Ni Nature Mwanaume anapenda na anafurahi kufanana na Mtoto wake

Ni Nature Mwanaume anapenda na anafurahi kufanana na Mtoto wake

Muwe mnaangalia na wa kuzaa nao kuna wanawake tuna damu kali sana ukipiga tu mtoto anafanana nami asilimia zaidi ya 80, kiasi kwamba ukisimama na wanao wewe ndo unakuwa kama mvamizi, labda uambulie miguu na kucha😅😅

Mbantu halisi ukizaa na mwarabu, msomali, habesh tutsi, masai nk hizo damu kukuzidi nguvu ni jambo la kawaida sana

Ndîo nisifanane naye hata kitu Kimoja.
Hapana Kabisa
 
Hizo jamii nilizokutajia hapo usijaribu kutupia kamba utatoka patupu! Labda km na wewe una vinasaba vya jamii hiyo

Mimi damu yàngu Kali,
Bichwa,
Macho
Vidoti,
Watoto wàngu wôte tupo Hapo. Kwèñye rangi ndîo mama zào
Hizo jamii nilizokutajia hapo usijaribu kutupia kamba utatoka patupu! Labda km na wewe una vinasaba vya jamii hiyo
 
Back
Top Bottom