kikubwa.
Wanaume wengi hujihisi fahari na kujivunia wanapomwona Mtoto anayefanana naye.
Wanaume wengi huongeza Imani na Mapenzi Kwa wake zào pale wanapoletewa Watoto waliofanana nao.
Wanaume wengi hujihisi dhaifu, hujisikia Duni na kuwa na Mashaka pale àmbapo Mtoto atazaliwa na asifanane naye hata kidôgo.
Kûna sababu za msingi katika silika na hulka hiyo Kwa Wanaume. Sababu hizô NI kama Ifuatavyo;
1. Mwanaume ni Mfano wa Mungu kiasili(Nature).
Vitabu vya Dini vinaeleza kuwa Mungu alipoumba Mtu alisema "Natuumbe MTU Kwa mfano wetu"
Hivyo Mungu au nature yenyewe ilimuumba Mtu Kwa mfanano.
Yaani Mungu alifurahi kumuumba Mtu anayefanana naye(anayeelekeana naye).
Ndîo maana kiasili Wanaume wamerithi hulka na silika hiyo ya kutaka kuwa na Watoto wanaofanana nao.
2. Wanawake kutokuwa Waaminifu, rahisi kudanganywa;
Ingawaje Wanaume ndîo huonekana kuwa na tamaa ya ngono lakini ngono hizô wanafanya na Wanawake.
Wanaume wengi kiasili hawawaamini Wanawake. Hiyo NI tangu enzi na enzi siô ajabu Zamani walitaka Mwanamke aolewe akiwa Bikra lakini pàmoja na hivyo bado Imani ya Wanaume Kwa Wanawake ni ndogo.
Sababu ya Imani kuwa ndogo NI tàbia ya Wanawake kuwa rahisi kushawishiwa na kushawishika, ukigeugeu wa Wanawake, tamaa ya vitu.
Kwamba Mwanamke anaweza kupewa Pesa au Pipi au chipsi tuu akaingia mkenge.
Kwa Wanaume waliokamilika haiwezeniki kumwamini Mwanamke hasa wale Wanaume àmbao ni polygamist yàani weñye Wanawake wengi.
Mtoto anapokuwa hafanani na Baba hii humpa shida Sana Mwanaume na kuona huenda amepigwa hata kama hajapigwa. Hii NI tofauti na Mtoto anapofanana naye
3. Kuiendeleza Ufalme na utambulisho.
Kîla Mwanaume ni Mfalme katika ûtawala wake.
Kîla mwanaume anautambulisho wake àmbao ameuchukua katika koo aliyotoka.
Mtoto anapofanana na Baba moja Kwa Moja anakuza Brand utambulisho wa Mwanaume. Huna haja ya kuuliza Mtoto huyu ni wa Nani Wakati anaonekana.
Ndîo maana mchina hawezi kuzaa Muafrika kikawaida au mzungu kuzaa mchina kikawaida.
Fikiria umezaa Mtoto lakini kafanana na Jirani yako utajisikiaje? Hata Watu wasiposema utajisikiaje?
Mtoto wako kivipi? How?
AINA ZA UFANANO
1. UFanano wa kimaumbile
Hapa Mtu mnafanana Sura ndîo Jambo kûbwa zaidi, kichwa, Mikono, miguu, Meno, Maskio n.k.
Huu NI utambuzi wa nje àmbao wengi ndio huupenda zaidi
2. UFanano wa Vinasaba
Mkipimwa vinasaba mnakuwa mnafanana.
Huu UFanano hauna maana Sana kama Mtoto kimaumbile hajafanana hata kidôgo na Mhusika kwani kutokana na ukosefu WA uadilifu matokeo yanaweza Kupikwa.
Mfano wewe Mpare wa Makanya uzae Mtoto mchina alafu DNA iseme ni wakwako. Hapo automatically utaona NI uongo.
3. UFanano wa tàbia na Àkili
Huu pia ni UFanano àmbao unakubaliwa na Wanaume wengi n wengi hujivunia na kuwa uthibitisho kuwa Mtoto huyu NI damu yake halisi.
Kiroho, mîungu hasa Mungu wa vitabu vya Dini hujivunia na kufurahia anapoona Watu wake(Watoto wake aliowaumba) wanapofanana naye kitabia na Kiakili kwamba wanakuwa Wema na weñye kupenda kutenda Wema. Mungu pia hufurahia.
Mungu Huona Watoto siô wake Ikiwa hafanani nao tàbia na mienendo.
Acha nipumzike sasa.
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam