Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

Ni neno gani baba yako alitamka ambalo unaliishi mpaka Leo!

Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"

Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"

Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?

Karibuni kwa michango 🤝
Nanukuu.
""'HIVI VITU VYOTE MNAVYO VIONA NI VYA KWANGU NA NYINYI NAWAWEZESHA MTAFUTE VYENU"""

Tangu wakati huo watoto wote wa mzee hatuku angalii mali za nyumbani kila mtu ana / ame pambana kutafuta vyake.

Kila mwaka Christmas kwetu ilikua ni ya kipekee kabisa kabisa wengi hawawezi kusheherekea kama nyumbani kwetu. Ntafafanua badaee

Nipo busy na kazi hapa ntaandika baadae nikipunguza Majukumu
 
"Siku ukija kuwa Baba ndo utanielewa Mwanangu"

Hii kauli Inaishi ndani yangu mpaka sasa na kwa kweli namwelewa tena zaidi.

Endelea kupumzika kwa Amani Baba.
 
Yes karibu
Nanukuu.
""'HIVI VITU VYOTE MNAVYO VIONA NI VYA KWANGU NA NYINYI NAWAWEZESHA MTAFUTE VYENU"""

Tangu wakati huo watoto wote wa mzee hatuku angalii mali za nyumbani kila mtu ana / ame pambana kutafuta vyake.

Kila mwaka Christmas kwetu ilikua ni ya kipekee kabisa kabisa wengi hawawezi kusheherekea kama nyumbani kwetu. Ntafafanua badaee

Nipo busy na kazi hapa ntaandika baadae nikipunguza Majukumu
 
Usiwe na mazoea ya kwenda kazini kumtembelea mkeo, nakujuwa mwanangu ulivyo na hasira, kwani unaweza kwenda huko ukakuta kapakatwa na mtu mwingine akakuambia walikuwa wanataniana tu.
Mzee mmoja askari jwtz mstaafu alinambia.

Nanukuu "" MASIKIO YA MWANAMKE YAPO KWENYE KISIMI CHAKE""

Sijui mpaka Leo Ali maanisha Nini 😊
 
Alikuwa na utaratibu wa kutununulia nguo kila siku za sikukuu. sasa mwaka fulani pasaka dili na mambo yake yalikuwa yamekwama. mimi kwa akili zangu za kitoto ile miaka ya 90, nikaanza vurugu, za kurusha mawe juu ya bati na kupasua baadhi ya vyombo vya kupikia.

mzee wangu licha ya ukaksi wake siku hiyo aliponikamata hakunitembezea bakora, bali akaniambia maneno haya,;"Nashukuru umezaliwa mtoto wa kiume, na wewe yataka kukuta huko mbele".... hii kauli imenipa uchizi wa kuepuka uchawa hadi sasa. imenichochea kutafuta zaidi.
 
Wewe ndio baba wa hii familia...! 😀 😀 first born lazima uambiwe hivyo
 
Hoja ipo ndugu.
Ukisema baba au mama hakuna maswali mengine,lkn ukisema mzee wako hapo wengine hasa sisi wa zamani kidogo tunajua kama nilivyosema. Pia hata bibi mkubwa hiyo haimaanishi mama bali ni mke mkubwa.
Sasa wewe kaza kichwa Sasa na Uzamani wako "nyankundo" kabisa
 
Ikiwa Leo ni siku ya baba duniani?
Nakumbuka mzee wangu aliwahi kusema "hakuna mkamilifu asilimia kwa Mia kwa mia na hakuna mbovu asilimia mia kwa Mia kila mtu ukimtumia vizuri kuna fursa atakupa"

Lakini aliniambia usioe kwa kuangalia umbo bali
"Angalia ni mchezaji gani unayemtaka unaamini ukimsajili katika timu yako Ataleta matokeo unayotaka"

Vipi kwa upande wenu wanajamvi
Ni maneno gani ambayo baba yako alitamka mpaka Leo unalikumbuka na kuliishi?

Karibuni kwa michango 🤝
Mie aliniambia " pole sana mwanangu kwa kuzazila mkunduniz mwa dunia"
 
Back
Top Bottom