Kapeace wewe ni mdogo wangu au tunalingana ebu acha hzoπππππππMnatupenda sana mama zenu, hasa mkianza pigwa matukio na mabebez
Shukrani sana daima uko vizuri sana, mimi ni muumini namba Moja wa kufanana mtoto asiyefanana na mimi huyo sio wangu no discussion
Daah.Hii ni kweli kabisa , binafsi napenda nifanane na wanangu hasa mabinti zanguπ
Tena wengine wanakwambia mtoto ni mtoto tu hata kama kafanana na mchina, kumbe huku nyuma wanakungonga kua umepigwa!![emoji2][emoji2]
KΓ»na wanafiki Hapa watasema siΓ΄ lazima lakini kisayansi na kiroho NI Lazima.
MTU anakuambia siΓ΄ lazima alafu hapahapo Mkewe akizaa mtoto wa muarabu ananuna. Γdipo unapogundua kΓ»na Watu Wana Akili mgando
Niache zipi tena min? Ni faraja kupendwa na vijana wetu ujue, tatizo wakamwwna wanabana sanaKapeace wewe ni mdogo wangu au tunalingana ebu acha hzoπππππππ
Tena wengine wanakwambia mtoto ni mtoto tu hata kama kafanana na mchina, kumbe huku nyuma wanakungonga kua umepigwa!!
Mtoto huwa anabadilika badilika hadi miaka 7Kuna kuzaa na mtu akakupoteza vibaya mno, na ni kwanini mtoto aweza fanana baba yake utotoni akifika 5+ akahama kabisaaa
Kweli nakubali nini huwa kinapelekea mabadiliko hayo?Mtoto huwa anabadilika badilika hadi miaka 7
Si anakua bado yuko kwenye uumbaji wa msingi, yaani kama ni ujenzi wa nyumba tunasema tuko kwanza kwenye foundation, hapo vinasaba vya baba na mama ndiyo vinakua vinavutana ku take place kwenye mwili wa mtoto!!Kweli nakubali nini huwa kinapelekea mabadiliko hayo?
Na mshindi ataonekanaπ π πSi anakua bado yuko kwenye uumbaji wa msingi, yaani kama ni ujenzi wa nyumba tunasema tuko kwanza kwenye foundation, hapo vinasaba vya baba na mama ndiyo vinakua vinavutana ku take place kwenye mwili wa mtoto!!
Hapo lazima mmoja ashinde au mtoke ngoma drow!![emoji23][emoji23][emoji23]Na mshindi ataonekana[emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa hapo alichokosea ni nini,mtoto ni lazima afanane na Baba au Mama yake tu na mtoa mada huyo sahihi kabisa.Una ujuaji mwingi na wanasema kuchamba kwingi...na ujuaji wako ni sawa na kuchamba kwingi. Vitu vingine kaa kimya maana kwa kukaa kimya itasaidia watu kujua ujinga ulionao. Mada yako ya leo unaonesha kuwalalamikia wanawake kushindwa kuzaa watoto wanaofanana na baba zao, kama kwenye familia yenu kuna ambao hawafanani na baba yenu jitahidi ukamuombe msamaha mama yako maana umemtukana tusi kubwa sana.
Hizi ni sayansi ulizoanzisha wewe,kibailojia hicho kitu hakuna,mtoto atachukua kwa Mama na Baba.Muwe mnaangalia na wa kuzaa nao kuna wanawake tuna damu kali sana ukipiga tu mtoto anafanana nami asilimia zaidi ya 80, kiasi kwamba ukisimama na wanao wewe ndo unakuwa kama mvamizi, labda uambulie miguu na kuchaπ π
Mbantu halisi ukizaa na mwarabu, msomali, habesh tutsi, masai nk hizo damu kukuzidi nguvu ni jambo la kawaida sana
Huyo jiweSasa hapo alichokosea ni nini,mtoto ni lazima afanane na Baba au Mama yake tu na mtoa mada huyo sahihi kabisa.
OkHizi ni sayansi ulizoanzisha wewe,kibailojia hicho kitu hakuna,mtoto atachukua kwa Mama na Baba.