Lushoto Tanga,Nature tu inakufanya unaisaliti nchi yako mkuu?mbona sababu zenu naona nyepesi sana?π ..kwan hapa Tz hakuna mikoa yeny nature?Lushoto?Arusha je?Iringa je?..Mbeya na Bukoba?
π π π !
We ndiye unafaidi na umefaidi sana dunia sasa, Karibu huku kwetu MwabepandeKaribuni Cologne German, Australia nimefika mwaka Jana jijini Melbourne
Nchi nyingine Ni France, Spain, Austria, Belgium, Netherlands,Sweden
Kivipi BosiAlaska aiseee pa ukwel sanaaa... sema barid tu lakn pazur sana
Mimi natarajia kwenda kuishi sehemu au nchi yoyote ambapo kwanza ni kisiwa, na iwe na baridi kali.
Hakufai kule.Nimeishi miaka 13 nimerudi na nguo albamu ya picha nilizopiga na mademu wao Mto Yamuna,Taji Mahal,Agraa,Mumbai na Mtaa wa Arakashan karibu na station kuu ya reli New Delhi.
Bora mara 70 ukae Tz utaurahia maisha zaidi ya huko.
Uganda. Japo rais wa kule ni dicteta ila kuna maisha nafuu kuliko tz. Je kama rais asingekuwa dikteta si wangeishi kama usa. Twende tukawasaidie kumung'oa m7
Rwanda au Burundi au hata Uganda.
Somalia,Syria,Afghanistan, Yemen yani napenda sana hizi Nchi cz napenda sana kupigana pigana na mabunduki na mafataki
Mzee nchi ya milima na baridi kali,NepalIle nchi mji mkuu wake unaitwa Kathmanduu!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda sana Tanzania sijui kama naweza kuwaza kwenda kuishi nje ya Taifa langu. Zaidi napenda sana mkoa wangu wilaya yangu, tarafa yangu kata yangu na kijiji changu hatimaye kitongoji changu. Huko ulaya naangalia kwenye TV sijawahi kupawazia hata siku moja labda ikitokea miaka ya mbeleni nikapawaza.Tanganyika the best
Mane, Wanyarwanda ukitaka uishi nao vizuri usiiingilie siasa zao wala mambo ya ukabila wao wewe jiweke wazi kuwa ni MtanzaniaMimi huwa naipenda Rwanda..ila wako huku ni wabaguzi na wana roho mbaya sn hawana utu...since then nimewakinai!
Mane, Wanyarwanda ukitaka uishi nao vizuri usiiingilie siasa zao wala mambo ya ukabila wao wewe jiweke wazi kuwa ni Mtanzania
Labda kiburi cha fedha ila wewe nenda Rwanda ukawaone ni watu wa kawaida tu..fedha nyingi hubadilisha tabia za watu katika mataifa karibia yote.Wana roho mbaya sana .naishi nao huku na wana hela balaa sijui ndo zinawapa kiburi??kwanza wanajitenga ukiingia hotelini ukikaa karibu yao wanahama..nimekutana nao kwenye usafiri huko ndo kbsaaa!π