Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"

Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"

Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?

Karibuni kwa michango 🤝
Baba yetu alioa make akamzalisha watoto Sita. Wiki moja kabla kifo chake nikiwa Arusha alinipigia cm akaniambia hawa wadogo zako watakusumbua Sana. Na kweli nayakuta
 
Ukiamua kununua kitu nunua cha kudumu, sio unanunua temporally na kesho tena unanunua kitu sample ileile,
 
Eeeh ngoja nimuulize ili walau niwe na kumbukumbu,,mzee wangu mkimya mnooo
 
Back
Top Bottom