Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Labda vibadilikie ukubwani,Hata wewe pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda vibadilikie ukubwani,Hata wewe pia.
Nitakuja kweli ujue😂😂😂😂😂Njoo ujaribu km hujanitelekeza na mwanao!!
Labda vibadilikie ukubwani,
Kuna kuzaa na mtu akakupoteza vibaya mno, na ni kwanini mtoto aweza fanana baba yake utotoni akifika 5+ akahama kabisaaaNitakuja kweli ujue😂😂😂😂😂
Kuna kuzaa na mtu akakupoteza vibaya mno, na ni kwanini mtoto aweza fanana baba yake utotoni akifika 5+ akahama kabisaaa
Aah mtibeli upo kwenye mashindano nini utakuwa una mbegu nzuri kuna watu mna mbegu kiasi kuwatizama watoto wenu ni furaha ya macho!Mimi labda unizidi rangi Kwa sababu Maji ya kunde, hivyo Mwanamke kama ni Mweusi nikizaa naye Watoto wanakuwa weusi.
Akiwa Maji ya kunde wanakuwa weupe au Maji ya kunde
Akiwa mweupe wanakuwa weupe.
Mpaka Sasa ninaowatano.😊
Mfano kijana wangu ukimwona hauwezi zania ni mwanangu kabisa ,ila mabinti wangu wanafanana na mimi kama madaftari na mama zao ni weusi tiiiKuna kuzaa na mtu akakupoteza vibaya mno, na ni kwanini mtoto aweza fanana baba yake utotoni akifika 5+ akahama kabisaaa
Aah mtibeli upo kwenye mashindano nini utakuwa una mbegu nzuri kuna watu mna mbegu kiasi kuwatizama watoto wenu ni furaha ya macho!
Nikajua umeambatanisha ni picha ya Prince alivyofanana na mama yake Binti Kimoso 😀😀😀
Mama zao!!!! Kwahiyo nyie mnasambaza upendo tu?Mfano kijana wangu ukimwona hauwezi zania ni mwanangu kabisa ,ila mabinti wangu wanafanana na mimi kama madaftari na mama zao ni weusi tiii
Huwezi kufanana nao kila kitu hiyo kukata mitama huenda wakafata kwa mama zao,Sijui imekuwaje sikuwahi kufikiri kwèñye Maisha yàngu Kabla ya Miaka 30 ningekuwa na Watoto watano😊😃
Mbegu za Watibeli zimenyooka Hatuna Hofu juu ya Hilo.
Hofu Ipo kwèñye je tàbia na Àkili za Watoto wakikua zitakuwaje?
Napenda Watoto wàngu wawe na Àkili na tàbia kama zangu Kwa asilimia 80% Yale madhaifu hasa Upole na kutokupenda fujo wasirithi.
Ninatamani ningekuwa napenda Kúpiga Watu Mitama😃😃.
Yani na hautuambii kitu kuhusu mama zetu achana na haya makasiriko ya humo jf kwa wanawake, ukija live ukiwagusa mama na dada zetu unakula za uso😆Mama zao!!!! Kwahiyo nyie mnasambaza upendo tu?
Basi watoto wa kike tuna kiherehere cha kufanana na baba zetu maana hata mie kwa mshua nipo sana halafu wa kiume wanafanana na mama zao.
Mnatupenda sana mama zenu, hasa mkianza pigwa matukio na mabebezYani na hautuambii kitu kuhusu mama zetu achana na haya makasiriko ya humo jf kwa wanawake, ukija live ukiwagusa mama na dada zetu unakula za uso😆
Huwezi kufanana nao kila kitu hiyo kukata mitama huenda wakafata kwa mama zao,
Hongera kwa kuongeza idadi ya watu, maana wanaume wa siku hizi waoga wa majukumu hawataki kabisa watoto akijitahidi sana ni 3
Tunaishi kwa kusikiliziana na kuviziana, kiukweli mjini mimba ni chache imefikia hatua ukiwa mjamzito ni salamu za pongezi huko barabarani nyingi kutoka kwa wanaume, wengine wanashangaa kabisa tofauti na huko vijijiniWanawaogopa ninyi Wanawake.
Kwamba mpaka watafute pesa wazipate ñdipo waoe na kuzaa.
Lakini pia Wanawake nao hasa WA Mjini mpaka akuzalie NI kipengele.
Tunaishi kwa kusikiliziana na kuviziana, kiukweli mjini mimba ni chache imefikia hatua ukiwa mjamzito ni salamu za pongezi huko barabarani nyingi kutoka kwa wanaume, wengine wanashangaa kabisa tofauti na huko vijijini
Kiwango cha uzazi kimeshuka sana mijini hata huko uswazi ishaanza kuwa kipengeleMimba NI chache Kwa Aina ya Wanawake wafuatao
1. Modern women
2. Waliosoma kuanzia ngazi ya diploma
3. Weñye vipato vikubwa.
Ila uswahilini Huko kîla Nyumba kama haina Binti mjamzito Basi inamzazi
Andiko ujumbe unaomzidi huyu kwa kuwa uko vizuri zaidi yakeLeo umeboronga mkuu