Naamini Unayatekeleza ipasavyoWiki mbili kabla ya kifo chake,
"Familia yetu ni kila kitu, ilinde na jenga himaya yako kwa kuikumbuka na kuilinda familia.
somehow, sometimes I just wanna leave and be alone.Naamini Unayatekeleza ipasavyo
"""Find your another father,not me""""".
Hayo alikuambia mzee wako,leta aliyokuambia baba yako sasa.Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"
Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"
Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?
Karibuni kwa michango 🤝
Baba yangu ananizidi miaka 44 unataka nimuite nani kama sio mzeeHayo alikuambia mzee wako,leta aliyokuambia baba yako sasa.
Kwamba kuwa mwenye elimu katikati ya wajinga ni kosaVitu vinne epuka sana ukitaka kuishi maisha marefu yasiyokuwa na maumivu mengi.....
Migogoro ya ardhi, mke wa mtu, kugombania mali za urithi na mwisho kabisa kuwa mwenye elim katikati ya kundi la wajinga🚶🚶
Mzee aliyetoa hizo hoja hata darasan hakwenda,,,,, n Ile street smart na experience ya kutosha kwenye maisha!!
R.i.p tata
Keep pushingsomehow, sometimes I just wanna leave and be alone.
Being alone with few power is good, kuliko huge. Power inayo kucost